Upungufu wa damu kwa mjamzito ni hali inayotokea wakati kiwango cha hemoglobini katika damu kinapungua chini ya kiwango kinachohitajika (<11 g/dl), hasa wakati wa ujauzito. Hemoglobini ni protini inayopatikana kwenye seli nyekundu za damu na inasaidia kusafirisha oksijeni mwilini., hivyo...
Mungu ni mwema kila wakati.
Hakika usimkatie mtu tamaa. Inasemekana dada mkubwa, binti komando, ni mjamzito.
Ikumbukwe ni muda sasa anatafuta mtoto, hatimae mungu amesikia kilio chake. Dada mkubwa anajiandaa kupata mtoto wakati wowotr kuanzia sasa!! Kila hatua dua.
Kila la heri kwako.
Ila Viongozi wetu jaman kuna tunakubali mnavyotunyanyasa ila kuna muda mnapitiliza Masikio kuzidi Kichwa
Kwa hiyo Siku hizi Mtu akiuza Simu ya Wizi basi mnaenda kuchukua Vitu vya ndani vya anapoishi au makusudi tu
Nimesikiliza utetezi wa Chalamila kuhusu kauli yake kwamba yule mama mjamzito aliemwambia kama hatoi Tshs 50,000 achukue bajaji aende kwa mume wake atumie kisu na mikasi kumzalisha ni wa ovyo, usio na lojiki na ambao hata mtu asieenda shule angeweza kufanya vizuri zaidi. Ni afadhali hata...
Kwema Wakuu!
Chalamila hapa nitamtaja kama Mhusika bila kuhusisha cheo chake. Ni aina ha watu ambao hawana breki za kuongea na watu wa aina hii mara nyingi huongeaga UKWELI mchungu ambao wakati mwingine huweza kuwaacha watu mdomo wazi.
Chalamila kadiri unavyompa nafasi na Muda WA kuongea...
Jambo moja nililoona kuhusu Chadema ni kwamba mnashindwa kutumia matukio ya kila siku kuwafunua macho wananchi kwa nini serikali ya CCM haipo madarakani kwa faida yao. Hii ni pamoja na matumizi ya kifahari ya fedha ya hivi karibuni ya Mkutano Mkuu wa CCM na kadhalika.
Lakini pale ambapo...
Mambo vp wadau??
Ninaomba radhi "in advance" kwa uandishi m-bovu. I'm not a gifted writer.
Kuna mama mmoja yeye ni kabila la Pwani/mzaramo. Ni mama mkaanga Samaki amepanga chumba na sebule huku mtaani kwetu (Kodi Jumla 30,000/= kwa mwezi). Huyu mama muwewe alifariki kama mwaka na nusu hivi...
Habari za wakati ndugu wana Jukwaa,
Kwa muda sasa nimekuwa nafuatilia hii changamoto kwa wajawazito ambayo wanakumbana nayo wakati wa kujifungua katika vituo vya Afya na Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Bariadi Wilaya ya Bariadi hapa
kwenye mkoa wetu wa Simiyu.
Nimekutana na changamoto hizi...
Mlevi mmoja akiendesha gari huku amelewa amewagonga na kuwaua Wanafunzi wa Tatu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Mama mjamzito na boda boda wawili maeneo ya Makulu opposite na ofisi za TISS na makutano ya Shoppers mkoani Dodoma, baada ya ajali wananchi nao walimshikisha adabu kidogo kwa kumpa...
Huyu dada tangu amepata ujauzito wangu, amekuwa ni mtu wa kubagua vyakula; hataki kula mchicha, chainizi, tembele, bamia, nyanya chungu, yaani mboga za kuota shambani hataki.
Yeye anataka kitimoto, nyama ya mbuzi, kuku, samaki sato; kwa ujumla anataka kula vizuri vizuri tu, mbaya zaidi anataka...
Wanasema nyoka hawezi kuwang'ata hao watu wenye mahitaji maalumu na ikitokea amewang'ata basi kuna namna kuna ukweli wowote hapa
Ipi sababu inayopelekea wasing'atwe na nyoka hasa kwa mtoto maana muda mwingine unaweza kuta anacheza nae na asimng'ate
Habari
Kuna jirani yetu mtaani hii mara ya 3 kila ikifika wiki 1 kabla ya kujifungua anapata presha kubwa kiasi cha kwamba inabidi mtoto atolewe kwa upasuaji na mara zote mtoto ana survive siku 1 tu kisha anafariki
Mwaka huu walienda hospital kubwa kidogo kufanyiwa monitoring lakini issue...
Nianze na kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema. Ndugu zangu nauliza Kwa mjamzito ambae anaendekea na clinic akiumwa magonjwa yahusianayo na ujauzito wake je matibabu yanakuwa yanalipiwa ama yanakuwa free kama nilivyoskia kwamba wajawazito wanatibiwa bure
Mwenye taarifa sahihi anielekeze...
Halmashauri ya wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma imechukua hatua ya kumpumzisha daktari wa zamu ili kupisha uchunguzi baada video ya Mwanamke anaedaiwa kujifungua na kukosa huduma kwa zaidi ya saa moja katika Kituo cha Afya Kata ya Basanza kusambaa mtandaoni.
Halmashauri baada ya kufatilia...
Ni wakati sasa serikali inatakiwa kuwaangalia wanawake wajawazito nakutoa elimu ya magonjwa ya afya ya akili kwa wajawazito lakini kwa jamii nzima kuelewa hili janga kwasababu jamii yetu pia haina elimu ya utambuzi kuhusiana na hili zamani lilijulikana kama swala la kawaida tu mwanamke kuparta...
Anaemia/ Upungufu wa Damu kwa wajawazito
Je unajua upungufu wa damu huchangia 14.5% ya vifo vya kinamama(Martenal Deaths) Tanzania?
Kiasi cha damu pungufu ya 11g/dl uhesabika upungufu wa damu kwa Mjamzito ambapo kikawaida hutakiwa kuwa 11.5 - 13g/dl wakati huu
Fuatana nami sasa 👇🏿
Upungufu...
Mwanamke anapokuwa mjamzito, chembechembe za mtoto huhamia kwenye mkondo wa damu wa mama na kisha kuzunguka tena ndani ya mtoto, huitwa “fetal-maternal microchimerism”. Kwa muda wa wiki 41, seli huzunguka na kuungana kwenda nyuma na mbele, na baada ya mtoto kuzaliwa. , nyingi za chembe hizo...
Salamu kamsalimie waziri wa Afya.
Nikiwa kwenye sintofahamu kwanini mambo Yana badirika kimya kimya namna hii.
Inakuwaje kadi ya clinic iliyoandikwa haiuzwi na Sasa inauzwa Kwa Tsh 10,000/=
Inakuwaje mama mjamzito akijifungua mtoto wa kike atoe kiasi Cha pesa Tsh 15,000/= na akijifungua mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.