Unaifahamu Surrogacy?
Surrogacy, au uchukuzi wa mimba, ni njia ya kusaidia wanandoa ambao hawawezi kupata mtoto kwa njia ya kawaida. Njia hii inahusisha mama mbadala ambaye huzaa mtoto kwa niaba ya mwanamke na mwanaume fulani (wanandoa hao).
Kuna aina mbili za surrogacy: "traditional...
Geita. Mwanamke mwenye ujauzito wa miezi saba aliyetambuliwa kwa jina la Renata Elias (27), ameuawa kikatili na mtoto wake wa kambo kwa kuchinjwa shingo huku chanzo kikidaiwa kuwa ni mgogoro wa kifamilia na tamaa ya mali.
Tukio hilo lililotokea usiku wa Februari 17, 2023 linadaiwa kufanywa na...
Msanii #RobynFenty a.k.a Rihanna ameweka wazi taarifa za kuwa Mjamzito wakati akiwa kwenye steji za Apple Music Super Bowl LVII Halftime zilizofanyika katika ukumbi wa State Farm Arena.
Rihanna na mpenzi wake Rapa #ASAPRocky wanatarajia mtoto wa pili ikiwa na siku 270 zimepita baada ya kupata...
Habar wana JF,
Nashukuru mungu wote ni wazima
Mtanisamehe mimi sio muandishi mzuri sana wakuu.
Nimetoka kugombana na wife mpaka nimebaki nashangaa na kuwaza kwa maneno alioyasema wife, nikwamba wife ni mjamzito wa miezi 4 sasa anatimiza ikifika tarehe 13 sasa leo nimetoka kazini nikawa nimekaa...
Vitamini unazotumia kabla ya kujifungua zina virutubisho vingi mtoto wako anavyohitaji, hivyo basi kuna umuhimu gani waa mama mjamzito kuangalia kwa makini lishe yake?
Inaathiri afya ya mtoto wako maishani: Kila unachokula ukiwa mjamzito kinamuathiri mtoto na maisha yake kwa ujumla, hivyo ni...
Wasalaaaam wazee wa kazi....
Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati...
Kuna kabinti nilikapa mimba sasa ni miezi minne imepita tuko mkoa mmoja ila maeneo tofauti tena kwa umbali wa kupanda gari kwa .asaa kama mawili hivi.
Huyu binti anang'ang'ania aje tuishi wote maana huko aliko anaishi na...
Wakuu habari
Nina Rafiki yangu ambae mkewe alikua mjamzito, lakini sasa ameshajifungua. Sasa wakuu changamoto baada ya kujifungua ameambiwa bima yake inacover 1.5M tu ya gharama za kujifungua. Gharama iliobaki ya 280,000 anatakiwa alipie cash ili akamilishe gharama zote za kujifungua. Nina...
Mama mwenye ujauzito wa miezi minne Jamila Hamisi (34) mkazi wa mtaa wa Remtula kata ya Elerai Jijini Arusha, amedai amejeruhiwa macho yake kwa kupigwa ngumi za uso na mume wake baada ya kutokea mzozano kati yao desemba 27, 2022.
Jamila ameliomba Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limkanye mwanaume...
Kiwango cha kawaida cha mtoto kucheza tumboni (quickening) hutakiwa kucheza mapigo 90 katika masaa 12 katika wiki 32 au walau mtoto apate mienendo 50 inayotambulika kwa muda maalum.
Kupungua kwa harakati za mtoto huhusishwa katika kesi nyingi za kifo cha mtoto kutokana na viwango vya chini vya...
Baada ya Kukamatwa Jana huko Mbagala alikojificha kwa Kosa la Kujeruhi kwa Ukatili kwa Kumkata Mgoni wake Sikio na Kidole cha Kati hii ndiyo Tuhuma inayomkabili Mfanyabiashara wa Mihogo Soko la Kawe Bwana Cherehani.
KOSA lake / TUHUMA yake ni
KUTAKA KUUA KWA KUKUSUDIA.
Na tayari ORDER...
Watoto wawili wamefariki dunia na mmoja kunusurika kifo, baada ya mama yao mzazi kuwapa sumu ambayo ni dawa aina ya Tiktik ya kuoshea mifugo, kisha na yeye kunywa.
Akizungumza leo Jumanne, Novemba 22,2022, Kamada wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Filemon Makungu amesema tukio hilo limetokea Novemba 20...
Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa Oktoba 31, 2022 na taasisi ya JAMA Network Open inaonesha Watoto walioathiriwa na kiasi kidogo cha Kafeini kabla ya kuzaliwa wamebainika kwa wastani kuwa wafupi kuliko watoto wa watu ambao hawakutumia Kafeini wakiwa wajawazito.
=======================...
Baraza la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC), limewafutia leseni wauguzi wasaidizi wawili wa Hospitali ya Wilaya ya Mkomaindo, Masasi mkoani Mtwara, baada ya kupatikana na hatia ya uzembe uliosababisha kifo cha majamzito na mtoto wake."
Wauguzi hao Elizabeth Njenga na Pascal Mnyalu, walishtakiwa...
Ujauzito wa mwanamke hudumu kwa walau siku 280 tangu utungwe hadi siku ya kujifungua.
Ni muda mzuri unaopaswa kuchukuliwa kama sehemu ya maandalizi muhimu kwa mwanamke kabla ya kuuleta uhai mpya duniani.
Kuna mambo mengi yanayoweza kufanyika, baadhi yake ni haya-
Hudhuria kliniki za uzazi...
Habari wadau.
Hivi ni Hospitali gani nzuri kwa Mama mjamzito kujifungua.
CCBRT Maternity nimeskia ni mpya naomba kujua uzoefu kwa aliewahi kufika na kupatiwa huduma pale.
Comparing CCBRT na Muhimbili wapi kuna changamoto gani etc. Mfano
Kwenye kujifungua kawaida au operation wapi panafaa na...
Jeshi la Polisi Mkoani Iringa linamshikilia Mohamed Mwanjali mkazi wa Mtaa wa Kitanzini kwa tuhuma za kumbaka Mama mjamzito na kumsababishia umauti.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Maweni Kata ya Kitanzini Yassin Kisogole amesema Mwanamke huyo alitendewa ukatili huo usiku wa kuamkia September 25,2022...
Ukisikia kufa kwa nyani ndo huku. Huwa ananiita "Mume wangu", binafsi huwa nachukulia ni utani. Juzi kafunguka kuwa ananipenda. Hakika dunia imekwisha. Ana ujauzito wa miezi saba na ni mkubwa tu. Mumewe ni mtu wa watu hapa mtaani, hana makuu na mtu. Leo ndo siku niliyomuahidi kumtupia ukuni ila...
Watu maarufu waliowahi kula udongo.
Mwaka 2014, Muigizaji mashuhuri wa Hollywood nchini Marekani, Shailene Woodley, aliwashangaza watu alipofichua kuwa yeye hula udongo kila siku kwa kupima kijiko kimoja.
Muigizaji huyo, aliyewahi kucheza filamu mashuhuri ya Descendants akishirikiana na George...
SHAKA "TUSIWATOZE FEDHA WAJAWAZITO"
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amewataka watoa huduma kote nchini kuacha kuwatoza fedha wanawake wajawazito wakati wa kliniki na wanapofika kujifungua.
Shaka ametoa maelekezo hayo akiwa Jimbo la Bukene...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.