mjamzito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    India: Taharuki baada ya wanaume 11 waliombaka mjamzito kuachiwa huru

    Kuachiliwa kwa wafungwa 11 waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha kwa ubakaji na mauaji nchini humo kumezusha maandamano, huku mwathiriwa wa ubakaji akitoa wito kwa Serikali kubatilisha uamuzi wake, akisema umetikisa imani yake katika haki Bilkis Bano alikuwa na ujauzito wa miezi mitano...
  2. Zero IQ

    Nimemtongoza mjamzito kanikubalia, nasubiri wakati tu nikafanye yangu

    Sitaki kujua ni nani aliyempa mimba na anakaa na nani kwa sasa, ila tu leo kama zari nimemtongoza mdada mmoja hivi mwenye mimba, kwa kuangalia inaweza kuwa na miezi tano au sita hivi maana ni kubwa kubwa kiasi, Alikuwa anapita pita hapa kiwandani kwangu na kujibebisha bebisha na kimimba chake...
  3. U

    Tetesi: Aggy wa Feitoto adaiwa kuwa Mjamzito

    Nimekuwekea ujumbe husika na picha
  4. MamaSamia2025

    Kufungisha ndoa takatifu huku Bibi Harusi akiwa mjamzito ni kuhalalisha uzinzi

    Nawasalimu katika jina la chama pendwa CCM. Leo nimekuja kitofauti. Leo ninatoa maoni yangu kuhusu mambo ya mapenzi na ndoa. Kabla sijaelezea nataka kila msomaji ajikumbushe ule msemo usemao "fuata maneno yangu sio matendo". Leo nitaongelea kitendo cha madhehebu yetu hasa ya kikristo...
  5. BigTall

    DAR: Wanaomtumia dada mwenye ujauzito feki kupora bodaboda wanaswa na Polisi

    Jeshi la Polisi limefanikiwa kumkamata Sophia Musa (28), mkazi wa Toangoma ambaye ndiye mpokea maombi ya kutengeneza kadi toka kwa boko na baadae kumpelekea Ibrahimu Ally (31) mkazi wa Buguruni ambaye hufanya kazi ya kudurufu kadi hizo za Pikipiki. Katika katika upekuzi watuhumiwa hao wamekutwa...
  6. Mwasapile

    Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja tuu lakini nanyooka

    Hivi wadau ni sawa kwa mwanamke mwenye mimba ya mwezi mmoja kuanza uvivu na kuumwa umwa!! Naona mwanamke wangu ananiletea vipengele sana yaani tangu tujue ana mimba basi kazi zote za ndani ndio hawezi tena….hapiki hafui hadeki…vitu vyote hivyo nafanya mimi. Mara ajitapishe mara aseme anasikia...
  7. mtungu

    Ngamiani: Mtoto atupwa chooni, Mama mtoto alikana kuwa mjamzito

    Imetokea leo hospital ya Ngamiani inasemekana dogo ni mwanafunzi wa shule kamaliza Sekondari na kafaulu kwenda kidato cha 5. Alikuwa na mimba anajificha watu wasijue akawa anaumwa anamwambia shangazi yake tumbo linamsumbua Leo akampeleka hospitali wajue Nini tatizo, Daktari kumuliza anamwambia...
  8. Mkulungwa01

    Nisaidieni: Hivi kwa hili, nadili vipi na huyu mke wangu mjamzito?

    WanaJF za siku nyingi. Kwa vijana nipeni shikamoo zangu. Nimewazidi wengi mno umri humu, niruhusuni niende kwenye mada sasa. Hili suala ninaweza kulitatua ila nahisi approach haitokuwa nzuri. Yaani ninaweza kuharibu kabisa, ukizingatia wife ni mjamzito sasa. Yaani sijui akili yakw ipoje...
  9. scientificall

    Je, kuna uwezekano wa Mjamzito kuumwa tumbo mumewe akichepuka?

    Kwanza nawasalimuni nyote kwa jina la Jamii Forums nanyi itikieni mahusiano mapenzi na urafiki vidumishwe. Kuna rafiki angu kijana lika langu japo tunazidiana about 2 years yeye ameoa lakini mimi sijaoa. Kwa mara nyingi tunapeana michongo ya pesa na kusaidiana kimawazo na kifedha ili kusogeza...
  10. Miss Zomboko

    Pakistan: Mjamzito agongelewa Msumari kichwani na Mganga wa Kienyeji ili ajifungue Mtoto wa Kiume

    Msako unaendelea nchini Pakistani kumtafuta mganga wa kienyeji anayedaiwa kushindilia msumari kwenye kichwa cha mwanamke mjamzito. Mwanamke huyo alifika katika hospitali ya Peshawar baada ya kujaribu kuchomoa msumari wa 5cm (inchi mbili) kichwani kwake. Awali, aliwaambia madaktari kuwa...
  11. Analogia Malenga

    Rukwa: Amuua mjamzito na watoto wawili kwa deni la Tsh. 100,000

    JESHI la Polisi mkoani Rukwa limemkamata Philipo Vincent (22) kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata mapanga mjamzito na watoto wake wawili. Jeshi hilo limesema wakati wa kumhoji, mtuhumiwa huyo alidai kuwa alikuwa anamdai mjamzito huyo gunia mbili za mahindi. Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Rukwa...
  12. karv

    Naomba mnisaidie kwa wanaofahamu hii kitu je ina ukweli?

    JINSI YA KUTAMBUA TAREHE AMBAYO MJAMZITO ANAWEZA KUJIFUNGUA Habari za wakati huu ~Ukianza na tarehe yako ya mwisho ya hedhi toa miezi 3 halafu jumlisha siku 7 Kwa mfano:kama tarehe ya mwisho ya hedhi ilikuwa tarehe 10 mei ukitoa miezi 3 itakuwa februari 10 na ukijumlisha siku 7 itakuwa...
  13. Miss Zomboko

    Ileje: Binti Mjamzito auawa kwa kuchomwa Kisu na Mwili wake kuchomwa Moto

    MWANAMKE mmoja mkazi wa kijiji cha Ilanga kata ya Mlale wilayani Ileje mkoani Songwe, Subira Kibona(16) amefariki dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali mgongoni kisha mwili wake kuchomwa moto na anayesadikika kuwa mume wake, Shukrani Kamwela (16) kabla ya kutupa mabaki ya mwili huo...
  14. figganigga

    Kunywa Chai ya bangi kuna madhara kwa Mama mjamzito na mtoto?

    Salaam Wakuu, Juzi kati nimeenda kumtembelea Mzazi mmoja huko Kijiji cha Lyamkena Makambako. Nikakuta ile Jamii inampa Chai ya bangi Mama mzazi ili maziwa yatoke. Wanachemsha maji wanaweka majani kadhaa machanga ya bangi kama vile mchaichai then wanaweka Sukari anakunywa kama chai. Wachagga...
  15. Mung Chris

    Hospitali ya Wilaya ya Hai, kumwambia Mama mjamzito anunue vifaa vya kujifungulia ni sahihi kweli au kawaida

    Nimeshangaa na sijaelewa sera ya Serikali kwa kina Mama Wajawazito, tuliambiwa Mama mjamzito kujifungua ni bure ana hudumiwa, sasa Hospitali ya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Mama mjamzito anaambiwa akanunue Pamba ile kubwa, Gloves na akanunue Vidonge vya kuongeza damu na dawa zingine eti wao...
  16. Lady Whistledown

    Jennifer Lawrence atarajia kupata mtoto wa kwanza

    Jennifer Lawrence atakuwa mama! Mwigizaji huyo wa miaka 31 ana ujauzito wa mtoto wake wa kwanza na mumewe, Cooke Maroney. Mwakilishi wa Lawrence alithibitisha habari hiyo kwa Watu Jumatano. Lawrence na Maroney walioana mnamo Oktoba 2020 huko Rhode Island, mbele ya marafiki wao mashuhuri...
  17. Analogia Malenga

    Morogoro: Daktari Kituo cha Afya cha Mikumi mbaroni kusabisha mjamzito kujifungua kwenye bajaji

    MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Martine Shigella ameamuru daktari katika Kituo cha Afya cha Mikumi (jina tunalo) akamatwe akituhumiwa kusababisha mjamzito ajifungue akiwa kwenye pikipiki ya matairi matatu maarufu kwa jina la bajaj. Shigella alitoa agizo hilo aliposikiliza kero za wananchi wakati wa...
  18. H

    Kukosa hamu ya kula kwa mama mjamzito

    Habari wakuu, Mimi ni mjamzito wa wiki 24 kwa sasa naona kuna hali ambayo inanikuta sasa sijui ni kawaida au lah,Mimi nakosa hamu ya kula vitu vyote yani sina hamu ya kula chochote na kwa sababu nasikia njaa huwa nakula ilimradi siku ziende. Je, hii hali ni ya kawaida kwa wajawazito au ni...
  19. JourneyMan

    Ushauri: Naweza msafirisha Mjamzito wa miezi 7?

    Naomba ushauri kwa wazoefu, wataalamu, wajuzi n.k Amebakiza miezi 2 kwa makadirio. Ni safari ya almost 8Hrs, kutoka Dar kwenda mkoani. Tayari nipo out of time, safari hio ni either kesho/keshokutwa or never. Kama inawezekana, nini vya kuzingatia? NOTE: ni kwa njia ya Public transport/Bus.
  20. J

    Unawezaje kumuandaa mjamzito anayekaribia kujifungua?

    Mtie moyo mama mjamzito. Shika mkono wake, ongea naye taratibu, muonyeshe jinsi ya kupumua pumzi nzito zinazokwenda polepole. Msaidie kumgeuza, kutembea, kubadilisha ukaaji, na hata kutoa sauti. Kila unapokuwa na mjamzito fanya maandalizi yote ya wepesi wa kumfikisha hospitali. Kujifungulia...
Back
Top Bottom