Wakati mzuri wa kusafiri kwa mjamzito ni vizuri kusafiri katikati ya ujauzito (kuanzia wiki 14 ya ujauzito hadi wiki 28). Kwasababu katika wiki hizi, nguvu zilizopotea wakati mimba ikiwa changa hujirudi upya, ugonjwa wa kutapikana, kichefuchefu hukoma na kuisha, pia mjamzito anaweza kuzunguka...