Huu mji ulikuwa maarufu sana miaka ya zamani pale Kiwira Coal Mines, zamani hapo palikuwa na ukumbi japokuwa haikuwa ya kisasa, ulijengwa kwa kutumia makuti, disco zilikuwa zinapigwa sana mle ndani watu kama kawa walizicheza sana mpaka vumbi mwili mzima.
Mji Mwema kulikuwa na makazi ya watu wa...