A
Anonymous
Guest
Halmashauri ya Mji wa Makambako Mkoani Njombe, hamuoni kuna haja ya kuzibua mitaro ya maji kabla ya kipindi cha mvua hakijafika?
Huu ni mwaka wa pili sasa mfereji huu ukiwa umeziba bila kufanyiwa usafi/uzibuliwaji.
Mfereji huu upo Mtaa wa Mjimwema, eneo la njia panda ya barabara inayoelekea Itebetala.
Naomba Halmashauri ya Makambako iangalie suala hili mapema kabla ya mvua kuanza, kwani mfereji ukiwa umejaa unaweza kusababisha maji kushindwa kupita na kuleta usumbufu kwa wakazi pamoja na watumiaji wa barabara.
Tafadhali hatua zichukuliwe kabla ya kipindi cha mvua, si kusubiri mpaka maji yaanze kuleta madhara.