Stone Town of Zanzibar (Arabic: مدينة زنجبار الحجرية), also known as Mji Mkongwe (Swahili for "old town"), is the old part of Zanzibar City, the main city of Zanzibar, in Tanzania. The newer portion of the city is known as Ng'ambo, Swahili for 'the other side'. Stone Town is located on the western coast of Unguja, the main island of the Zanzibar Archipelago. Former capital of the Zanzibar Sultanate, and flourishing centre of the spice trade as well as the slave trade in the 19th century, it retained its importance as the main city of Zanzibar during the period of the British protectorate. When Tanganyika and Zanzibar joined each other to form the United Republic of Tanzania, Zanzibar kept a semi-autonomous status, with Stone Town as its local government seat.
Stone Town is a city of prominent historical and artistic importance in East Africa. Its architecture, mostly dating back to the 19th century, reflects the diverse influences underlying the Swahili culture, giving a unique mixture of Arab, Persian, Indian and European elements. For this reason, the town was designated as a UNESCO World Heritage Site in 2000.Due to its heritage, Stone Town is also a major visitor attraction in Tanzania, and a large part of its economy depends on tourism-related activities.
Kwa mnaofahamu Kariokoo ya Bongo, hivi kwa akili timamu unaweza ukalinganisha na hii picha hapa chini, na ifahamike hili ni eneo nje ya mjini, lipo lenyewe, hii labda uilinginishe na Kigali ya Rwanda.
One Africa Place Building in Westlands, Nairobi
Nairobi’s Westlands area is regaining its...
Agizo hilo limetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Mh. Mariam Mtunguja alipokuwa anazungumza na madiwani na watendaji wa Halmashauri hiyo katika Mkutano wa Baraza la Madiwani.
"Ni aibu sana kuona mpaka leo hii eti ukipita katikati ya mji kuna nyumba za tope " Alisema.
Wajomba na mashangazi hamjambo? Natumaini mko poa.
Ivi wakazi wa mwanza pamoja na wale ambao mmeutembelea mji huu siku za karibuni hamjagundua kuwa jua limekua kali sana likiambatana na joto la kufa mtu katika mji huu?
Nimeishi Mwanza toka mwaka 2000 hali haikua ivi , kuna mabadiliko makubwa...
Katika ziara ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo tarehe 27 January 2021 katika uzinduzi wa Kituo cha afya cha Masumbwe, Mh. Mbunge wa Jimbo la Mbogwe ndg. Nikodemas Maganga ameweka wazi Mambo yanayofanyika Mbogwe.
Mh. Rais amewapongeza wananchi wa Mbogwe kwa kuwachagua...
Wakuu imebidi niuize ili nijue.
Ni kwanini mji wa Moshi ambao ndio makao makuu ya Mkoa wa Kilimanjaro hauna taa za kuongozea magari, ili hali miji midogo kama Singida, Shinyanga na Babati naona wameweka taa za kuongoza magari.
Ifahamike kuwa mpaka sasa Manispaa ya Moshi ndio manispaa...
Uvutaji sigara kwenye maeneo ya wazi umepigwa marufuku katika mji wa Milan nchini Italia.
Kulingana na uamuzi wa Manispaa ya Milan, uvutaji sigara hautaruhusiwa katika maeneo ya wazi, bustani za umma, viwanja vya michezo, makaburi na vituo vya mabasi endapo kutakuwa watu wengine waliosimama...
January 20, 2021
TABORA TANZANIA (Unreported)
Nimefarijika sana kuona youtuber akifanya kazi nzuri kuitangaza Tanzania na miji yake kwa waTanzania na ulimwengu kwa ujumla.
Tulikuwa tunamsikia Regional Commssioner wa zamani wa mkoa wa Tabora mzee Aggrey Mwanri akituambia kupitia vyimbo vya...
Ni wiki ya tatu sasa maji hayapatikani maeneo mengi ya mji wa Dodoma hasa Ilazo, Nzuguni na Kisasa.
Waziri wa maji amemtumbua mkurugenzi wa DUWASA mhandisi Pallangyo mara tu baada ya kuapishwa lakini tatizo inaonekana ni zaidi ya huyo Mkurugenzi kwani shida ya upatikanaji wa maji iko pale pale...
Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga.
Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje.
Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji.
Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1.
DIRECTION YA SHAMBA LILIPO
Ukiwa...
bagamoyo
beach
bei
eneo
hasara
hoteli
inauzwa
karibu
kigamboni
kinauzwa
kiwanja
kubwa
kununua
mafuta
makazi
miti
mji
nauza
nyumba
pesa
plot
shamba
ujenzi
umri
uwekezaji
viwanja
wekeza
Ujenzi huo utaanza miezi minne ya mwanzoni mwa mwaka huu wa 2021. Usafiri wote wa umma utakuwa chini. Mwanamfalme Salman ametangaza lengo lake la kuanzisha mradi wa ujenzi wa mji usiokuwa na barabara na usioruhusu magari na kutoa maelezo ya taarifa hiyo siku ya Jumapili.
Kwa mujibu wa mwana...
Hiki kijiji kinaitwa Ifumbo. Kipo wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya. Kimepangwa vizuri sana kuliko sehemu nyingi za jiji la Mbeya.
Watu wa mipango miji na vijiji vingine viende vikajifunze kabla hawajachafua maeneo yao.
Weka picha ya kijiji kilichopangika vizuri.
Ndugu wanajamvi,
Nimefika mjini Morogoro kwenye hekaheka zangu nikashangazwa na kitendo cha kuhamishia stand ya daladala kutoka katikati ya mji na kuipeleka karibu na Chuo Kikuu cha Sokoine umbali wa kama Km 2+.
Ni jambo jema kuboresha huduma kwa jamii kutokana na kukua kwa mji, lakini...
Barabara hiyo ya Wissmannstraße inatarajiwa kubadilishwa jina mwaka ujao
Madiwani katika mji mkuu wa Ujerumani , Berlin wamepiga kura ya kuondoa jina la barabara moja linalompatia heshima gavana mmoja wa nyakati za ukoloni katika eneo la Afrika mashariki aliyeshutumiwa kwa kuagiza mauaji na...
Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amesema ameanzisha "awamu ya mwisho" ya operesheni ya kijeshi katika jimbo la Tigray kwanza kushambulia mji mkuu wa jimbo hilo, Mekelle.
Amesema wanajeshi watajaribu wasiwajeruhi raia na wito kwa watu katika mji huo kusalia majumbani mwao.
Hatua hilo inajiri...
Kilwa Kisiwani ni jina la kijiji kikubwa kwenye Kisiwa cha Kilwa karibu na mji wa Kilwa Masoko katika Mkoa wa Lindi, Tanzania. Ndipo mahali pa mji wa Kilwa ya kihistoria iliyokuwa mji mkubwa kabisa kati ya miji ya Waswahili katika pwani la Afrika ya Mashariki wakati wa karne za 12-15 BK.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.