mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    KIWANJA KINAPATIKANA KWA BEI POA – BUKOBA MJINI 🏡📍

    🔹 Eneo: Ishambya, Block D, Bukoba Mjini 🔹 Ukubwa: 1,052 sqm 🔹 Umbali: Dakika chache kutoka lami 🔹 Mandhari: Eneo limeendelea, watu tayari wamejenga ✅ Inafaa kwa matumizi yote – Makazi, biashara n.k. ✅ Miundombinu yote ipo – Maji, umeme, shule, hospitali na huduma nyingine muhimu 📞 Wasiliana...
  2. B

    Pre GE2025 Mbunge wa Moshi mjini, ⁨Priscus Tarimo amekuwa mtu wa mwanzo kuleta maajabu ya maendeleo Moshi mjini

    Mbunge wa Moshi mjini MH.PRISCUS TARIMO @⁨Priscus Tarimo B⁩ amekuwa mtu wa mwanzo kuleta maajabu ya maendeleo Moshi mjini... Haikuwa rahisi kwa chama kumpa ridhaa mtu ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa kada yoyote ndani ya CCM na ambaye walitazama sifa zake wakaona ni mbovu hazifai kuwa...
  3. Jimbo la arusha mjini na monduli yagawanywe

    Jimbo la Arusha mjini limekuwa na ongezeko kubwa la watu. Itapendeza kama litagawanywa. Hii ni kwa sababu ktk muda mfupi sana uliopita,kumekuwa na kuzaliwa kwa mitaa mipya mingi ambayo inahitaji uwakilishi bungeni. Mfano mzuri ni eneo naarufu la kwa Mrombo ambalo liko busy sana kiuchumi na lina...
  4. N

    Natafuta mwanamke wa kuoa - Mtwara mjini

    Habari ndugu zangu. Mtaniwia radhi kama nitakuwa nimekosea au utakwazika kwa ujumbe wangu. 1. Natafuta mwanamke anayehitaji mume wa kumuoa. Mwanamke ambaye yupo "intrinsic" na hilo jambo; 2. Umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 33; 3. ASIWE NA MTOTO - kwa maana nyingine SIHITAJI SINGLE MOTHER...
  5. Pre GE2025 Mbunge wa Geita Mjini, Constantine Kanyasu, atoa msaada wa kumpyuta zenye thamani ya milioni 9 Shule ya Sekondari Ihanamilo

    Mbunge Kanyasu Akabidhi Kompyuta zenye thamani ya Tsh Mil 9. Geita - Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Constantine Kanyasu, ametekeleza ahadi yake kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Ihanamilo kwa kukabidhi kompyuta tano zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni tisa. Akizungumza wakati wa...
  6. Pre GE2025 Mradi wa uboreshaji wa miji Tanzania (TACTIC) Geita Mjini, Mbunge alalama ubabaishaji wa mkandarasi, Tuliahidi mradi kukamilika kabla ya uchaguzi

    Mbunge wa Geita Mjini, Constantine Kanyasu, amemshutumu mkandarasi anayetekeleza mradi wa uboreshaji wa miji Tanzania (TACTIC) mjini Geita, akimtaja kuwa hana uwezo, hana mtaji, na anakosa wataalamu wa kutekeleza mradi huo kwa ufanisi. Kauli hiyo ya Kanyasu imekuja siku moja baada ya Mkuu wa...
  7. Jimbo la mhambwe ni aibu kwa mbunge wa jimbo hilo barabara inayounganisha mkoa kutoka kibondo mjini ni chakavu na inatisha.

    Mbunge wa jimbo la mhambwe wilaya ya kibondo mkoa wa kigoma alichofanya nikugawa pikipiki za samia 2025 ameshindwa kutetea jimbo lake akiwa bungeni barabara hazipitiki za wapiga kura hata ameshindwa kuishauli serikali kujenga soko la kisasa kwa ajiri ya wajasiriamali. Utakuwa ni aibu kubwa kama...
  8. Huko Jamhuri ya Watu wa X (Twitter) habari ya mjini ni " ka Omari"

    Kuna Dada mmoja anamporomoshea kashfa na kejeli za kila namna mume wake wa zamani, akimwita ka Omari. Mbaya zaidi huyo ka Omari kakaa kimya, hajibu chochote
  9. Polisi Morogoro mjini fanyeni kazi kwa weledi na uzalendo, si uonevu

    Habari wakuu,hii inchi ikienda ivi raia watashindwa kutoa ushirikiano Kwa majeshi yetu,yaan Hasa Hawa askari wetu wanao tembea rod na kukakamata vyombo vya usafiri, Kuna askari jina kapuni uyu amekatama chombo cha moto kikiwa kimepaki na kimekamilika kila kitu na kutoa sababu kibao dk ya...
  10. K

    Natafuta lodge au guest bubu ya bei rahisi mbeya mjini

    Kesho asubuhi nitakua mbeya mjini kwa shughuli zangu binafsi. Natafuta lodge au guest house zile bubu ya bei rahisi,budget yangu ni shilingi za kitanzania elfu 8 to 10. Iwe mbeya mjini maeneo ya kuanzia uyole,nanenane,ilomba,Sae,Mama John,Soweto,isyesye na mafiati.iwe na usalama wa kueleweka na...
  11. Uongozi serikali ya mtaa babati mjini kwa hili vumbi mnalotulisha wapiga kura wenu ni haki?? Mkurugenzi na timu yako mjitathmini

    Tunafahamu kuna ujenzi wa daraja maeneo ya msasani barabara ya kuelekea stendi mpya inaendelea na ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuboresha miundo mbinu,ila kosa la kwanza mlilofanya ni kumpa tenda mkandarasi asiye na weledi kabisaa kabisaa,kwa maarifa yangu madogo alipaswa ajenge njia...
  12. Pre GE2025 Siasa za uwakilishi za Arusha mjini zimeharibika sana na kukosa ustaarabu kabisa

    Kuna habari nimieona ambapo madiwani wa Arusha mjini walikuwa kwenye kikao rasmi cha kazi. Jambo la kusikitisha ni kwamba hicho kikao kilikuwa kama kikao cha chama huku watu wenye maslahi yao binafsi wakifanya siasa za minyukano. Mambo mengine ya ajabu katika hiko kikao ni pamoja na diwani...
  13. Arusha Mjini - Siyo Gambo wala Makonda - CCM iwatose wote.

    Ni dhahili kuwa wote wawili wana makundi makubwa ndani ya CCM * Kundi la Makonda pekee halitoshi kuipa ushindi CCM; Lkn pia kundi la Gambo pekee halitoshi kuipa ushindi CCM. * Kundi lolote litakalojibagua na kuunga mkono upinzani ni wazi kuwa CCM itakuwa na hali ngumu sana; * Kwa msingi...
  14. Serikali inashindwaje kuongeza EMS zake? Temeke kuna ipi, Ilala ipo ipi? Kwanini zinejaa mjini?

    Wizara ya elimu ina maprofesa wapuuz mno. Inaamini maskini wa Tabata, Buza, Goba, mbezi hawawez kupeleka watoto shule za laki 5? Mkenda na wezako wa TAMISEMI mnashida ipi? Mkiigeuza Jica primary mnashindwa nini? Acheni hizo. Hii nchi ni as if tuanza kiushi nyumba ya kupanga.
  15. Sehemu nzuri ya kujenga Morogoro Mjini

    Naomba kuuliza ndugu zangu ni sehemu gani nzuri ya kujenga Morogoro mjini kwa watu wenye vipato vya kati
  16. N

    Chuo kikuu Cha mtakatifu Joseph Cha mjini songea ni kama mshumaa uliozima ghafla.

    Habari za majukumu watanzania wenzangu na wadau mbalimbali wa elimu. Mimi ni mwenyeji wa mikoa ya nyanda za juu kusini. Nyanda za juu kusini especially mkoa wa ruvuma na jombe ni Kanda ambayo elimu sio kipaumbele hata ukiangalia hapana chuo kikuu chochote baada ya mwendazake kufungia chuo Cha...
  17. S

    Fursa za biashara Morogoro Mjini vs Ifakara Mjini

    Naomba kuuliza kati ya Morogoro Mjini na Ifakara wapi kuna fursa nyingi za biashara.?
  18. Kuna mtu anazurura na Hummer EV hapo mjini. Chuma hata kwenye kikokotoo cha TRA haipo!

    Huko Coco Beach, sio mara moja, kuna mwamba anapita pita na Hummer yake ya umeme namba E full kipupwe kama mufindi haigongi. Hana mbwembwe hajaweka personalized number plate. Ikumbukwe chuma inauzwa Tsh Mil 250 kwenda juu, hapo bila usafiri wa kuileta Bongo wala Ushuru wa TRA (ambao utakua...
  19. Ukitaka kuwatesa warembo wakali wa mjini, wakutafute kwa udi na uvumba, fanya hivi wewe mwanaume

    Hakikisha ngozi yako inanukia pesa (imenawiri, na vinyweleo vimesimama na kutoa jasho) Mwili wako unukie vizuri, sio ile harufu kali ya kutisha Uwe na biashara yako/ofisi yako inayoeleweka. Uwe ni mtu wa kuongea maneno machache ila vitendo viwe vingi Usiwe mtu wa makundi, ishi mwenyewe mwenyewe...
  20. Hii mbunga imekimbiwa awamu hii, watu wanaishi mjini

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO Kwa mbali naliona pori la chamwino ambalo limikimbiwa kibabe sana Watoto wa mjini huwa wanaishi mjini siyo porin Pumzika kwa aman anko magu , polen watanzania kukosa viongozi wazalendo badala yake mna viongozi wala Bata tu SAYUNI BOY
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…