Kanuni yangu ya maisha ni hii: fanya ibada, tafuta pesa, wekeza, msaidie asienacho(japo sio lazima) na mwisho kabisa kumbuka kujipa furaha wewe mwenyewe.
Mwaka 2020 ulikuwa ni wa mafanikio sana kwangu. nilipata deal lililofanya nizunguke sehemu mbalimbali nchini ikiwemo iringa.
Ukiondoa faida...
BILIONI 9.88 KUJENGA LAMI BARABARA YA DAREDA MJINI - DAREDA MISSION BABATI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu Wakala wa Barabara (TANROADS) kumsimamia Mkandarasi kampuni ya Jiangxi Geo Engineering kukamilisha kwa wakati ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya...
Salaam Wakuu, natumai kaubaridi mwororo kawapapasa vyema huko mliko, twende kwenye mada.
Sehemu yoyote mjini inachukuliwa kama sehemu ya kutolea ushamba, kutokana na kupiga hatua kwenye mambo mengi na muingiliano mkubwa na watu kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni. Naona ndio hata mababu zetu...
Kwema Wakuu!
Kauli zinazotolewa na viongozi mbalimbali wakijitamba kuwa wao ni watoto wa mjini, wengine wakisema wamezaliwa Kariakoo, wengine, Ocean road, wengine mnazi mmoja, wengine Kinondoni basi ilimradi kila mmoja ajitutumue. Ndio ukweli huo. Kauli hiyo inamaana kubwa sana. Watoto wa...
Kumwondoa Paul Makonda kwenye uenezi umeharibu kabisa. Makonda anakubalika sana hata na baadhi wasio wana CCM, kwa hiyo angeweza kuvuta vijana na watu wengi sana.
Makonda ana kipaji cha pekee cha kukubalika na watu.
Mama, washauri wako wamekuingiza mjini na pengine yawezekana kwa maslahi yao...
Unguja Zanzibar
Kesi ya umiliki wa nyumba Mjini Zanzibar, iliyosikilizwa katika Mahakama Kuu Tunguu Zanzibar
Shehia ya Mnazi Mmoja mji mkongwe Zanzibar aelezea mkasa mzima
Narendra Kanji Jiwa & Rekha Kanji Jiwa v. Raza Hassanali Kassam Bachoo & Two Others (Civil Application 130 of 2023)...
Jiji kuu la Ivory Coast, Abidjan limetangaza kupiga marufuku ombaomba ili kupambana na "fujo za mijini".
"Ili kupambana na fujo za mijini, biashara za kutembea kwenye barabara kuu, kuombaomba kwa namna zote, na matumizi ya mikokoteni sasa yamepigwa marufuku rasmi katika wilaya nzima," alisema...
Rais wa Iran Ebrahim Raisi ametoa wito kwa nchi zote za Kiislamu kuungana dhidi ya Israel.
Hali ya mtaa huko Haifa nchini Israel na kufurika kwa wa-Israel kuelekea vituo vya kujikinga na mabomu
Hofu imetawala: Israel imebana GPS katika viwango vya juu zaidi katika eneo lake kwa hofu ya...
Moja kwa moja kwenye mada.
Viongozi wa Mji wa Korogwe hamuoni ile barabara ya kuelekea Hospitali ya Magunga? Barabara mpya ambayo inaonganisha mtaa wa Mountain view na Kanisa la Roma imeanza kuleta shida.
Shimo ambalo limeanza kuonekana litaweza kusababisha ajali usiku na pia uharibifu wa...
Habari zenu
Naomba kuleta mada kama inavyojieleza kwenye kichwa habari,nazani alikuwa mbunge machachari katika wakati wake mwenye ushawishi katika upande wa upinzani ila naona amezika kama moto wa kifuu ghafla mjini haonekani au yupo busy na uhariri?
Nawasilisha
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara, imeahirisha rufaa ya jinai iliyokatwa na Hashim Ally dhidi ya Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul baada ya mjibu rufaa huyo kutopewa wito wa kuitwa mahakamani.
Leo Jumatatu Machi 18,2024 Mahakama hiyo ilipanga kusikiliza rufaa hiyo namba 577/2024...
Dar ni mjini, na eti kuzaliwa mjini ni sawa na kuhitimu form six? Basi wana Darisalama watakuwa na masters kutokana na hotuba za kisomi za Chalamila.
Kwa siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia hotuba za RC Chalamila, kwa kweli zina kiwango cha juu sana mpaka najiuliza nini kilimkuta miaka...
Mwanahabari Abubarkar Harith toka Kituo cha televisheni cha Zanzibar anatuletea ripoti ifuatayo kuhusu Mikutano Miwili ya China mjini Beijing.
https://www.facebook.com/watch/?v=430890095997725
Episode 1: Safari ya Maisha (Safari of Life)
Nilifika mjini nikiwa na ndoto kubwa mfukoni na shilingi chache mkononi. Nilikuwa nimekimbia maisha magumu kijijini, nikiamini mjini ndio mahali penye fursa tele. Lakini nilipogonga kituo cha mabasi, niligundua safari yangu itakuwa ngumu kuliko...
yani sisi choka mbaya tuna sifa kama walivo matajiri na skafu za bendera kusomea watoto wao ambao hawapo ulaya ila wapo Tz.
Sisi choka mbaya mtaa wa kaza moyo mfano dar pale shule kama olympio,bunge,muhimbili na ilala ndio sifa kwa wakazi Mbagara, Manzese, Tandale, Buguruni, Kino na maeneo ili...
Kuna mtandao wa kikundi cha vijana kinatumia mitandao ya kijamii yakiwamo magroup ya WhatsApp kumchafua mbunge wa moshi Mjini,Priscus Tarimo pamoja na meya wa manipsaa ya moshi Zuberi Kidumo.
Nauliza tu vijana hawa wanalipwa na nani na katika kuwachafua huko wanapata nini na malengo yao ni yapi...
Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.
Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Ndugu zangu mnaoishi Musoma kwanza niwape pongezi kwa jinsi mnavyo pambana kupata mkate wenu wa kila siku.
Mkoa huu wa MARA japo una wakazi wengi wenye elimu ya sekondari na kuendelea ila nahuzunika kusema kundi kubwa la vijana wanahangaika mitaani kwa kukoswa ajira za kueleweka na kujikuta...