Kuna maneno na minongong'ono mingi sana vijiweni, kufuatia adhabu inayodhaniwa kuwa ya uonevu iliyotolewa na spika kwa Mpina.
Wapo wanaodai spika ana unasaba ama "amewekwa sawa" na wafanyabiashara (mafisadi), lkn wapo wanaodai kuwa hii ni vita ya chini kwa chini kati ya ccm ya watoto wa mjini...
Siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuandika juu ya kero ya barabara itokayo Tabora Mjini kuelekea Igalula, Goweko na Makibo kupitia Ndevelwa hatimaye kipande cha Kilometa 30 Igalula-Ndevelwa-Tabora Mjini kimeanza kufanyiwa kazi kwa maboresho.
Kero ya Mdau ~ Barabara ya Tabora Mjini...
Habari walimu.Mimi ni mwalímu nipo elimu idara ya msingi halmashauri ya mji bàriadi -simiyu nahitaji mtu wa kubadilishana naye Mimi nije pwani , morogoro au dar.Namba za simu 0745388532
Hostel ya vyumba 12 ndani ya kiwanja cha sqm 412 inauzwa million 55 hostel ipo kange kasera karibu na chuo cha utumishi tanga. Kwa mawasiliano 0612630936
Attachments
Limekuwa jambo la kawaida sana siku hizi wasomaji wangu kuniletea taarifa nyingi ambazo wao wanazo katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Taarifa nyingine pamoja na picha zinatoka kutoka familia za wapigania uhuru ambao historia imewasahau.
Leo nimepokea picha ambazo kwa hakika...
Fundi nipo hapa karibu kwa kazi za madish na mfumo wa tv cable ofisini, hotel au lodge karibu tufanye kazi.
Napatikana Dar es salaam mjini(mwenge, kariakoo,na sehemu zingine)
Mawasiliano
0749247929
Jumatano hii kweli ya watu kujaa beach nimenusa watu Wana mipango ya Hela week hii toka ianze Mpaka itakapoisha maokoto kama yote kama wewe hujapitiwa aisee badilisha mfumo kabisa.
Ila mnaotegemea mulipwe madeni tulieni kwanza watu walikuwa na ukata wa kutisha acha wale wale maisha kidogo...
Kumejengeka dhania ya kwamba watu wa vijijini wanaishi kwa muda mrefu kuliko watu wa mijini kutokana na aina ya mifumo ya maisha wanayoishi.
Unakubaliana na hili na unafikiri ni kwa nin watu wanaweka fikra hzi?
Sehemu ya Tatu: Mtihani wa Mapenzi
Baada ya harusi yao ya kifahari na sherehe za furaha, Musa na Amani walijitosa katika maisha mapya kama wanandoa. Waliendelea kuimarisha uhusiano wao, wakifanya kila juhudi kuhakikisha wanadumisha furaha na mapenzi kati yao. Walihamia kwenye nyumba yao mpya...
Sehemu ya Kwanza: Mkutano wa Hatima
Kulikuwa na mji mkubwa uliokuwa ukijulikana kwa jina la Mji wa Furaha. Katika mji huu, tamaduni na mila mbalimbali zilijumuika na kufanya maisha kuwa na mvuto wa kipekee. Miongoni mwa wakaazi wa mji huu, kulikuwa na kijana mmoja kwa jina Musa, aliyekuwa na...
Habari zenu wana Mtwara tafadhali anae fahamu kuhusu ratiba za minada ya Mtwara mjini tafadhali. Nitakapo kuwa Mtwara nitautumia muda huo kuzunguka kwenye minada yote ya Mtwara kwa ajili ya ku interact na wana Mtwara.
With much thanks in advance
Asiye na mwana aelekee jiwe, ni mwendo wa kikomando na kufyatua fyatua, mnaojificha nyuma ya watoto pole zenu, hawa ni Wayahudi (sio Wakristo mliozoea) wanapiga tu.
Shukrani sana IDF, malizeni hii shughuli tuwaze mengine, wawahisheni kwa mabikira...
==================
Several Israeli tanks have...
Mambo vipi wazee?
Kuna pahala panaitwa Pugu Kazimzumbwi alhamarufu Ushoroba.
Ni pazuri sana kwa mkazi wa Dar au Pwani anaetaka kupumzika siku moja au weekend kuzipisha kelele za bodaboda, bajaji, magari, wauza sumu ya mende, etc. Nimeenda mara kadhaa na weekend hii pia nilienda.
Utangulizi...
https://youtu.be/tXr0IShfWjk?si=WZ90OgpxtV42FP66
Nimesikiliza ila bado napingana na juhudi zinazo semwa juhudi hizi ni usiasa tu hazina utekelezaji tunataka kuwaambia iwàpo taka mnataka zisitolewe njee mpaka gari ipite mnataka kuficha uzembe wenu wa kubeba taka Ili ziwe majumbani na zisionekane...
SOMO
UFUGAJI WA FUNZA
funza ni nini?
Funza hawa ni moja tu kati ya hatua za ukuaji za wadudu walukao, watu wengi hufikili hao funza hubaki kuwa funza mpaka mwisho jambo ambalo si la kweli hawa funza ni larval stage ya ukuaji wa wadudu ambapo wadudu hao wapepelukao hutua na kutaga mayai yao...
Baada ya nchi tatu za Ulaya kuamua kuitambua Palestina rasmi kama taifa sawa na mataifa mengine duniani,nchi ya Colombia imepiga hatua zaidi kwa kuamua kufungua ubalozi kabisa mjini Ramallah.
Nchi zilizoamua kuachana na ukiritimba wa Ulaya na kuamua kuitambua Palestina ni Ireland Spain na...
Matumizi ya Speaker ina mipaka yake. Ukizidisha sauti inakuwa sio adhana bali ni kero kwa wananchi, ambapo sio wote ni waislamu.
Dini yetu inasisitiza sana kuchunga haki za majirani na kwenye hili misikiti hawajapewa msamaha. Ifike mahali waendesha hizo misikiti wawe na aibu maana hakuna haja...
Wakuu nahitaji kulima mboga mboga hasa chinese na tembele kwenye uwanja wangu wenye ukubwa wa nusu eka, nimezunguusha fensi na nimechimba kisima kwa ajili ya maji ya kumwagilia.
Nahitaji kuelimishwa jinsi ya kuandaa shamba au kitalu, aina ya mbegu au miche na aina ya mbolea inayofaa.
Pia ni...
Hii ni salamu kwa viongozi wa Chama cha Drmokrasia na Maendeleo (Chadema) mjini Moshi kwamba muonyeni kada wenu na diwani mstaafu wa Kata ya Kiusa, Steven Ngassa aache ujanjaunja wa mjini atafute kazi za kufanya vinginevyo tutamuumbua mchana peupe.
Ngassa amekuwa akifanya mambo ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.