mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Adhabu ya spika kwa Mpina ni mwendelezo wa watoto wa mjini kuwang'onyesha sukuma gang?

    Kuna maneno na minongong'ono mingi sana vijiweni, kufuatia adhabu inayodhaniwa kuwa ya uonevu iliyotolewa na spika kwa Mpina. Wapo wanaodai spika ana unasaba ama "amewekwa sawa" na wafanyabiashara (mafisadi), lkn wapo wanaodai kuwa hii ni vita ya chini kwa chini kati ya ccm ya watoto wa mjini...
  2. Barabara ya Tabora Mjini hadi Igalula yaanza kufanyiwa maboresho

    Siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuandika juu ya kero ya barabara itokayo Tabora Mjini kuelekea Igalula, Goweko na Makibo kupitia Ndevelwa hatimaye kipande cha Kilometa 30 Igalula-Ndevelwa-Tabora Mjini kimeanza kufanyiwa kazi kwa maboresho. Kero ya Mdau ~ Barabara ya Tabora Mjini...
  3. Mwanza: Mlioko Huko Yasemekana Kuna Ajali Hapo Mjini Imesababisha Foleni Kubwa Sana

    Habari na picha
  4. Njoo bàriadi mjini nije pwani, morogoro au dar idara ya msingi

    Habari walimu.Mimi ni mwalímu nipo elimu idara ya msingi halmashauri ya mji bàriadi -simiyu nahitaji mtu wa kubadilishana naye Mimi nije pwani , morogoro au dar.Namba za simu 0745388532
  5. B

    Hostel ya vyumba 12 inauzwa tanga mjini million 55

    Hostel ya vyumba 12 ndani ya kiwanja cha sqm 412 inauzwa million 55 hostel ipo kange kasera karibu na chuo cha utumishi tanga. Kwa mawasiliano 0612630936 Attachments
  6. Maktaba Imepokea Picha Kutoka Mbali Katika Historia ya TANU Moshi Mjini

    Limekuwa jambo la kawaida sana siku hizi wasomaji wangu kuniletea taarifa nyingi ambazo wao wanazo katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Taarifa nyingine pamoja na picha zinatoka kutoka familia za wapigania uhuru ambao historia imewasahau. Leo nimepokea picha ambazo kwa hakika...
  7. Fundi madish aina zote(Dstv, Azam, Startimes,FTA) nipo hapa kwa maeneo Dar es salaam mjini

    Fundi nipo hapa karibu kwa kazi za madish na mfumo wa tv cable ofisini, hotel au lodge karibu tufanye kazi. Napatikana Dar es salaam mjini(mwenge, kariakoo,na sehemu zingine) Mawasiliano 0749247929
  8. Naona kumechangamka mjini watu wamepata hela

    Jumatano hii kweli ya watu kujaa beach nimenusa watu Wana mipango ya Hela week hii toka ianze Mpaka itakapoisha maokoto kama yote kama wewe hujapitiwa aisee badilisha mfumo kabisa. Ila mnaotegemea mulipwe madeni tulieni kwanza watu walikuwa na ukata wa kutisha acha wale wale maisha kidogo...
  9. Kuna ile dhana watu wa vijijini wanaishi miaka mingi kuliko wa mijini, kuna uhalisia kwenye ili?

    Kumejengeka dhania ya kwamba watu wa vijijini wanaishi kwa muda mrefu kuliko watu wa mijini kutokana na aina ya mifumo ya maisha wanayoishi. Unakubaliana na hili na unafikiri ni kwa nin watu wanaweka fikra hzi?
  10. Hadithi: Mapenzi ya Mjini

    Sehemu ya Tatu: Mtihani wa Mapenzi Baada ya harusi yao ya kifahari na sherehe za furaha, Musa na Amani walijitosa katika maisha mapya kama wanandoa. Waliendelea kuimarisha uhusiano wao, wakifanya kila juhudi kuhakikisha wanadumisha furaha na mapenzi kati yao. Walihamia kwenye nyumba yao mpya...
  11. Hadithi: Mapenzi ya Mjini

    Sehemu ya Kwanza: Mkutano wa Hatima Kulikuwa na mji mkubwa uliokuwa ukijulikana kwa jina la Mji wa Furaha. Katika mji huu, tamaduni na mila mbalimbali zilijumuika na kufanya maisha kuwa na mvuto wa kipekee. Miongoni mwa wakaazi wa mji huu, kulikuwa na kijana mmoja kwa jina Musa, aliyekuwa na...
  12. Minada ya Mtwara mjini

    Habari zenu wana Mtwara tafadhali anae fahamu kuhusu ratiba za minada ya Mtwara mjini tafadhali. Nitakapo kuwa Mtwara nitautumia muda huo kuzunguka kwenye minada yote ya Mtwara kwa ajili ya ku interact na wana Mtwara. With much thanks in advance
  13. Rasmi wanajeshi wa Israel waingia Rafah mjini kati

    Asiye na mwana aelekee jiwe, ni mwendo wa kikomando na kufyatua fyatua, mnaojificha nyuma ya watoto pole zenu, hawa ni Wayahudi (sio Wakristo mliozoea) wanapiga tu. Shukrani sana IDF, malizeni hii shughuli tuwaze mengine, wawahisheni kwa mabikira... ================== Several Israeli tanks have...
  14. Ukichoka na Mishe za Mjini Dar, Kajipumzishe Pugu “Ushoroba”

    Mambo vipi wazee? Kuna pahala panaitwa Pugu Kazimzumbwi alhamarufu Ushoroba. Ni pazuri sana kwa mkazi wa Dar au Pwani anaetaka kupumzika siku moja au weekend kuzipisha kelele za bodaboda, bajaji, magari, wauza sumu ya mende, etc. Nimeenda mara kadhaa na weekend hii pia nilienda. Utangulizi...
  15. Mkurugenzi badala ya kufanya na kusimamia usafi ambao ni kero mjini, aibukia pengine

    https://youtu.be/tXr0IShfWjk?si=WZ90OgpxtV42FP66 Nimesikiliza ila bado napingana na juhudi zinazo semwa juhudi hizi ni usiasa tu hazina utekelezaji tunataka kuwaambia iwàpo taka mnataka zisitolewe njee mpaka gari ipite mnataka kuficha uzembe wenu wa kubeba taka Ili ziwe majumbani na zisionekane...
  16. Zalisha funza, ni bonge la dili hapa mjini

    SOMO UFUGAJI WA FUNZA funza ni nini? Funza hawa ni moja tu kati ya hatua za ukuaji za wadudu walukao, watu wengi hufikili hao funza hubaki kuwa funza mpaka mwisho jambo ambalo si la kweli hawa funza ni larval stage ya ukuaji wa wadudu ambapo wadudu hao wapepelukao hutua na kutaga mayai yao...
  17. Colombia kufungua ubalozi wake Palestina mjini Ramallah

    Baada ya nchi tatu za Ulaya kuamua kuitambua Palestina rasmi kama taifa sawa na mataifa mengine duniani,nchi ya Colombia imepiga hatua zaidi kwa kuamua kufungua ubalozi kabisa mjini Ramallah. Nchi zilizoamua kuachana na ukiritimba wa Ulaya na kuamua kuitambua Palestina ni Ireland Spain na...
  18. A

    KERO Iringa mjini baadhi ya Adhana za misikiti zimezidi kelele, sauti iwe ya chini isiwe kero

    Matumizi ya Speaker ina mipaka yake. Ukizidisha sauti inakuwa sio adhana bali ni kero kwa wananchi, ambapo sio wote ni waislamu. Dini yetu inasisitiza sana kuchunga haki za majirani na kwenye hili misikiti hawajapewa msamaha. Ifike mahali waendesha hizo misikiti wawe na aibu maana hakuna haja...
  19. Ushauri unahitajika kilimo cha mboga mboga maeneo ya mjini

    Wakuu nahitaji kulima mboga mboga hasa chinese na tembele kwenye uwanja wangu wenye ukubwa wa nusu eka, nimezunguusha fensi na nimechimba kisima kwa ajili ya maji ya kumwagilia. Nahitaji kuelimishwa jinsi ya kuandaa shamba au kitalu, aina ya mbegu au miche na aina ya mbolea inayofaa. Pia ni...
  20. CHADEMA muonyeni kada wenu Steven Ngassa aache ujanjaujanja wa mjini

    Hii ni salamu kwa viongozi wa Chama cha Drmokrasia na Maendeleo (Chadema) mjini Moshi kwamba muonyeni kada wenu na diwani mstaafu wa Kata ya Kiusa, Steven Ngassa aache ujanjaunja wa mjini atafute kazi za kufanya vinginevyo tutamuumbua mchana peupe. Ngassa amekuwa akifanya mambo ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…