Benjamin William Mkapa (12 November 1938 – 24 July 2020) was a Tanzanian politician who served as the third President of Tanzania. He was in office for one decade from 1995 to 2005. He was Chairman of the Revolutionary State Political Party (Chama Cha Mapinduzi, CCM).
Mechi ya Leo imetufundisha jambo, hwa Asec mimosas simba haiwafikii kwa ubora walionao, walivyowafunga kwa Mkapa ni kwasababu za nje ya uwanja zaidi na sio kwamba simba iliwazidi ubora.
Mambo ya kishirikina yanayofanyikaga pale kwa mkapa ili simba ashinde tunayajua vizuri sana, ndiyo maana...
Habari,
Young Africans Mabingwa Wa Kihistoria Nchini Leo Wataingia Uwanjani Kumkaribisha KMC kwenye mchezo wao wa kumi na name hapo saa moja kamili usiku Uwanja Wa Benjamin Mkapa.
Hadi sasa Young Africans hawajapoteza mchezo wowote na inawafanya kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi. Tunategemea...
Japokuwa mikakati ya kiutekelezaji ilitofautiana,viongozi Hawa walikuwa na itikadi zenye maono yanayokaribia kufanana hasa katika kujitegemea,kuondokana na madeni na kutumia fedha zetu za ndani.
Hivyo basi tupitie japo kwa uchache mafanikio yao katika kulijenga taifa letu nawe mchangiaji...
Uongozi wa Klabu ya Simba umethibitisha kupokea taarifa kutoka Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuwa inayotoa nafasi ya kuingiza mashabiki 35,000 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mchezo wa Kundi D, Kombe la Shirikisho dhidi ya RS Berkane ya Morocco.
Simba itakuwa mwenyeji wa mchezo...
Muda mchache ujao, mabingwa wa nchi Simba Sc watashuka dimbani kuwakaribisha Dodoma Jiji katika dimba la Benjamin Mkapa.
Ungana nasi hapa kwa updates..
Kwanini......?
1. Kiufundi Uwanja wa Uhuru ni mdogo hivyo utawapa Changamoto akina Gendamarie na Berkane wanaopenda na waliozoea Viwanja vyao Vikubwa huko Kwao Niger na Morocco hivyo Kuwafunga kiurahisi.
2. Kiufundi Uwanja wa Uhuru ni mzuri kwakuwa Mashabiki 35,000 ambao wataruhusiwa wa Simba...
Kiongozi mmoja mstaafu aliyehudumu katika awamu ya kwanza hadi ya nne na ambaye hayati Magufuli alisema Rekodi yake haitavunjwa amesema atamtetea Freeman Mbowe mahakamani endapo Peter Kibatala atatoa baraka zake.
Mstaafu huyo amesema anamjua Freeman na anaijua Chadema lakini pia anazijua fitna...
Mchezo umemalizika, Chama anakabidhiwa mpira kwa kufunga hat trick.
Full Time
Zinaongezwa dakika 3 za nyongeza
Dk 90: Simba wanapiga pasi na kuumiliki mchezo.
Dk 87: Mchezo umepungua kasi, Ruvu ni kama wamekata tamaa.
Dk 82: Kocha wa Ruvu, Charles Mkwasa anaonekana kuwa katika masikitiko.
Dk...
Wanafainali wa michuano ya Kombe la FA msimu uliopita, Yanga, leo saa moja usiku watakuwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kutafuta nafasi ya kutinga Hatua ya Robo Fainali wakati itakapocheza dhidi ya Biashara United kutoka mkoani Mara.
Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi alinukuliwa...
Klabu ya Simba leo Jumapili February 13 inashuka kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza na ASEC Mimosas kutoka Ivory coast, kwenye mchezo wa kwanza hatua ya makundi Kombe la Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC.
Hautakuwa mchezo mwepesi, bali utakuwa mgumu na wa kusisimua hasa ukizingatia...
Habari Tanzania na Kote Duniani..!
Kuelekea siku ya Jumapili February 13, 2022 hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC kupigwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa (Mkapa Stadium), ambapo Mnyama Mkali Mwituni Simba SC anakamuana na ASEC Mimosas kutoka Ivory Coast.
Ni mchezo mkubwa...
Mzee Wasira yupo Star TV Hivi sasa katika kipindi cha the Big Agenda anasema kwa miaka 10 kila mmoja cha Mkapa na Jakaya walikopa trillion 23 na 20 mtawalia.
Magufuli kwa miaka 5 alikopa trillion 29.
Nchi hii ina Watangazaji na Wachambuzi ( wa Redioni ) wa hovyo hovyo hadi kuna muda unaona 'Kinyaa' tu Kuwasikiliza.
Hivi ni nani hajui kuwa jana Yanga SC ilichokifanya ilipocheza na Ihefu FC kwa Mkapa na Kumfunga zile Goli 4 ni sawa tu na Kupiga Bomu Mochwari na Kujisifu kuwa Umeua Watu wengi...
Leo kutakuwa na Mchezo wa Kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2022 pale Qatar, kati ya Tanzania dhidi ya DR Congo katika dimba la Benjamin Mkapa hapa Dar Es Salaam.
Taifa Stars wataingia dimbani wakitafuta point 3 muhimu ili waendelee kutengeneza mazingira mazuri ya kufuzu kombe la Dunia.
Ni mchezo...
Taifa Stars ine tabia chafu fulani hivi kama mmewahi kuichunguza kwa undani.
Kwa mfano inaweza kukupa matumaini mazuri kuwa wako fit na wako poa lakini inangoja kipindi kizuri ambacho kila mtanzania anaiaminia. Hiko ndiko kipindi ambacho Taifa Stars inaenda kuvunja mioyo yetu.
Mimi...
Nimejaribu kufikiria namna marais wetu wanavyoshughulikia mambo mbalimbali, kila mmoja kwa wakati na kwa namna yake ndipo napata kuelewa kwamba yule makonde alikuwa bonge la genius.
Mkapa aliamini sana katika taasisi hivyo kila changamoto anayoiona alifikiria kuunda taasisi na ndio maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.