Benjamin William Mkapa (12 November 1938 – 24 July 2020) was a Tanzanian politician who served as the third President of Tanzania. He was in office for one decade from 1995 to 2005. He was Chairman of the Revolutionary State Political Party (Chama Cha Mapinduzi, CCM).
Wenye Dawa ya Kunisaidia GENTAMYCINE niache Kudadisi sana mambo Magumu, Mazito na ya Siri ( ndani kabisa ) nipeni tafadhali.
Nimeangalia Hotuba za Marais Nyerere, Mwinyi na Mkapa sijawahi kuona popote walipokuwa ' Wakihutubia ' walipatwa na Changamoto ya ' Kukohoa ' hata kidogo tu.
Nimeangalia...
Kuna Watu niliambiwa kuwa wakilitaka lao wanajua kulipata kwa 'Kuroga' vibaya tena kwa 'Kufuru' kabisa nikawa siamini, ila kwa nilichokiona na Kukisikia kuna Mtu aliwacheka Watu Kidharau akiwa ' Benchini ' huenda Kesho akanuna na hata Kulia hadi Kuzimia na hata Kufa pia.
Wewe zitengwe Milioni...
Mwaka 1979. Kindi hiko sheri y offside wal hikuwepo, Mikia FC walipindua matokea ya mabao 4 dhidi ya Mufulira Wonderers FC katika michuano hii hii ya Klabu Bingwa Bara la Afrika. Mikia FC wliweza kupata ushindi amabao 5 n kufnikiwa kuinga hatua inayofuata. Leodgar Tenga aliwahi kusema siku moja...
Mzee Benjamin Mkapa (Mungu amrehemu) kwenye kitabu chake katika sura za mwisho alitafakari kidogo juu ya mambo kiongozi wa umma anayozushiwa pamoja na utendaji wake mzuri.
Mzee Mkapa alisimulia namna Costa Rica Mahalu Balozi mwema alivyozushiwa zigo la rushwa tena kwa kusingiziwa na likamtesa...
Nisipokuta sehemu yoyote ile katika Kitabu anachoenda Kukizindua Keshokutwa (Jumamosi tarehe 8 May, 2021) Rais Mstaafu Mzee Mwinyi amekiri kuwa Awamu yake ndiyo 'Baba wa Rushwa' nchini Tanzania sitokinunua na nitakipuuza pia.
Mwenzake Rais Mstaafu (sasa Hayati) Mzee Mkapa nae katika Kitabu...
Timu ya Taifa ya Uganda inatarajiwa kutumia Uwanja wa Taifa wa Tanzania kama uwanja wao wa nyumbani kwenye michuano ya kufuzu Kombe la Dunia la 2022.
Shirikisho la Soka Uganda (FUFA) limelijulisha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juu ya msaada wanaohitaji wa kutumia Uwanja wa Mkapa kama uwanja...
Ni mechi muhimu kwa Yanga kuendeleza matumaini kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara na kurejea kileleni ikiwa imeshinda mechi zake mbili zilizopita. Azam baada ya kusuluhu mechi iliyopita na Dodoma jiji itajitahidi kushinda mechi ya leo.
Yanga yenye alama 57 na michezo 26 itaikaribisha...
Baada ya michezo ya kimataifa leo Simba wanatupa karata nyingine kwenye ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sukari kutoka Manungu Turiani.
========
00' Mpira umeanza dimba la Mkapa
06'Mtibwa wanapata kona pacha lakini zote zinashindwa kuzaa goli
09' Chama anaiwekea Simba goli la kwanza...
Aliye na ushaidi juu ya wizi wa Jakaya Mrisho Kikwete auweke hapa. Jk alikuwa mwasiasa mbobezi, alijua nchi inahitaji nini iendelee, aliujua uchumi vizuri.
Hana Mali au miradi binafsi, aliyoiacha kwake au kwa familia yake katika utawala wake. Kama unaushaidi weka hapa. Zaidi ya kijumba msoga...
Nataka tu Mshinde au Mtoke Sare tu, ila msikubali Kufungwa kabisa leo kwani mtanikera.
Hao Mabeki wenu waambie Wawagongegonge ( wapige Buti ) sana akina Kisinda na Ntibanzonkiza.
Tumeshamaliza Jukumu la Kimataifa ( CAF Champions League ) na tunarudi VPL.
Nawaonea mno Huruma watakaokutana na...
00' Mwamuzi anapuliza kipenga kuashiria mwanzo wa mchezo
30' Luis Miquissone anapiga goli la kwanza kwa upande wa Simba
32' Goli la Simba halidumu baada ya Zemanja Soze wa AS Vita kusawazisha dakika mbili baada ya goli la kuongoza la Simba
45+1' Cloutas Chama anaifanya Simba kumaliza kipindi...
Nimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama kinamchomuenzi hayati Julius Nyerere ndio maana kinakuwa kinahakikisha kuwa rasilimali za taifa la...
Kwa Mpira ule mkubwa wanaoucheza AS Vita Club ambao hata Waarabu wenyewe na Mabingwa Afrika Al Ahly wamekiri kupata nao Taabu nimeamini kuwa nje ya Kucheza Mpira mwingi lakini hata Bahati nayo ina nafasi Kubwa mno katika Mafanikio (Ushindi) wa Mchezo wa Soka (Kabumbu) duniani.
Hofu yangu Kubwa...
Haya mambo ya kuzushiana ugonjwa na vifo hayajaanza leo, yalikuwepo enzi na enzi. Kuzushiana vifo sio jambo geni katika Ulimwengu huu, kuna mlolongo wa matukio mengi ya watu mashuhuri na watu maarufu waliowahi kuzushiwa kuumwa au vifo.
Sababu mojawapo hutokana ama na siasa zenye chuki na uadui...
Michezo miwili ya Klabu bingwa Afrika itapigwa hii leo . Mchezo wa kwanza ni wa kundi B ambao utaikutanisha CR Belouizdad dhidi ya Mamelodi Sundowns katika Dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa kumi kwa saa za Afrika Mashariki.
Katika mchezo huo watazamaji hawatoruhusiwa kuingia uwanjani...
Timu ya soka ya Simba leo iko dimbani kupambana na Al Ahly ya Misri katika mchezo wa hatua ya makundi ukiwa ni mzunguko wa pili kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa majira ya saa kumi jioni. Pamoja na timu zote kuwa na alama tatu baada ya kushinda mechi zao za mzunguko wa kwanza, Al Ahly inaongoza...
On behalf of Muhimbili National Hospital (MNH), National College of Tourism (NCT), The Dar es Salaam University College of Education (DUCE), Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA) and Benjamin Mkapa Hospital, Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 28...
Naitazama kwa umakini sana hii mechi ya Al ahly vs Palmeiras ya brazili, ni wazi kuwa Al ahly wameimarika maradufu tangu wakati ule tulipo wafunga pale taifa goli moja naomba ikiwezekana timu Yangu ya Simba ijiwekee utaratibu mwingine kwamba angalau tushinde japo mechi moja ugeninini ili tuweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.