mkapa

Benjamin William Mkapa (12 November 1938 – 24 July 2020) was a Tanzanian politician who served as the third President of Tanzania. He was in office for one decade from 1995 to 2005. He was Chairman of the Revolutionary State Political Party (Chama Cha Mapinduzi, CCM).

View More On Wikipedia.org
  1. Kinoamiguu

    Watangazaji wa Azam acheni kupotosha jina la Uwanja wa Mkapa

    Ati wanaita estadio de Mkapa, sijui ni mbwembwe au nini? Kiswahili kina misamiati mingi, kwann isitumike badala ya kuweka maneno ya kireno? Mzee kajenga uwanja kwa heshima ya nchi na mpira. Japo hakuwa mtu wa mpira. Kampeni heshima yake hizo mbwembwe za ESTADIO DE MKAPA ZINAKERA WENGI.
  2. Infantry Soldier

    PRESIDENTIAL MEMOIR: Rais Magufuli, baada ya kustaafu, ukipenda kuandika kitabu kama mzee Mkapa, tumia lugha ya wazalendo ya Kiswahili

    Habari zenu JamiiForums. Ninaomba kuanza kwa kunukuu maneno ya Balozi Mkuu wa lugha ya Kiswahili Mh. J.P Magufuli alipokuwa kwenye hafla moja jijini Dodoma. Mheshimiwa Rais alisema hivi “Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza...
  3. J

    Kila nikisoma Kitabu cha Mkapa namfananisha sana Jah People na Rostam Azim kama nyota wa mechi

    Aina ya siasa alizofanya Rostam Aziz enzi zake hazitofautiani sana na za mzee David Sanga aka Jah people mjukuu wa mganga maarufu pale Makete ambaye aliwapa sana utajiri Wakinga kabla hajaokoka. Ukiona Jah people anatetea jambo fulani ujue pana maslahi binafsi kama ilivyokuwa kwa Aziz...
  4. M

    Naomba mwenye ufahamu na Taasisi ya Benjamini Mkapa anisaidie hapa

    Wanajamvi nawasalimu katika jina la Bwana Mungu Mkuu. Taasisi ya Benjamini Mkapa ni kitengo ndani ya serikali au ni Taasisi binfsi? Nauliza hivyo kujua kama mtu akiajiriwa na hiyo taasisi anakuaa na ajira ya kudumu au ya mkataba? Taasisi ya Benjamini Mkapa Inafanya kazi na TAMISEMI na ajira...
  5. Victoire

    Semeni ukweli, kwa pisi hii, wewe ndo ungekuwa waziri wa ujenzi kipindi cha Mkapa usingemgawia nyumba ya serikali?

    Tiririkeni ya kutoka moyoni
  6. M

    Leo nimetafakari sana kifo cha Rais Benjamin Mkapa

    Ni miezi takriban minne sasa tangu Rais Mstaafu BWM atutoke. Bila ubishi, Rais Mkapa alikuwa na ushawishi mkubwa ndani ya siasa za CCM, na ni ukweli usio na shaka kuwa outcome ya siasa za CCM za uchaguzi wa mwaka 2015 ambazo yeye alishiriki kikamilifu ndizo leo hii tunaishi kwa consequences...
  7. NairobiWalker

    Despite the hullaballoo, Benjamin Mkapa Stadium Complex is no match to Kasarani complex which was built way back in 1987

    The Benjamin Mkapa Stadium complex consists merely of two stadia, the 60,000 seater Benjamin Mkapa Stadium and 23,000 seater Uhuru stadium which are merely football stadia. Meanwhile, the Moi International Sports Centre, Kasarani consists of 1. 60,000 seater Kasarani stadium (Football, rugby...
  8. R

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, Waziri Mwinyi na Vyombo vya usalama vimejipangaje kuepuka Majuto kama Yale ya Mkapa kwenye Confession yake "My life my Purpose"?

    Sisi kama Raia wema tuna wajibu wa kukumbushana pale tunapoona Taifa letu pendwa linataka kudidimia kutokana na Uroho wa madaraka wa baadhi ya wagombea ambao tayari wako madarakani. Rais Magufuli bado ni Amir Jeshi Mkuu mpaka hapo tar 28 siku ya uchaguzi na mpaka kuapishwa kwa Rais mpya tar 30...
  9. Shark

    CCM kwa hiki mlichoufanyia Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Mungu anawaona

    Dah, CCM Mlijua kabisa Leo tarehe 11 October 2020 tutakua na mechi Muhimu ya Kimataifa ya Kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars v/s Burundi lakini bado mkapitisha Fiesta lenu palepale. Uwanja wote umejaa vipara na zile ni nyasi halisi, kuota tena ni majaaliwa. Uwanja sasa...
  10. DIUNATION

    Uchaguzi 2020 Uwanja wa Mkapa umeharibika waandishi kimya

    Jana kulikuwa na tukio kubwa sana la kampeni la Chama cha Mapinduzi kwenye uwanja mkubwa wa Mkapa. Kilichotokea baada ya tukio hilo picha zinajieleza haina tofauti na kilichofanywa na WCB kule Sokoine, Mbeya. Tofauti ni kuwa kule Mbeya kelele za kulaani zilikuwa nyingi ila kwa Jana kimya kila...
  11. Sibonike

    Mkapa Stadium

    Léo 9/10/2020 Kesho kutwa mechi. T Stars vs Burúndi. No comment
  12. Chizi Maarifa

    Ukiondoa ubabe na mfumo mbaya ndani ya CCM Mkapa alikuwa ni Rais mzuri after Nyerere

    Kama binadamu Mkapa alikuwa na udhaifu wa kuwa mbabe au ujivuni kiasi flani. Lakini kama kuna kiongozi ambaye ingekuwa mfumo wetu upo vizuri aliyekuwa na akili alikuwa Mkapa. Alijiamini kupita kiasi.angekuwa amejishusha kiasi flani alikuwa ana uwezo wa kuifikisha nchi mbali sana. Alikuwa na...
  13. Ulimbo

    Kuondoka kwa Mzee Mkapa ni pigo kubwa sana kwa Serikali ya CCM

    Heshima kwenu wanajamvi. Wakati huu ambao bado machungu ya kuondokewa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tau Mzee Mkapa hayajaisha, naona ndani ya CCM wana wakati mgumu sana kwani Mzee mkapa ndiye aliyekuwa kama nguzo kwa huyu mgombea anayetetea nafasi kwa mara ya pili. DALILI ZOTE ZINAONESHA KUWA...
  14. M

    Heshima kwa Dkt. Augustino Lyatonga Mrema

    Uchaguzi wa 1995 nilikuwa mdogo Primary School nakumbuka Mrema alishinda 1995, aliongoza mikoa 7 yenye nguvu Dar, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Mwanza, Tanga, Kagera na Tume ya uchaguzi ikafuta matokeo kwenye hiyo mikoa wakaamuru uchaguzi urudiwe tena November kwenye mikoa aliyoongoza Mrema na...
  15. K

    Pengo la Mkapa ni kubwa sana wakati huu

    Magufuli hakuna mtu hata mmoja anaweza kukaa naye na kumueleza ukweli bila kuna na mahitaji binafsi. Mzee Mwinyi: Anachojali ni mtoto wake kuwa rais zanzibar Kikwete: Anajali mtoto na mke wake familia inatamaa haiwezi kupumzika😂. Mama Salma hawezi hata kutoa hoja masikini Mkapa pekee ndiye...
  16. M

    Tuwaogope sana wanaohubiri chuki kwa kisingizio cha ushindani wa kisiasa

    Ndugu Wananchi: Hatukuanzisha mfumo wa vyama vingi vya siasa ili kujenga chuki miongoni mwa Watanzania. Hivyo, tuwaogope sana wanaohubiri chuki kwa kisingizio cha ushindani wa kisiasa.Ushindani tunaoutaka sisi ni wa hoja, ni wa fikra, ni wa mikakati na mipango...
  17. mugah di matheo

    Yanga vs Prison kwa Mkapa VPL 2020/21

    Mechi live kila mwenye access atupe updates Kila la heri asukile uwanyooshe jiesm ======== Kipindi cha Kwanza Goal dk ya 7 Lambart nje ya 18 anawatanguliza Prisons Yanga 0-1Tanzania Prisons
  18. GENTAMYCINE

    Hatimaye 'imevuja' rasmi Kujaa hadi 'Pomoni' vile kwa Mzee Mkapa 'Wapuuzi Day' kumbe ukikutwa nje unapewa Jezi ya 'Kubumba' na Kuingizwa bure!

    Nilishangaa sana na mno kwani Mashabiki wa Nyani Mbwa Sokwe FC ninaowafahamu Mimi Kwanza hawana Hela (nikimaanisha wengi wao ni Masikini na Choka Mbaya) kama Mimi GENTAMYCINE halafu pia ni 'Wabahili' kumzidi hata Kocha Arsene Wenger na Profesa Ibrahim Lipumba eti 'wamethibutu' kabisa 'Kuujaza'...
  19. J

    Yawezekana watanzania wanapenda zaidi kandanda kuliko Siasa, siyo kwa nyomi hii ya Yanga hapa Mkapa

    Sipati picha nyomi kama hii ikisheheni kwenye mkutano wa Chama cha Siasa hali itakuwaje huko mitandaoni. Je, mapenzi ya vilabu vya mpira hasa Simba na Yanga yanazidi yale ya vyama vya siasa? Maendeleo hayana vyama!
  20. Infantry Soldier

    Wahenga Wa Siasa: Benjamin Mkapa, Yasser Arafat, Fidel Castro na Nelson Mandela. Hili tukio la pamoja lilitokea lini na wapi?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Ndugu zangu wahenga wa siasa za Tanzania/Afrika; Hivi vyuma vinne (Benjamin Mkapa, Yasser Arafat, Fidel Castro na Nelson Mandela) vilikutana...
Back
Top Bottom