Benjamin William Mkapa (12 November 1938 – 24 July 2020) was a Tanzanian politician who served as the third President of Tanzania. He was in office for one decade from 1995 to 2005. He was Chairman of the Revolutionary State Political Party (Chama Cha Mapinduzi, CCM).
Kutokana na mambo mengi makubwa ya mageuzi ya kijamii na kiuchumi hapa nchini. Ninashauri itengwe siku moja na kuitwa MKAPA DAY mfano siku ya Utumishi wa Umma- Public Service Day, hii ni kumuenzi kutokana na mageuzi na maboresho aliyoyaasisi kwenye Utumishi wa Umma miaka ya 1995-2005.
Hayo ni...
DR. RAMADHANI KITWANA DAU ANAVYOMKUMBUKA RAFIKI NA KIONGOZI WAKE RAIS MSTAAFU BENJAMIN WILLIAM MKAPA
KWA NINI NAMLILIA MZEE BENJAMIN WILLIAM MKAPA
Dkt. Ramadhani K Dau
Ilikuwa siku ya Ijumaa tarehe 24 Julai 2020 kiasi cha saa 8 na nusu usiku kwa saa za Tanzania nilipopata simu kutoka Accra...
S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Ndugu zangu watanzania;
Rais Magufuli angeweza kutoa msamaha kwa wafungwa wachache tu (MTWARA PEKEE) ili kuweza kuenzi matendo mema, hekima...
Kijana huyo amevutia waombolezaji wengi kwenye mazishi ya Hayati Mkapa kiasi kwamba kila mmoja kutamani kupiga picha naye. Sijafanikiwa kupata jina lake lakini anadaiwa kushika wadhifa wa Udiwani huko Mtwara.
Ikumbukwe Mkapa amehudumu Urais kuanzia mwaka 1995 - 2005 hivyo huenda fulana hiyo...
Kwa maoni yangu wakati Hayati Mzee Mkapa akiingia madarakani mwaka 1995 alianza na Mikakati ya kuweka mifumo mbalimbali ambayo hadi sasa imekuwa endelevu. Kipindi hicho ndicho kiliibua Maboresho katika Utumishi wa Umma.
Hii iliendana na dhana ya ajira kwa kuzingatia sifa pamoja na kuibua...
Serikali na Wizara ya Mambo ya Nchi za nje ulitoa mwongozo juu ya suala la kushusha nusu mlingoti bendera zote kwa Balozi zote za nie zilizopo hapa Tanzania kutokana na Msiba huy wa kitaifa tulio nao.
Ubalozi wa Falme za Kiarabu hapa Tanzania bendera zake bado zio juu kabisa toka msiba wetu wa...
Wengine tuliobaki ,tunjiani twasogea.
Mkapa ameondoka, katu hatorudi tena.
mengi ametufanyia kwa hisabu sikumbuki
Mkapa ameondoka katu hatorudi tena
Kama wanafunzi bora,tuyasome yake mema.
Mkapa ameondoka katu hatorudi tena
Sisemi hana mabaya,ya pemba si ya kuigwa
Mkapa ameondoka katu...
Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Mhashamu Askofu Gervas Nyaisonga, amesema kitendo Hayati Benjamin Mkapa kukiri mambo aliyowahi kukosea wakati wa uongozi wake akiwa Mkuu wa nchi katika kitabu chake cha ‘My life My Purpose’ ni ishara ya unyenyekevu na kumpenda Mungu.
Askofu...
Kwa Kheri mzee wetu Mkapa, Mungu akurehemu huko uendako.
Nimevaa viatu vya mzee Mkapa kwenye mahusiano yake yenye moyo wa kipekee, havinitoshi kabisa na sio mimi tu karibia wanaume wengi wa karne hii hawawezi kuwa na ujasiri wa moyo kama aliokuwa nao huyu mzee wetu ni wa kipekee kabisa.
Hebu...
Tundu Lissu baada kutua kwenye ardhi ya Tanzania alijawa na furaha ilichanganyika na huzuni, utamu na uchungu.
Hakutegemea idadi ya Watanzania waliokwenda kumpokea na mapenzi waliyomuonyesha hakutegemea na yalimfariji sana.
Uchaguzi mkuu huu utakua ni referendum juu ya miaka mitano ya Urais...
Jana wakati Rais Magufuli anasoma hotuba ya Tanzia juu ya kifo cha Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa, alizungumza mambo mengi mazito ambayo rais huyo aliyetutoka alilifanyia Taifa.
Kwa kweli Mkapa ameacha alama katika nchi hii, yeye ndiye aliyesuka engine ya Tanzania ya leo tunayoiona. Yeye...
Wanabodi,
Wakati leo tunampumzisha mpendwa wetu Benjamin William Mkapa kwenye pumziko lake la milele.
Nilidhamiria Kwenda Lupaso Kumzika Mkapa.
Mimi ni mwandishi wa kujitegemea, ambaye sifanyii kazi chombo chochote cha habari, lakini habari zangu nasisambaza vyombo mbalimbali vya habari na...
IGP AWAONYA WALIOPANGA KUVURUGA SHUGHULI YA MAZISHI YA MZEE MKAPA
“Kama kuna watu wanataka kuiharibu hii shughuli yetu tutawashughulikia,” – Kauli ya IGP Simon Sirro akiwaonya wanaopanga kuvuruga shughuli ya mazishi ya Mzee Mkapa.
Ikiumbukwe mapema ya leo Vikosi vya Ulinzi na Usalama Vilizuia...
Nimejaribu kuzitafakari quotes za Mzee Mkapa na kugundua ni quotes zilizokuwa na maana kubwa sana.
Hazikuwa quotes za kisiasa, kikanjanja na za kulaghai wananchi bali zilijaa ukweli na uhalisia.
Tujikumbushe kidogo hizo quotes
1. Ukweli na Uwazi
2. Mtaji wa Maskini ni Nguvu Zake
mwenyewe...
Leo, ilikuwa ni siku ya kuuaga Kitaifa mwili wa Rais wa Awamu ya 3, Benjamin Mkapa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar na viongozi mbalimbali walikuwa wakienda kutoa salamu zao za mwisho
Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walienda uwanjani hapo na baadaye kudai kuwa...
KILICHOTOKEA KWA MKAPA KISITOKEE KWA KIONGOZI MWINGINE.
Na Bashir Yakub, Wakili.
+255 714 047 241.
Haikuwa sawa kuupeleka mwili wake kila asubuh uwanjani, kuuanika pale masaa 12, na kisha kuurudisha tena kila jion,kwa siku tatu mfululizo.
Mzee Mkapa ni kiongozi wa kitaifa na hivyo ilikuwa...
Imagine Klabu ya soka ya AS ROMA ya nchini italia ina ukurasa maalum wa twitter wa kiswahili na hata tarehe 24 july walitoa hisia zao kuhusiana na kifo cha Rais mstaafu B.W. Mkapa, ni wakati sasa wa vilabu vyetu kuwa na kurasa maalum za Kiingereza.
RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amejikuta akitokwa machozi hadharani baada ya shindwa kujizuia wakati akielezea mazungumzo yake ya mwisho na Rais mstaafu awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam
Hilo limejitokeza leo Jumanne tarehe 28 Julai 2020...
Nimefuatilia leo kwenye sherehe za kumuaga Rais Mtaafu BW Mkapa. Kilichotokea ni kuwa Rais ameamua kuwa Uwanja wa Mpira Uitwe Uwanja wa Mkapa kama watu wengi walivyopendekeza.
Pia, alisema kuwa Mzee Mkapa hakupenda jina lake liwe kwenye kumbukumbu kama hizo lakini kwa vile hayupo basi ameamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.