Benjamin William Mkapa (12 November 1938 – 24 July 2020) was a Tanzanian politician who served as the third President of Tanzania. He was in office for one decade from 1995 to 2005. He was Chairman of the Revolutionary State Political Party (Chama Cha Mapinduzi, CCM).
Historia ya Benjamin Mkapa
MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA
WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA
Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
bendera
chadema
habari
haki
historia
huzuni
itv
kubwa
makongoro
makongoro nyerere
maua
mkapa
musiba
mwanaharakati
nyerere
nyumbani
rais
saa
serikali
shada
sherehe
tanga
tbc
uhuru
upinzani
watoto
Benjamin William Mkapa alizaliwa mnamo 12 November 1938 huko Ndanda Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Alimaliza Shahada ya kwanza ya Lugha ya Kiingereza kutoka Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda mwaka 1962
Mwaka 1963 alihitimu shahada ya Uzamili katika Mahusiano ya Kimataifa kutoka katika Chuo...
Haijafahamika kama walitimuliwa au ndege ilikatazwa ruhusa ya kutua au kitu gani, ila wajumbe hao ambapo humo kuna viongozi, walifika Tanzania na ndege kugeuza nao, bado inasubiriwa ieleweke nini haswa mbivu na ipi mbichi. Waziri wa Tanzania bwana Kabudi amesema hali ya hewa ndio ilikua mbovu...
KIFO cha Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bejamin William Mkapa kimeacha pengo kubwa katika uongozi na maendeleo ya Tanzania, Afrika na duniani kote kwa mchango wake uliooendelea kuhitajika ndani na nje ya mipaka yaTanzania.
Rais wa Zanzibar na...
Msafara wa Viongozi Wakuu wa CHADEMA, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Freeman Mbowe, wamezuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru walikokuwa wameenda kuhudhuria shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kumuaga Rais Mstaafu wa Awamu Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa.
Mwenyekiti wa Chama...
Maana naona ni kama Waziri Mkuu wa Burundi peke yake ndio amekuja na baadhi ya Mabalozi, ina maana ni kwa sababu ya Korona au hawakuona umuhimu wa kuja? Au ndio watasingizia KORONA?
Yaani hata majirani
Museveni
Kenyatta
Kagame, nao wamegoma?
Nakumbuka alipokufa Moi, Mkapa na JK walienda, so...
Nimesikiliza mambo ambayo Rais Magufuli anayasema kuhusu Mkapa binafsi naona Mkapa ni shujaa mkubwa mno wa Taifa hili maana alianzisha mambo muhimu mno mpaka sasa na sisi ambao wengi hatujui tulijua hayo yalianzishwa na Mwl. Nyerere au Mzee Mwinyi kumbe ni Mkapa, pia naona yale maubabe aliyokuwa...
Rais Magufuli amesema "Mzee Mkapa aliujenga uwanja mkubwa wa michezo. Wengi wanataka uitwe Mkapa Stadium. Alikuwa hapendi vitu viitwe kwa jina lake, lakini hawezi kuniadhibu amelala. Natamka rasmi uitwe Mkapa Stadium'
Nakumbuka nilirudi likizo Mwaka 1999 Nikakuta mzee anayo simu ya Motorola kubwa nikashindwa kuitofautisha na radio call aliyokuwa anatumia na simu ya motorola aliyokuwa nayo na kipindi hicho ndio huduma za simu zimeanza kutolewa kwenye vibanda vya wafanyabiashara. Cha kushangaza ilikuwa...
Watanzania wote tupoe kwa msiba wa Mzee wetu huyu muhimu katika Taifa letu. Mapenzi ya mungu hayana makosa.
Nikirudi kwenye mada, katika wiki hii ya maombelezo, kuna mengi yanaendelea kujadiliwa kumuhusu Mzee wetu. yameelezwa mazuri mengi na mapungufu vile vile.
Mimi tafakuri yangu imefupisha...
Mkurugenzi wa TBC anamuongelea Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, marehemu Benjamin Mkapa, katika sekta ya habari anasema alikuwa mtendaji mahiri aliyependa umakini kitu ambacho TBC wamekuwa wakisisitiza mpaka sasa kitu ambacho Mkapa alikisimamia wakati akiwa mhariri.
Pia ameongelea Mkapa akiwa...
Anaandika Mo Dewji:-Leo nimeamua kuanzisha petition (maombi) kwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli kubadili jina la Uwanja wa Taifa kuwa: Uwanja wa Benjamin William Mkapa.
Amesema Itakuwa ni heshima kubwa kama uwanja wetu pendwa utaitwa jina la Uwanja wa...
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe amesema kuwa Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamini Mkapa, alikuwa Kiongozi wa dunia, mshauri wa masuala ya Uchaguzi na kinara katika kulisaidia bara la Afrika kutatua migogoro bila kuchoka
Amesema siku zote Mkapa alikuwa anathamini akili...
My take:
Excuse my French and pardon my vernacular, Thabo Mbeki knows his ‘shit’.
I tip my hat off to him. To get what I’m talking about, watch the video of him reflecting on the passing of our 3rd president, Benjamin Mkapa.
President Mbeki seems to know our [Tanzanian] history better than a...
Rais Mstaafu kafariki, Taifa limetangaziwa msiba huu mzito, kesho yake shughuli za serikali zinaendelea kama kawaida. Hata watoto kwenda shule wakaenda!
Ligi za mpira zinaendelea wakati mwili wa mzee wetu ukiwa umelala katika viwanja vya uwanja pale Uhuru Stadium
Mwili wa Mzee wetu unatolewa...
Tukiwa katika Majonzi kuna watu wanataka kuvuruga msiba kwa lengo la Kutafuta umaarufu wa Kiasiasa msibani si mahali pake naomba Wakuu wa Vituo vya Staki Shari, Buguruni na Tazara msimamie hili hatuko tayari kuona mambo ya Kihuni yakijitokeza katika Taifa letu lenye tunu ya amani.
Kwa Vijana...
Ni vizuri kukawepo na ukweli zinapoandikwa historia za Viongozi wetu na historia ya nchi yetu Kwa ujumla..
Nimesikia mara kadhaa watu wakisema Rais Magufuli kajenga daraja la Kigambon na nabaki na maswali mengi..
Sasa hili la Mkapa kuunda TRA pia linanitatiza sana ..kivipi?
Nimemsikia mara...
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa...
Mkapa alitusaidia Kama nchi kupata Raisi Safi Magufuli sababu alikuwa na mafaili ya wezi, mafisadi na vibaka ndani ya CCM na serikali. Angekuwa hai angesaidia mno mchakato wa kuchuja watia Nia ubunge na udiwani sababu aliwajua wengi in and out
Mkapa ndie alisaidia nchi kupata Raisi Magufuli...
Tarehe 28/12/2019 niliandika kuhusu Mzee Mkapa kichwa Cha habari kikisema Nini maana ya Legacy? Niliandika naomba Kunukuu:-
"Natamani sana kujua wasaidizi wa Rais Mkapa alioingia nao madarakani 1995. Kama kuna mtu ameacha Legacy ya kutosha kwenye nchi hii japokuwa hatuoni kwa macho ya kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.