Mkiona kelele hizi ni mwanzo tu, Tanzania mmeijenga wananchi kuwa waoga kuiogopa Serikali. Jueni tunapoelekea woga utatoweka na ndipo watadai keki yao ya Taifa inayoliwa na wachache.
Kivumbi cha mkataba wa Bandari hakipoi hadi kiekeweke, mzee Butiku aliwahi kusema kwamba serikali itambue...
Bandari haijakodishwa , bali imeporwa.
Kama ingekuwa imekodishwa tungeambiwa inakodishwa kuanzia lini mpaka lini, na malipo ya mwenye mali yatakuwa kiasi gani, na aliyekodi atabakia na nini wakati ikiwa imekodishwa.
Kuna yeyote ameona kwenye mkataba tumekodisha kwa kiasi gani? Hata kama una...
KUUZA LANGO LA UCHUMI WA NCHI AU KUTAFUTA WANAHISA NI USALITI MKUBWA KATIKA KUVUNJA KATIBA YA NCHI: BANDARI NI MALI ZA WATANZANIA WOTE HATUNA WANAHISA (SHAREHOLDERS) NA HATUHITAJI WANAHISA.
WARAKA WA WAZI KWA WAHESHIMIWA WABUNGE
NAKALA KWA WAHESHIMIWA VIONGOZI WA DINI
NAKALA KWA TAASISI YA...
Akihojiwa na vyomba vya Habari vya Kimataifa huko Ulaya kwenye ziara yake ya Kikazi , kuhusu Kuuzwa kwa Bandari za Tanzania kwa Waarabu wa Dubai, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema alisema hivi, Nanukuu,
"It is a Shame that people can get our country in such a mess. I asked the...
Kwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali 👇🏾
Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuia maendeleo.
Sisi social workers hufanya observation nyingi za kijamii interaction na raia wengi inatupa fursa kujua mijadala yao ya moto na wanacho waza wakati huo.
Nilichoona mitaa mingi mijadala ni ya mipira hasa Simba na Yanga, maisha ya ndoa na biashara, wakati kuna isssue inayo trend sana twitter...
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu amesema mkataba wa kuwakabidhi bandari baina ya Tanzania na Dubai ni swala nyeti (very seriously) ndiyo maana limepelekwa bungeni.
Akiongea club house amesema kitendo cha mkataba huo kupelekwa bungeni kinaashiria unyeti wake na athari ya mkataba...
Mkataba wa Bandari umeonesha rangi zao
Na Ahmed Rajab
KUMEKUWA na mijadala ya kushangaza nchini Tanzania tangu ibainike kwamba serikali yake inawasilisha bungeni Azimio la kujadili mkataba unaotarajiwa kutiwa saini baina yake na kampuni ya kimataifa ya DP World inayomilikiwa na serikali ya...
Mimi na pia naamin watanzania wengi tunahoji aiaana ya mkataba
Wapeqw bandar but mkataba uwe unaoeleweka sio mkataba wa milele
Mara hauruhusiwi kujitoa hata akizingua
Mara bandari zote wachukue wao
Shida iko kwenye aina ya mkataba na sio waarabu
Mbona tics ilikuwa ovyo ila aamkataba wake...
Balozi Dkt. Willibrod Slaa anazungumza na Wanahabari katika Hoteli ya Regency Jijini Dar es Salaam, leo Juni 13 2023 kuhusu hati ya makubaliano yaliyoingiwa kati ya Tanzania na DP World.
Soma hapa hotuba nzima
=======
Dkt. Slaa: Hadi kufikia hatua ya azimio hili kuridhiwa na Bunge, ikumbukwe...
bandaribandari za zanzibar
bungeni
ccm
dp world
dr slaa
dubai
hizi
kelele
kizungu
mkatabawabandari
slaa
tanzania
tanzania bara
viwanja vya ndege
watanganyika
wawekezaji
zanzibar
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohammed Ali Kawaida, amesema kupitia ushirikiano ulioanzishwa na Serikali ya Tanzania katika maeneo ya bandari, utasaidia kuondoa changamoto za gharama na ufanisi wa bandari ya Dar es salaam, unaopelekea wafanyabiashara kupitisha...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa imesema katika kuhakikisha maslahi ya watanzania yanalindwa katika mkataba umeweka vifungu muhimu vinavyolinda ajira za watanzania, Haki za ardhi ya raia, ukomo wa mkataba mahsusi pamoja na...
Profesa Ana Tibaijuka amemhoji Spika Tulia kutaka kujua kuwa Je Bunge ndo limeridhia huo mkataba wa awali (Mkataba Mama) bila marekebisho au limepitisha lakini Subjected kwa serikali kwenda Kurekebisha kasoro zilizofahamika?
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na viongozi wa dini mbalimbali kuhusu mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai.
Mkutano huo unafanyika kwenye Ukumbi wa Kurasini Centre, TEC Jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu...
bandari
dubai
kanisa
kanisa katoliki
katoliki
kitima
kitu
kuhusu
kujiridhisha
kuunga mkono
mambo
mambo muhimu
mikataba
mkatabamkatabawabandari
mkono
muhimu
padre
prof. mbarawa
tabia
tanzania
uwekezaji
viongozi wa dini
waache
wabunge
waziri
Habari Wakuu!
Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.
Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson...
Magufuli ndio aliharibu uchaguzi wa 2020 akatuletea mabumunda mjengoni sasa leo wanapitisha mikataba ya kipopoma mnapiga kelele.
Athari za utawala mbaya wa magufuli zitadumu kwa miaka mingi sana. Wote mnaoshadadia siasa za hayati Magufuli hamna moral authority ya kuukosoa upopoma wa wabunge na...
Ni wazi sasa wale wote walikuwa wanapotosha kwa makusudi kuhusu tafsiri ya Sheria kuhusu Mkataba wa DP World Dubai na Serikali ya Tanzania, sasa wameishiwa pumzi kabisa na wapo "bar" wanaulizana kwamba Jamaa wametokaje hawa?
Wabunge wa Bunge letu safari hii walikuwa "watamu sana" katika Ujenzi...
Haya yanayoendelea yanaonyesha udhaifu na kukosa uwezo wa kiuongozi na kimaono kwa kiongozi. Kama kiongozi makini unatakiwa utumie busara na akili nyingi kudadavua mambo.Kabla ya jambo hili kufika bungeni lilipaswa kumalizwa huko huko.
Hasara ya kufikisha jambo hili bungeni ambapo kuna chawa...
Kwanza na_declaire interest, Mimi sio msomi sana lakini nimeona haya na nimejiridhisha yafuatayo:
-Nimejiridhisha wabunge HAWAJUI wanachojadili mezani ni MOU na sio mkataba.
-Matumizi mabaya ya "taarifaaa" wakati mbunge akiwa anatoa hoja ama kufunguka.
-Spika anaingilia sana mbunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.