mkataba wa bandari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Nani hasa anafanya maamuzi katika nchi hii ya Tanzania?

    Asalaam, Kila uchao maswali yanakuwa mengi bila majibu. Katika mijadala inayoendelea hasa hasa kuhusu bandari na mingine inayoanza kusikika kama TFS, TPDC, etc. Kuna eneo nimejaribu kuangalia kama limeongelewa sijaona. Kelele ni nyingi, uchungu ni mwingi, furaha ni kubwa, vijembe na tambo mbali...
  2. D

    Mkataba wa DP World unaweza kutufikisha kusikotakiwa

    Hatuwezi kwenda Makanisani au Misikitini kupambana na shetani asiyeonekana badala ya kupambana na shetani anayeonekana kwanza(DP World) Nitoe wito kwa wanaohusika na mkataba huu wa DP World kwamba wanatakiwa kujibu hoja za msingi kutoka kwa Watanzania na siyo tu kujificha kwenye udini, ujinsi...
  3. Chakaza

    Hawa ndio wanaokwamisha Nchi; Makasuku na Wanafiki

    Je, mnadhani kama hawa makasuku na wanafiki ambao hata serikali ikipotoka na kukosea wana tumia nguvu kuunga mkono wasingekuwapo nchi hii ingekuwa imefika wapi kimaendeleo? Ni wazi kwa kujitambua na mijadala huru ingetokea basi taifa lingekuwa mbali sana. JK alitaka Bagamoyo Port wakashangilia...
  4. V

    BBC Swahili wamekuwaje kuhusu mkataba wa bandari?

    Hawa BBC Swahili watakuwa wamepokea nini unadhani nikiwasikiliza online wanakwepa kabisa kujadili Waarabu kuuziwa nchi viongozi. Najaribu kukumbuka hawa watu walikuwa na ueledi sana kipindi Hayati Magufuli yupo madarakani walihoji bila woga. Walihoji udhaifu Magufuli kubinya demokrasia...
  5. ChoiceVariable

    Hamza Johari: Timu ya Uchunguzi wa Mkataba wa DP World iliteuliwa na Hayati Magufuli, Rais Samia anaendeleza mchakato

    😂😂😂😂 ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi Swahili times - “Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.” Habari zaidi...
  6. FaizaFoxy

    DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    MAKUBALIANO YA KISERIKALI KATI YA: ΤHΕ UNITED REPUBLIC 0F TANZANIA AND THE EMIRATE 0F DUBAI https://www.jamiiforums.com/attachments/dar_port_contract_mkataba-pdf.2682567/ UTANGULIZI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, iliyowakilishwa ipasavyo na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (“Tanzania”) na...
  7. ChoiceVariable

    Sakata la DP World na Bandari, Jenerali Ulimwengu asema Serikali imepoteza imani ya wananchi

    Wakati mjadala wa uhalali wa mkatabva wa uwekezaji katika bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai ukiendelea, Mwandishi nguli nchini Jenerali Ulimwengu, amesema Serikali imepoteza imani ya wananchi. Mwandishi huyo nguli anaibua hoja hiyo wakati watanzania na wadau mbalimbali...
  8. sky soldier

    Mkataba wa bandari utavunjwa kwa pande mbili kuridhia, tutawahonga kipi waarabu watukubalie kuondoka kwa hiari?

    20.3. The termination of the agreement requires prior consent from both State Parties, and such consent should not be unreasonably withheld. Hapo ni kwamba hata huko mbele tukihitaji bandari yetu basi NI LAZIMA waarabu nao wakubali kwa hiari kuiacha bandari. Mkataba hauwezi kuvunjwa...
  9. Q

    Waliondamana Dar es Salaam kupinga mkataba wa bandari wakamatwa na polisi. Mratibu wa maandamano na wenzake 10 wanahojiwa na Polisi

    Vijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa. Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari wamekamatwa eneo la Mnazi Moja. ========...
  10. VUTA-NKUVUTE

    Nguvu inayotumika kupambanua ni ushahidi tosha kuwa Mkataba wa Bandari una walakini

    Kila uchao, viongozi wanapishana hadi kugongana kwenye kuwahi 'kuuchambua' na 'kuupambanua' mkataba wa ukodishwaji wa Bandari kati ya Tanzania na Emirati kupitia DP World. Mkataba ulishasainiwa na kuidhinishwa na Bunge. Umebaki utekelezaji tu. Lakini, kelele za wananchi juu ya mkataba huo...
  11. Mdude_Nyagali

    Sakata la Bandari: Tunafungua Shauri Mahakama Kuu kwa Hati ya Dharura

    Sakata la bandari zetu kupigwa mnada wakili Boniface Mwabukusi Boniface Mwabukusi amefanya uchambuzi wa mwisho na kuanisha mapungu ya kisheria yaliyopo kwenye mkataba huo. Kwamba kutokana na mapungufu hayo ya kisheria tutaenda Mahakama Kuu Tanzania kufungua shauri kwa hati ya dharura. Tutaiomba...
  12. R

    Tunawezaje kuendesha nchi tukashindwa kuendesha bandari?

    Kama wenye nchi ni wananchi kwanini tunaaminishwa tunaweza kuendesha nchi lakini watu hao hao wanaotambia nchi inaenda vizuri wanashindwa kuendesha bandari? Kwanini waziri mwenye dhamana anakiri bungeni kwamba yeye na watendaji wameshindwa kuendesha bandari na bado anaendelea kubaki ofisini...
  13. Mzalendo Uchwara

    Upande wa pili wa mkataba wa DP world, Mchina na wadau wake wamepigwa bao dakika za majeruhi

    Ni kama vile kuna vita baridi ya kugombea Afrika kati ya Marekani (pamoja na mataifa mengine ya magharibi) dhidi ya China. Kila mmoja anajitahidi kuongeza ushawishi wake barani Afrika kupitia vitu kama uwekezaji, misaada N.K Kwenye hili la mkataba wetu na DP World ni wazi kuwa mchina amepigwa...
  14. OLS

    Tanzania ni nchi moja, kwanini Prof. Mbarawa aseme aliyosema kuhusu mkataba wa bandari

    Katika mkutano wake hivi karibuni na viongozi wa bandari, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, alitoa taarifa kwamba Zanzibar haikuwemo katika mkataba uliosainiwa kati ya serikali ya Tanzania na Dubai kuhusu uwekezaji katika bandari. Sababu ya kutolewa taarifa hii ni kwamba...
  15. ChoiceVariable

    Zitto ashauri iundwe kampuni ya ubia kati ya DP World na Tanzania kuendesha bandari

    Ni mara elfu Zito Kabwe na ACT Huwa wanakuja na alternative solution na wako optimistic kuliko Machadema Huwa ni Majinga na Yasiyo na Suluhisho.. Chadema ni chama Cha hovyo sana eti nao wanataka Wapewe madaraka wakati hawajawahi kuwa na suluhisho. Kazi wanayoweza Chadema ni...
  16. Mnada wa Mhunze

    Na sisi Watanzania tufanye nini kuhusu DP World?

    Watanzania tambueni haya kuhusu DPW:- Eneo lihitajilo wafanyakazi 100 kwa kawaida Dubia Port hupunguza na kubaki 2 pekee hii ni kwa sababu ya mifumo ya TEHAMA. Tarajieni CEO na wasaidizi wake wahindi kama ilivyo mahali pengine palipo wao. Wenye maroli wajiandae kulia maana wale CEO's wa DPW...
  17. Bams

    Mkataba wa kishenzi ni marufuku Tanzania, kama wana dhamira njema, mazungumzo yaanze upya

    Mkataba ule wa bandari, nasema ni wa kishenzi kwa sababu unapima uwezo wa Watanzania katika Kufikiri. Kila mwenye akili anajua kuwa mtu yeyote ambaye yupo kwenye utimamu wa akili hawezi kuukubali mkataba kama ule. Nani atakubali kitu chake ambacho amewekeza trilioni kadhaa ampe mtu anayekodi...
  18. FaizaFoxy

    Habari nyeti na nasaha zangu kuhusu vijana watakaofanya kazi na DP World

    Vijana wa Kitanzania, Msione tabu au uvivu kukisoma kilichopo chini, ni kwa manufaa yenu na ya Tanzania kwa ujumla. Jana kuamkia leo ilibidi nifanye mawasiliano na Diaspora wa Tanzania waliopo Dubai. Nia na dhumuni ilikuwa ni kutafuta connection ya kuwatafutia vijana fursa za kazi ndani ya DP...
  19. Sultan MackJoe Khalifa

    Wateule wa Rais mbona hamumsaidii kujibu hoja za Mkataba wa Bandari!

    Wateule wa Rais Katibu Mkuu, Katibu Mwenezi, Makamu Mwenyekiti Taifa, Wenyeviti na Makatibu wa CCM Mikoa, UVCCM, UWT na Mawaziri, siwaoni wakimsaidia Mama Samia, Rais na Mwenyekiti wa Chama Taifa kujibu hoja za uwekezaji wa bandari! Kwenye maamuzi ya Rais Samia siku za nyuma waliitisha press...
  20. ChoiceVariable

    Kiongozi wa CHADEMA Zanzibar akosoa kauli ya Ubaguzi ya Mbowe

    Kumekucha, Chadema wamegusa pabaya. ======== Katibu wa CHADEMA Kanda ya Unguja Ali Ebrahim, akizungumzia Sakata la Ukodishwaji wa Bandari za Tanzania amezungumzia umuhimu wa kutokuwahukumu Wazanzibari kwa kuzingatia vitendo vya watu wachache na si haki kusema "Wazanzibari wameuza bandari"...
Back
Top Bottom