mkataba wa bandari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Li ngunda ngali

    Wapambe siku zijazo: Rais Samia ni jembe ameukataa mkataba wa bandari

    NAPE: "Tukiwaambia Rais yupo kwa ajili ya maslahi ya umma muwe mnaelewa. Rasmi amekaa upande wa Wananchi na ameamrisha huo mkataba usimamishwe kwanza. Samia, oyeee!" GERSON MSIGWA: "Niliwaambia tokea mwanzo Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan ni msikivu na katika hili nalo kawasikia Wananchi...
  2. D

    Rais Samia, usiwasikilize sana washauri wako kuhusu Mkataba wa Bandari

    Mama, usiwasikilize sana washauri wako hasa kuhusu Mkataba wa DP World. Tumia akili yako wewe mwenyewe kutoa maamuzi ya mwisho kuhusu Mkataba wa DP World. Kwa ufupi kabisa, na kwa maoni yangu, kuna kila sababu kuusitisha kwanza mkataba huu mpaka pale utakapokuwa umeeleweka vizuri kabisa kwa...
  3. Sildenafil Citrate

    Mohamed Salum: Mkataba wa DP World unahusisha upangishaji na uendeshaji pekee, sio uuzaji wa Bandari

    Mwanasheria Mohamed Salum amesema Bandari ya Dar es Salaam haiuzwi wala kubinafsishwa, bali inapangishwa kwa DP World huku Serikali kupitia TPA ikiendelea kusimamia. Kwa mujibu wa Sheria za Tanzania, TPA ndio wanayo mamlaka ya kumiliki na kuendesha Bandari zote za Tanzania. Amewataka watu...
  4. Sildenafil Citrate

    Mohamed Salum: Nchi zenye Mitaji Mikubwa ya Uwekezaji Duniani kwa sasa zipo Uarabuni

    Mwanasheria Mohamed Salum amesema Nchi zenye mitaji ya uwekezaji mkubwa duniani kwa sasa zipo Uarabuni. Waarabu hawa wamewekeza kwenye nchi nyingi duniani ikiwemo Ulaya. Kwa DP World wana mtaji mkubwa wa kifedha, hakuna nchi inayofanya biashara bila kuruhusu sekta binafsi. Amesisitiza kuwa...
  5. R-K-O

    Ogopa Teknolojia: Nimeweka mkataba wa bandari kwenye Chat-GPT, Imejibu kwamba bandari zitakuwa za DP World Milele!

    Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia), Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika wa bunge Tulia Ackson na msemaji Gerson Msigwa... Upande wa pili ndio hawa wanaofanya ishu itrend...
  6. R

    Msigwa akiulizwa swali gumu kuhusu DP World anajibu watu wajifunze uwezo wa kusikiliza na kukatisha watu kutoa maoni

    Kwenye Mjadala wa Wazi wa Bandari Club House unaoendeshwa na chaneli ya Msemaji Mkuu wa Serikari sasa hivi mambo yamekuwa moto. Msigwa akipigwa swali gumu tu anamwambia aliyeuliza ajifunze kuwa na uwezo wa kusikiliza, halafu anamkatisha muuliza swali kwa kusema kitu anachotaka kusikia yeye...
  7. Sildenafil Citrate

    Mohamed Salum: Serikali haiwezi kupokea Maoni ya Mtu mmoja mmoja kutoka Nchi nzima kwenye Suala la Bandari

    Bunge ndio sehemu ya wawakilishi wa wananchi, Serikali haiwezi kupokea maoni ya mtu mmoja mmoja kutoka nchi nzima kuhusu suala hili la Bandari. Kwenye kujadili mkataba, ni wajibu wa Mbunge kupata maoni ya watu wake kwa kuwa ndiye muwakilishi wao, na Bunge hukaribisha maoni kabla ya kupitisha...
  8. Sildenafil Citrate

    Kauli ya Kusema DP World watamiliki Maeneo yote ya Bandari za Bahari, Maziwa na Nchi kavu ni kama posa tu, Mchumba mwenyewe atajulikana baadae

    Mwanasheria Mohamed Salum amesema kuwa Kauli ya Kusema DP World watamiliki Maeneo yote ya bandari za Bahari, Maziwa na Nchi kavu ni kama posa tu, lakini mchumba mwenyewe atajulikana wakati wa kusaini mikataba midogo ya makubaliano itakayokuja baadae. Amebainisha kuwa hilo ni jina tu...
  9. Nyendo

    Anachokifanya Msigwa kwenye mjadala kaniongezea wasiwasi mara 100 zaidi ya niliokuwa nao

    Msigwa anaonekana kabisa kaandaa mjadala huu wa Bandari kimkakati, yupo kipropaganda, hataki kukosolewa anataka watu waongee anachotaka. Haruhusu maswali yanayomchallenge na yakiulizwa anayajibu kisiasa anaingia anatoka kama mchwa kwenye kichuguu mwisho hujui hata kajibj nini, kifupi hana...
  10. Sildenafil Citrate

    Kaimu Mkeyenge: Faida inayopatikana Bandarini ni ndogo, lazima tutafute watu wenye Misuli

    Kaimu Mkenyenge ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa TASAC amesema Serikali imekuwa inawekeza fedha nyingi bandarini kila mwaka lakini faida inayopatikana ni ndogo. Amebainisha kuwa uchumi wa sasa wa kidunia unapaswa kushirikisha sekta binafsi, na lazima watu wenye uzoefu watafutwe ili wasaidie wakati...
  11. Sildenafil Citrate

    Mohamed Salum: Utekelezaji wa Masuala ya Bandari hauhusu Muungano

    Mwanasheria Mohamed Salum amesema Zanzibar haijahusishwa kwenye Mkataba wa DP World kutokana na masuala mbalimbali ikiwemo ugumu wa utelekezaji wa suala hili upande huo. Salum amesema japokuwa Bandari ni suala la Muungano, Utelekelezaji wake sio wa kimuungano kwa kuwa Zanzibar wana mamlaka zao...
  12. Analogia Malenga

    Bandari haziwezi kuendeshwa kimuungano

    Akijibu maswali ya wadau kuhusu suala la Bandari kuwa la Muungano lakini mkataba wa DPW ni wa Tanzania Bara, msemaji wa TASAC amesema suala la bandari haliwezi kuendeshwa kimuungano imeshashindikana Akijibu swali kwenye Clubhouse amesema, suala Zanzibar haihitaji uwekezaji kwa wakati huu kwa...
  13. Sildenafil Citrate

    Gerson Msigwa: Serikali imewaleta DP World nchini ili vijana wapate ujuzi

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema sio lazima kwa sasa kuwapekeka vijana nje kujifunza ujuzi unaohusu uendeshaji wa Bandari. Amesisitiza kuwa Unaweza kuwapeleka vijana huko, lakini njia nzuri ni kuwaleta DP World hapa ili vijana wengi wapate uwezo na nafasi ya kujifunza wakiwa hapa...
  14. GRAMAA

    TIC itisheni mdahalo kuhusu hili suala la DP WORLD na uwe live kwenye televisheni zote nchini

    Itapendeza sana kama TIC wataitisha na kuendesha mdahalo kuhusu hili jambo la DP WORLD. Na mdahalo huo uwe live kwenye television zote nchini. Mdahalo huwo uwakutanishe watu wanaopinga mkataba wa DP WORLD na wale wanaounga mkono mkataba huo wa DP WORLD. Yaani kuwe na room ya makundi haya...
  15. U

    Sekeseke la mkataba wa Bandari za Tanganyika kuuzwa kwa waarabu linaendelea. Je, Bunge limefuta Hansard za majadala wa kupitisha azimio kuunga mkono?

    Huku ma RCs na DCs wakiwa wamepewa maagizo ya kusafisha "image" ya Rais Samia Suluhu Hassan iliyochafuliwa na vumbi la tope la mkataba wa ovyo la kukodisha/kubinafsisha bandari zote za bahari na maziwa makuu yote ya Tanganyika akiziacha za kwao Zanzibar, inasemekana kuwa kumbukumbu (hansard) za...
  16. M

    Shura ya Maimamu yataka Mkataba wa Bandari Uboreshwe na haki itendeke kwa Makumi ya Masheikh walioko Jela nchi nzima

    Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA BARAZA LA IDD ADH-HA, ALKHAMISI TAREHE 29.06.2023 -1444. “HAKI NA UKWELI VITHAMINIWE” FALSAFA YA IBADA YA HIJJA Awali ya yote tunamshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema kwa kutupa fadhila nyingi. Tunamuomba Azidi kuturehemu kwa namna...
  17. Mwande na Mndewa

    Njia tatu za kuweza kuvunja au kutovunja mkataba wa bandari au makubaliano ya bandari kama wanavyoyaita

    1. Hatuwezi kuurekebisha vifungu vya makubaliano hadi mshirika wetu Dubai akubali. Njia hii imependekezwa na watu wengi kwamba tuurekebishe mkataba huu na tufute vipengele vinavyo lalamikiwa. Je njia hii inawezekana? Haiwezekani, kwa mkataba huu mshirika wako ni lazima akubali ndipo marekebisho...
  18. Mwande na Mndewa

    Je ni mkataba wa bandari au makubaliano ya bandari? Je ni mkataba au makubaliano ya Tanganyika na Zanzibar?

    JE NI MKATABA WA BANDARI AU MAKUBALIANO YA BANDARI? JE NI MKATABA AU MAKUBALIANO YA TANGANYIKA NA ZANZIBAR? Leo 13:15hrs 29/06/2023 Rais Museveni alipokuja Chato aliwahi kusema Watanzania tuna uhaba wa maneno ya kiswahili,Ukweli ni kwamba neno "mkataba" kwa kiswahili lina maana pana sana...
  19. M

    Mwanasheria wetu Nguli Hashim Rungwe, sema neno kuhusu mkataba wa bandari nyoyo zetu zipone!

    Kwako mzee wetu Hashim Rungwe. Shikamoo. Hivi sasa nchini mwetu kuna mjadala mzito sana wa mkataba wa bandari. Mjadala huu umewahusisha wananchi wengi wakiwemo wasomi na wataalamu wa sheria, wansnchi wa kawaida n.k Sehemu kubwa ya wananchi, wanapinga mkataba huu kuwa in a long run ni kitanzi...
  20. B

    Chuo Kikuu cha Dar (UDSM) chajadili Mkataba wa Bandari

    Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Ndaki ya Sayansi ya Jamii Kitivo kikongwe cha chuo kikuu cha UDSM chajadili kwa pamoja na jamii nzima mkataba wa bandari Mwenyekiti wa mjadala wa leo Dr. Ng'wanza Soko Kamata wa kitivo cha CoSS UDSM aliwakaribisha wote waliojumuika ukumbini na wale walioshiriki...
Back
Top Bottom