mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanaozunguka nchi nzima kushawishi umma ukubaliane na mkataba mbovu wa DP World ndio hao hao watakaosema mama anaupiga mwingi tukiachana nao

    Huwa najaribu kujiuliza, hawa wenzetu wameumbwaje? Sijawahi kupata jibu. Akili zao zinafanya kazi vipi, huwezi kuelewa. Mkataba wa DP WORLD ni mbovu, na unatunyonga sisi wenyewe. Tunapiga kelele vifungu vibovu virekebishwe, lakini CCM wamekuwa wakitumia kodi zetu kuzunguka nchi nzima wakisema...
  2. Kama tungetakiwa tupige kura juu ya mkataba wa bandari

    Wanangu wapendwa, Je kama tungetakiwa wabongo tupige kura kupitisha au kuupiga chini mkataba wa bandari, wapi ungeeelekeza kura yako? Kama itawafurahisha hasa ikizingatiwa kuwa inatoka kwa baba yeni, pigeni kura kuonyesha nini kifanyike. Maaskofu wa dhehebu moja linalosifika kwa ubakaji na...
  3. R

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete: Msijaribu Kuchanganya Dini na Siasa Hata Kidogo

    "Napenda kuchukua nafasi hii kukumbushana kuhusu tunu nyingine muhimu nayo ni kutokuchanganya dini na siasa. Tukiivunja tunu hii gharama yake tutaiona, na kama kuna viongozi wa dini wanataka kutuelekeza kuitumia dini kwa manufaa ya kisiasa, na kama kuna viongozi wa siasa wanataka kuitumia dini...
  4. Kumbe Tanzania ndiyo nchi pekee duniani yenye mkataba wa IGA na Dubai Emirate

    Kama una muda, usikilize uchambuzi yakinifu wa huyu msomi mbobezi. Kumbe ni Tanzania pekee duniani yenye mkataba wa Intergovernmental Agreement na Emirate ya Dubai. Kumbe mkataba huu hauwezi kuvunjwa, zile disputes zinazoweza kutokea wakati wa utekelezaji wa projects zitakazopelekwa South...
  5. M

    Sakata la mkataba wa bandari: Kuna kila dalili (kuna asilimia kubwa) kuwa Viongozi wetu wamekuwa "Blackmailed"

    Maana si kwa kukomaa huko! Hivi mtu ukiwa blackmailed unafanyaje kujinasua? Tufanyeje tuweze kuwanasua? Maana kwa kweli naanza kuwaonea huruma na inabidi tuwaombee sana!!
  6. Mzee Kikwete kukemea Udini peke yake haitoshi tunataka Msimamo wako juu ya Mkataba mbovu wa Bandari

    Bila kupoteza mda waraka wa Maaskofu umemtoa Kikwete pangoni alikojificha siku nyingi. Binafsi nimekuwa nikihoji uadilifu wa huyu mstaafu na faida yake kwa nchi pale mambo yanapokuwa yanaenda mrama amekuwa kimya sana. Sasa tumemskia anakemea udini ambayo ni planned huko mara kwenye kanisa la...
  7. I

    Tusipotoshe, swala la mkataba wa bandari si la kisiasa ni la kiuchumi

    Kuna watu wanapotosha kuwa TEC imeingilia maswala ya kisiasa. Kwamba TEC iache kuchanganya dini na siasa. Ninachopenda mfahamu ni kwamba, michakato katika nchi imegawanyika katika sehemu tatu Siasa, uchumi na jamii...yaani political, economic and social. Swala la mkataba wa bandari si swala la...
  8. Swala la mkataba wa bandari na baraza la maaskofu naanza kuliona kwa jicho lingine tofauti

    1) tukumbuke kanisa katoliki lina wasomi wengi sana tena wenye uwezo na elimu za juu sana na kikubwa zaidi wana intelligence system yenye nguvu sana kote duniani. Ukiona jambo wameshikilia msimamo ujue kuna kitu. 2) Najiuliza sana kwanini hawa DP wanakuja tu baadhi ya sheria zinataka...
  9. Wanaohusisha mkataba wa bandari na suala la udini wanafahamu kuwa ukosoaji haujaanza mwaka huu?

    Tokea suala hilo liibuke, takriban miezi miwili sasa, kumetokea makundi makuu mawili. Kundi la kwanza ni la wanounga mkono huo mkataba. Na kundi la pili ni la wanoupinga, wengi wao wakitaka baadhi ya vipengele virekebishwe. Binafsi, nipo upande wa wanaotaka huo mkataba urekebishwe ili uweze...
  10. Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisamehe

    Haya sasa. Mwisho wa siku mkataba utabakia kuwa wa Samia tu. ==== Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini Mhe. Robert Chacha Maboto, amesema hakuuelewa Mkataba wa PD WORLD alipokuwa bungeni.
  11. Yapo mambo mtambuka juu ya mapingamizi ya mkataba huu

    Ipo clip inaonyesha Dp world foundations imeanza kutoa misaada mbalimbali ya Ujenzi wa misikiti awamu kwa awamu,ikumbukwe hawa ndugu zetu al maarab wanafedha kweli kweli,huu ni mtazamo wangu binafsi Dp world haikupaswa kuja Tanzania na kuanza kupromote suala la Ujenzi wa misikiti, hapo...
  12. Mkataba wa Bandari: Rais amkane Mwarabu, vinginevyo ni maslahi yake na sio ya Tanganyika

    Kuhusu mkataba wa kilaghai wa kuchukua Bandari zetu milele na kuwakabidhi Waarabu wa Dubai, kama si kwa maslahi yake na wajomba zake Waarabu, basi na awakane sasa hao waarabu ndio tujue ana nia njema na uko kuuza bandari za Tanganyika. Mama lazima aambiwe ukweli kwamba hata kama alikuwa na nia...
  13. Tuna Bunge kibogoyo, tuwaadhibu wabunge waliopitisha mkataba wa DP World

    Umofia kwenu. Dibaji inasomeka. Bunge na wabunge ambao kimsingi ni wawakilishi na sauti za wananchi wameonesha wazi kutowatetea tena wananchi na limeungana na serikali kuu kuitafuna nchi. Kupitia Mkataba wa DPW tumeona wazi namna Bunge letu linavyojipendekeza kwa watawala badala ya kuisimamia...
  14. Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima. Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa...
  15. DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    MAKUBALIANO YA KISERIKALI KATI YA: ΤHΕ UNITED REPUBLIC 0F TANZANIA AND THE EMIRATE 0F DUBAI https://www.jamiiforums.com/attachments/dar_port_contract_mkataba-pdf.2682567/ UTANGULIZI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, iliyowakilishwa ipasavyo na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (“Tanzania”) na...
  16. Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo! Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali...
  17. B

    Mkataba wa Bandari: Diaspora Waandamana kupinga Mkataba wa Bandari leo Agosti 18, 2023 London

    Mambo yanakwenda kama moto wa nyika. Mkataba huu si usitishwe tu? Hivi kweli tumekosa watu wenye busara zao kiasi hiki? --- Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi
  18. CCM ni kichwa ngumuu au ni jiko la kupika fitina?

    Leo nauliza swali fupi tu CCM ni kichwa ngumu...au ni jiko la kupikia fitina? Tangu mwanzo kabisa, kelele hizi za Bandari zetu na wawekezaji toka Emirate yaani DPW , tumekuwa tukikataa ubovu wa mkataba na siyo kumkataa mwekezaji, kwa nini ccm hamuelewi??? Matokeo yake sasa, CCM wamekuwa...
  19. Profesa Kitila Mkumbo: Wapinzani wanarukia hatua juu ya suala la mkataba wa Bandari

    Katika mahojiano kati ya Profesa Kitila Mkumbo na Mwandishi wa habari nimeweza kuelewa mambo yafuatayo: Mosi, suala hili la mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Emirati ya Dubai linapitia katika hatua kadhaa na hatua iliyopo ni hatua ya makubaliano kati ya Serikali na Serikali...
  20. S

    Kijana mzalendo kuiburuza serikali mahakamani mkataba DP

    KUSUDIO LA KIJANA MZALENDO DAVID LEVI NKINDIKWA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI KUPINGA MKATABA WA BANDARI. Ndugu waandishi wa habari, leo tarehe 5/8/2023 nimewaita ili kuujulisha umma wa watanzania dhamira yangu ya kufungua kesi Mahakamani kupinga mkataba wa bandari kwenye baadhi ya vipengele na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…