Habari. Mimi ni dereva wa bajaji. Nina leseni ya udereva
Nipo Dar es Salaam.
Ninahitaji Bajaji ya mkataba. Kwa mwenye bajaji tuwasiliane kwa ajili ya maelewano.
Asanteni!
Habari, Mimi ni mjasiriamali ninajishughulisha na shughuli za uvunaji wa mazao ya msituni.
Ninahitaji lorry kipisi kwa ajili ya shughuli za msituni, hivyo Kama Kuna mtu anaweza kunikopesha kwa makubaliano maalum nitashukuru
Waandaaji wa kongamano la wananchi la kupinga mkataba wa bandari limepata msukosuko mkubwa baada ya serikali kutumia maguvu mengi ya polisi kuthibiti kongamano hilo.
Vikwazo vya kongamano hilo vilianza baada ya mwenye ukumbi wa awali kabisa kurudisha pesa alizokuwa ameshalipwa, ndipo Waandaaji...
Ninachofahamu Mimi Simba na mashabiki wa Simba waligomea mkataba wa TFF na GSM kuidhamini ligi. Simba na mashabiki wao waligomea kuvaa jezi zenye logo ya GSM.
Hivi karibuni TFF imeingia mkataba wa miaka 10 na kampuni inayotengeneza jezi za timu ya Simba, Sandaland kutengeneza jezi za timu za...
Tumewekewa ndimu na kachumbari njiani ili tusiendelee kuhoji mkataba mbovu baina ya JMT na Dubai Port World.
Pamoja na kwamba serikali kupitia mamlaka na mihimili yake wamefunga ndoa ya kufilisi na kujimilikisha binafsi rasilimali kuu za uchumi wetu, lakini mhimili moja (Mahakama) umesema wao...
Wakuu samahani naomba ufafanuzi Kwa suala la bandari linaloendelea kuwa kubwa nchini. Hizi kelele za upingaji MKATABA ni kutokana na nini? Muda wa MKATABA kuhusu bandari? Terms and conditions zilizomo? Udini?
Au kelele hizi ni kutokana na kuvuja kwa MKATABA? Mikataba mingine tusiyoipigia...
TFF Imetangaza Kuingia Mkataba wa Udhamini na Kampuni ya Sandaland The Only one wa Utengenezaji na Usambazaji Wa Jezi za Timu za Taifa za Tanzania Wenye Thamani ya Tsh Bilioni 3 kwa Muda Wa Miaka mitano.
Jezi za Timu zote za Taifa zitahusika,Taifa Stars,Timu za Wanawake na timu ngazi zote za...
Habari Wana JF, Kama Kichwa Kilivyoeleza. Nahitaji Eneo la Biashara ya Chipsi Na Mgahawa Kwa Kupanga Na Ikiwezekana Tuma Na Picha Ya Eneo Lenyewe tuje tuingie Mkataba.
Haya ndo Maeneo Ninayoitaji Eneo Hilo Liwepo;
i) - Sinza
ii) - Kinondoni
iii) - Magomeni
!v) - Mbezi Karibu na Magufuri...
Wakuu inauma sana kile kinachoendelea Loliondo na Ngorongoro. Kule ukienda ni kama upo nchi ya kigeni.
Hebu vuta picha ya pale kijijini kwako kwenye asili yenu...ghafla wanakuja watu wanawambia mnatakiwa mhame mwende kwenye eneo jipya msilowahi kulifahamu kabla tena mhame kwa lazima. Mkibisha...
Gharama anazopaswa kuingia mmiliki ni zipi, marejesho yanapaswa kuwa vipi? Changamoto zake ni zipi? Faida zake zinakuwaje hasa "mambo" yakienda vizuri. Matatizo ya kutarajia ni yapi?
Aina nzuri za bodaboda ni zipi? Mkataba unakuwaje? Kimsingi sijawahifanya biashara hii, ninataka tu...
Kila kukicha, kila mahali wapinzani hasa CHADEMA wanatembea na ajenda hii ya bandari. Wamemwaga sumu na asilimia kubwa ya wananchi wanaamini kuwa nchi imeuzwa.
Kwa jinsi mambo yanavyokwenda mkataba wa bandari ndo utakuwa msumari wa mwisho kwa CCM 2025.
CCM inatakiwa ijitathmini na...
Tulionya humu mapema sana kwamba , Moto utakaowashwa na Chadema kwenye Oparesheni 255, hakuna wa kuuzima, Kauli hii imetimia, Nadhani wote mmeona jinsi Katibu Mkuu wa CCM alivyojaribu na baada ya kuona Maji ya Shingo akaweka mpira kwapani .
Sasa leo Chadema imevamia Mkoa wa Mara na kuteketeza...
Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.
Maandamano yatakayokuwa ya...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa, mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , Bilionea Joseph Mbilinyi, jioni ya leo alikuwa Wilayani Chunya, akiwaelimisha wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya na Ubovu wa Mkataba wa Bandari.
Hapa ni Kata ya Makongorosi, ambapo...
Songombingo la kuvuliwa hadhi ya Ubalozi wa Dkt. Slaa, lilianzia pale kwenye kuvujishwa kwa mkataba wa hovyo kabisa kuwahi kutokea duniani, wa DPWORD na TPA kuhusu bandari za Tanganyika
Kama kawaida, viongozi wa Kiafrika huwa hawapendi kushindwa na hata wakishindwa, lazima watoe makucha yao...
Laughing stock of the world. Kituko cha dunia. Jinsi Muafrika asivyojijali, asivyojiheshimu, asivyojipenda, asivyo na upeo.
Rais aliyepita alisema mkimkamata mtu wetu huko duniani na madawa mnyongeni juu kwa juu, hatuna shida.
Imewekwa Vienna Protocol kulinda mabalozi wa mwezio. Wewe...
Serikali imeyaondoa mapendekezo yaliyopelekwa Bungeni ya kufanya marekebisho ya sheria ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Maliasili ya nchi ya mwaka 2017 kuwa zisitumike katika miradi ya...
Licha ya Makelele ya TEC na Chadema ila Msemaji wa Serikali bwana Msingwa amesema Serikali itaendelea na uwekezaji na DP World kama ilivyopangwa ila itazingatia maoni ya wadau.
=======
SERIKALI KUENDELEA NA MCHAKATO WA UWEKEZAJI BANDARI NA DP WORLD
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Kila hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.