mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Human Rights Watch: Tanzania inakandamiza Wakosoaji wa Mkataba wa Ubinafsishaji Bandari

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limesema Mamlaka za Tanzania zimewashikilia au kuwatishia takriban watu 22 tangu Juni 10, 2023, wakiwemo waandamanaji, baada ya kukosoa Bunge la Tanzania kuridhia makubaliano ya usimamizi wa bandari za Tanzania Mkataba huo utaruhusu...
  2. Mbeya: Hukumu ya kesi ya kupinga Mkataba wa Bandari yaahirishwa, sasa kusomwa Alhamis 10/8/2023

    Hii ndio taarifa ya sasa iliyotolewa Mahakamani hapo, na kwamba kuahirishwa huko kumetokana na dharula iliyompata Mwenyekiti wa Jopo la Majaji. Usiku wa deni hauchelewi, Alhamisi siyo mbali. Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari...
  3. R

    Hussein Bashe: Mkataba wa bandari Baraza la Mawaziri tuliusoma na kuuelewa

    Nimekusikia sasa hivi katika matokeo ya wiki ITV ukiwa Mwanza unaongea na wakulima kuwa kuna watu Kule Kagera walisema Baraza la Mawaziri hatujausoma mkataba. Ukasema ni waongo tuliusoma, tukauelewa vizuri. Kama mliusoma mkaupitisha, basi akili zenu ni MATOPE. Hatuna nchi nyingine ya kwenda...
  4. Kosa kubwa la mkataba wa DP World na Tanzania ni hili hapa tu, na ndilo linaloweza kuuvunja mkataba

    Ukweli ni kwamba ,Mkataba ni mzuri japo unayo mapungufu yake mengi tu hii haipingiki. Nimegundua shida zote hizi zinatokana na Ujanja unjanja wa serikali lakini sio mkataba wenyewe. Mkataba upo very technical hivyo sio rahisi kila mwanasheria au mwananchi kuuelewa kwa urahisi, Inahitaji umakini...
  5. K

    Serikali irekebishe kasoro zilizopo katika mkataba wa DP World au iachane nayo kabisa

    Maneno mengi yamesemwa juu ya mkataba huu na wengine wameenda mpaka Mhakamani kupinga mkataba huu. Sisi tunaokaa huku kwa wananchi tumesikia mengi na sumu nyingi imemwagwa kwa wananchi kuhusu ubaya wa mkataba huu. Kama Serikali ikiamua kuendelea na mkataba huu yafuatayo yanaweza kujitokeza:-...
  6. Je, wabunge wa CCM wenye akili wametishwa kutoa maoni mkataba wa Bandari?

    Habarini nyote, Kuna kila ishara ya wingu la utisho mkubwa dhidi ya wabunge wa CCM wenye akili ambao kwa hakika wanajua fika huo mkataba wa Bandari ni utopolo na umangungo mtupu. Na nadhani awamu hii huo utisho ni mithili ya mkondo wa maji ajali ya meli ya titanic. Hadi wabunge makini...
  7. S

    Naomba Watanzania tujadili mazingira yenye utata kwenye Mkataba wa Bandari

    MAZINGIRA YENYE UTATA KUHUSU MKATABA WA BANDARI Kuna mazingira yenye utata mkubwa na yanayoibua hisia na maswali mengi kutoka hatua ya MoU, kusainiwa na kuridhiwa kwa mkataba huu wa IGA, nitaongelea vipengele vitano kama ifuatavyo. (a) Kampeni za wazi, Spika wa Bunge kuandaa ziara mwezi...
  8. Rais Samia aitumie Simba Day kutuambia kwanini alisaini Mkataba mbovu wa Bandari

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Rais Samia kajificha siku nyingi sana pamoja na sakata hili la bandari. Simba day itaonekana mubashara Tanzania na dunia nzima na mamilioni ya watu watakuwa wanafutilia tukio hilo. Kabla ya Utambulisho wa wachezaji Rais atumie siku hiyo kutuambia nini kimemsukuma...
  9. Vikao vya madiwani kuhusu uhamasishaji mkataba wa bandari

    Hivi hii nchi wapi inaelekea kwa sasa, serikali itwambie hii bajeti ya vikao vya madiwani nchi nzima ya kuwawezesha na kuwaelimisha ili waende kwa wananchi kuwaeleza na kuwashawishi kuhusu mkataba wa bandari wanaitoa wapi? Hata ivyo mimi naliwe najiuliza kunani kwenye mkataba huu hadi kufikia...
  10. S

    Sababu kwanini ACT Wazalendo hawazungumzii mkataba mbovu wa bandari

    Leo nilikuwa na kiongozi mmoja wa kitaifa wa ACT ambaye amenitonya haya kuhusu ukimya wao kuhusu issue ya makataba wa bandari na DP World. 1. Mapema June walikuwa na mikutano ya chama wakizinguka maeneo mbalimbali ya nchi. Ni katika kipindi hicho suala la bandari lilikuwa linaanza kushika...
  11. M

    Mkataba Mzuri, kwa nini watu waache ofisi?

    Mheshimiwa sana DC wa Handeni ambaye alitokea upinzani anazurura kutetea mktaba mzuri na wenye maslahi kwa nchi,kwa nini? Viongozi wa serikali na Chama wangetulia na wakatekeleza Mkataba na kwa muda mfupi matokeo yataonekana na aibu yao wanaoupinga.
  12. CCM sasa tunaelewana, Chongolo amekubali mkataba DP World ulikuwa na makosa! Sasa tusonge mbele!

    Baada ya kuonywa mara nyingi na wadau, sasa CCM imeanza kuelewa. Na mimi kada nilionya huko nyuma, CCM ikiendelea kushupaza shingo, itavuna mabua 2025. https://www.jamiiforums.com/threads/ccm-kwa-mtaji-wa-ukakasi-wa-suala-la-bandari-kaeni-mguu-sawa-kungolewa.2113301/page-2#post-46992236 Suala...
  13. Waziri wa mambo ya Nje Danmark alisaini mkataba akiwa kalewa wa kuipa Norway utajiri

    Hækkerup is most widely known for the agreement he reached with the Norwegian Minister Jens Evensenthat gave Norway the oil-rich Ekofiskoil field in the North Sea. According to an urban legend, Hækkerup was drunk when he signed the agreement.
  14. Rais Samia kuruhusu watu wajadili mkataba wa bandari tayari ni legacy

    Habari wanaJF. Nimepata wasaa mzuri wa kutafakari haya mambo ya bandari na huu mchuano unaendelea kati ya wanaosapoti mkataba na wanaopinga. Kwa vyovyote itakavyokuwa lazima tukubali kwa mara ya kwanza tumepata Rais anayependa ukweli na uwazi kwa vitendo. Haijawahi tokea wananchi wakajadili...
  15. Kwa nini DP World ya Dubai wako kimya kweye hili suala la mkataba?

    Nimekuwa najiuliza hili swali lakini bado sijapata majibu. Huu mkataba ni baina ya sehemu mbili, The said Tanzania na DP World ya Dubai. Huku Tanzania viongozi wa nchi na CCM wanajitahidi kutotoa ukweli kuhusu huu mkataba, na wameshajiwekea uadui mkubwa na watu wanao oji uhalali wa mkataba...
  16. M

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

    Yuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili. Katika malalamiko yake Mwanasheria wa Serikali anasema eti: 1. Mwabukuzi ni mchochezi. 2. Mwabukusi...
  17. Kwanini Baraza la Mawaziri halichukui hatua hizi juu ya mkataba wa bandari wakati waliujadili na kuupitisha kabla hata ya Bunge?

    Kwa ufupi Baraza la Mawaziri ni chombo cha serikali kinachosaidia Rais katika kutekeleza majukumu na kufanya maamuzi ya kitaifa. Jukumu la Baraza la Mawaziri linahusisha mambo mengi, ikiwa ni pamoja na kujadili na kufanya maamuzi kuhusu masuala muhimu ya serikali, mipango ya kitaifa, sera, na...
  18. Tundu Lissu: Hayati Magufuli alisema ni kichaa peke yake anaweza kukubali mkataba wa miaka 99 bandari ya Bagamoyo

    Mimi nilikuwa namchukia sana Magufuli siwezi kumsingizia neno, "Magufuli alisema Mkapa na Kikwete wameuza nchi kwa mikataba mibovu akaanza kuivunja mikataba yote,tukashtakiwa" Tundu Lissu#MkutanoOkoaBandariZetuNyakanazi. "Magufuli alisema awa Wazee wameharibu sana nchi,tukamwambia...
  19. Watanzania wanashauriwa kukaa kimya kuhusiana na mkataba wa DP World mpaka pale Serikali itakapotoa ufafanuzi

    Watanzania wanashauriwa kukaa kimya kuhusiana na mkataba wa DP World kwasababu kauli zao hazina staha, hazifuati taratibu za kisheria katika uwasilishwaji wake hivyo ni sawa na kelele na usumbufu kwa wanchi hivyo basi hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wale wote wenye nia ya kuikashifu...
  20. Kwa huu Mkataba, hiki ndicho SERIKALI ya CCM inataka kuwafanyia wananchi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…