mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. saidoo25

    Mzee Kinana mbona hazungumzii Mkataba wa Bandari

    Tangu mjadala wa BANDARI kuanza sijamsikia Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana akizungumzia Mkataba wa Bandari, au ameshagundua hili ni bomu linaloweza kuua Chama. au kama kuna clip mnayo ya Mze Kinana akisifia mkataba wa bandari. muiweke hapa kwa ajili ya rejea
  2. Kenney

    Mkataba wa DP World umetufumbua macho

    Habari za Mchana Wazalendo Mliomo jamvini, Kuna vitu ambavyo usipo viangalia kwa makini au kuvipuuzia vinaweza kuleta matokeo ambayo yakawa ni majuto baadae sababu tu ya kudhani uwepo wa mambohayo ni mambo ya kawaida tu. Kuna hii mikataba inayo endelea huku mitaani kwetu ambayo tunaweza...
  3. Ulimbo

    Mkataba kati ya Tanzania na DP World ya Dubai na Uchaguzi 2025

    Heshima kwenu wana JF. Nimekuwa natafakari sana kwa muda sasa juu ya huu mkataba, kuna pande kama tatu hivi zinazozingana. 1: Kuna upande unaodai kuwa huu mkataba una madhaifu fulani hivyo hautakuwa na manufaa kwa taifa, na wameonesha baadhi ya vifungu vyenye makosa. 2: Kuna upande ambao...
  4. J

    Walemavu washikiniza Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu mkataba wa bandari

    Walemavu wameshinikiza AG Feleshi ajiuzulu kumpa nafasi Rais ya kuteua AG mwingine --- Walemavu washinikiza Attorney General ajiuzuru katika kufafanua hoja hiyo wamesema Kimsingi nikiliangalia hili suala la Bandari lina udhaifu kwenye utendaji yaani nasema Watendaji wenzangu, makatibu huko...
  5. S

    Profesa Mbarawa ampe nafasi Rais Samia kufanyia kazi mkataba wa bandari akiwa nje ya Ofisi za Umma

    Mbalawa ampe nafasi Rais ya kufanyia kazi jambo hili akiwa nje ya ofisi kiungwana kwa sababu ali oversee Mambo ya kumshauri RAIS Hata Kama alishauriwa na Rais pia Ila kwa Utaratibu wa kiutendaji alipaswa amshauri Rais mapema na kwa mpaka Hadi kukubali kuachia kiti kama angeona jambo Hilo si jema...
  6. S

    Mbona hatukumuona Chongolo akifanya ziara ya kulaani ufisadi wa CAG? Kwanini anatetea Mkataba tu wa DP World?

    Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo anasema ni wajinga wanaokosoa mkataba wa IGA kauli hii ni kinyume cha Katiba na Sheria za nchi na Miiko ya Viongozi wa CCM kuhusu kuheshimu utu na uhuru wa kutoa maoni. Kauli yake nyingine ni ile aliyoitoa kwenye Mkutano wa hadhara wa mikoa ya nyanda za juu...
  7. S

    Mkataba wa DP World ni biashara za wachache CCM, ushahidi huu hapa

    Mpaka sasa ukiusoma mchezo unagundua suala la DP World ni la Chongolo na baadhi ya watu wake na sio dili la CCM kwa ujumla wake, mfano mdogo ni ziara ya Kinana tangu ameanza mikutano Rufiji, akaenda Kondoa na sasa yuko Manyara sijamsikia akipigia debe suala la mkataba wa bandari. Ndani ya CCM...
  8. saidoo25

    Mikutano ya Chongolo kutetea mkataba wa bandari kiini macho

    Mikutano ya Katibu Mkuu wa Ccm anayoifanya kikanda ni kiini macho kumdanganya Rais aone kwamba mikutano ya CCM inapata watu wengi na kwamba wana ccm wote wanaunga mkono mkataba wa bandari jambo ambalo ni kiini macho. Mikutano ya Chongolo mfano uliofanyika Singida unachukua viongozi wa CCM ngazi...
  9. FRANCIS DA DON

    Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

    Kwa furaha kubwa kabisa napenda kuwataarifu wana JF kuwa kwa tukio litakalotokea leo tarehe 24/07/2023, mjadala wa Dp world ndio unafika mwisho, tujipongeze wote tulioshiriki. Ahsanteni sana. ========== Mdau mwingine pia aliandika: =====
  10. comte

    Ushahidi huu hapa kuonesha kuwa bunge lilipelekewa kujadili na ili kubariki makubaliano na siyo mkataba

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA Simu: +255 026 23222761-5 Ofisi ya Bunge, Fax No. +255 026 2322624 S.L.P. 941, E-mail: cna@bunge.go.tz DODOMA...
  11. G

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Sitaki kuamini hili lakini uvumi huu umeeneea sana kiasi cha kwamba umenifanya niwe na shauku kutaka kujua yaliyojiri kwenye kusign hiyo memorandum maana naona kwa taarifa nilizokuwa nazo malalamishi ni kuwa serikali imeipa CCT na TEC nguvu kubwa ajabu na matokeo yake leo watu watu wanaanza...
  12. Exile

    Tunavyosema mkataba una dosari muelewe, oneni ufafanuzi wa CCM hapa na ndio wamesema wanaelimisha watu

    Wanaendelea kupotosha kwamba mkataba huu hauna ukumo, sio kweli! Mkataba huu una ukomo; ibara ya 23 ibara ndogo ya 1 inasema wazi ukomo wa mkataba huu; itakapotokea moja katika haya mambo mawili, kule kwenye mradi wa utekelezaji (ambao haujaanza) mradi ukaisha basi na mkataba huu utakuwa umefika...
  13. F

    CCM mnasema IGA sio mkataba bali mikataba itakuwa ni HGA, sasa wajibuni Watanzania swali hili

    Tumesikiliza blah blah nyingi tu kutoka kwa viongozi wa CCM wanaozunguka nchini kuelezea sakata la Bandari. Wanasema IGA siyo mkataba bali HGA ndizo zitakuwa mikataba, wakati huo huo wanasema HGA zitasainiwa kwa kuzingatia sheria za ndani (Tanzania) na IGA iliyoridhiwa na Bunge inasema sheria...
  14. Mwande na Mndewa

    Wakili Boniface Mwabukusi: Montevideo Convention na Vienna laws to Treaty hairuhusu Dubai kuingia mkataba na nchi yoyote

    "Kabla sijaanza kuongea kuhusu bandari,nizungumzie mambo matatu,la kwanza,mpuuzi na mpumbavu tutamkabili kwa upuuzi na upumbavu wake" Wakili Boniface Mwabukusi. "Kabla sijaanza kuongea kuhusu bandari,nizungumzie mambo matatu,kumekuwa na tabia ya kubadili upumbavu kuwa hekima,na unapoongea...
  15. R

    Mwabukusi: Mkataba haufai hata kuwa 'toilet paper'

    Mwabukusi amesema huu mkataba haukuwa wa ghalfa, walikuwa nao wameuficha, na walivyoupeleka bungeni waliulizwa dharura imetoka wapi wakati wamekaa nao kwa miezi tisa na kusema kwamba yeye alitumia dakika tano tu kuutazama mkataba huo na kusema haufai hata kuwa toilet paper. Akisema kuwa haamini...
  16. saidoo25

    Kitila Mkumbo jibu hoja za mkataba acha kuzungumzia vyombo vya Ulinzi

    Prof. Kitila mkumbo ameshindwa kujibu hoja kuhusu mkabata anaanza kuviingiza vyombo vya ulinzi kwenye mambo ambavyo havihusiki navyo, kwani wakati mnaingia huo mkataba mlilijulisha Jeshi? kwanini leo mambo yameharibika ndiyo mnataka kulitaja Jeshi. Ombi langu kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania...
  17. S

    Tulia, Prof. Kitila, Chongolo, Prof. Kabudi jibuni hoja za Kijana Mzalendo mkataba wa Bandari

    Kijana Mzalendo, David Levi Nkindikwa amekuja na uchambuzi wa hoja lukuki zikihusisha matashi ya Spika wa Bunge Tulia, Prof Mkumbo, Katibu Mkuu Chongolo kuhusu mkataba wa Bandari uchambuzi ambao umesambaa katika mitandao mbalimbali ikiwemo JF. Lakini amehoji kuhusu ukimya wa Baba wa Mikataba...
  18. S

    Kijana Mzalendo amvaa Spika Tulia Mkataba wa Bandari

    UCHAMBUZI WA KIJANA MZALENDO, DEVID LEVI NKINDIKWA KUHUSU MGOGORO WA MKATABA WA BANDARI LEO TAREHE 22/7/2023 1. UTANGULIZI MKATABA WA IGA BAINA YA TANZANIA NA EMIRATE YA DUBAI Pamoja na Maoni na ushauri unaotolewa na wananchi kuhusu kufanya marekebisho ya Ibara zenye kasoro katika mkataba wa...
  19. Kamanda Asiyechoka

    Prof Kitila unataka Jeshi lipindue nchi ndio tujue kuwa Mkataba wa Dp world ni mbovu?

    Impliedly
  20. Pang Fung Mi

    Tusiingize mambo ya Dini, Mkataba wa Bandari ni aibu na ni Najisi kwa Sovereignty ya nchi yetu

    Wasalaam, Kwenye hili la mkataba wa bandari kuna dalili ya baadhi ya watu kujivua koti la uraia na uzalendo. Jamani akili ya uhai itumike Kwa mkataba wa kizuzu kama ule kisa tu ukichaa wa dini na kuwaaabudi waarabu kweli tunakuwa vipofu kiasi hiki. Penye kweli ibaki kweli hizi dini zimeletwa...
Back
Top Bottom