Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano kati ya Wizara ya Madini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Makubaliano hayo ni mwendelezo wa ushirikiano uliopo baina ya wizara...
kwa nini wa africa tunapenda ugomvi ?kama mkataba bandari kati ya Tanzania na DP World kuna wanaona ni mkataba ni mzuri na wengine ni mbaya kwa nini wasiitane wakakaa pamoja wakaelewashana mambo yakaisha kuliko kutukanana na kupelekana police na mahakamani? wanaolumbana wote ni wantanzania...
Baadhi ya viongozi wa Dini huwenda hawana Roho wa kweli,
Hawana msimamo, hawaelewi maelekezo ya Mungu kuhusu mambo ya watu wao, nchi yao na hata mambo yao wenyewe
Haiwezekani kama kiongozi wa dini, ukiwa kwenye nyumba ya Ibada, unaongoza watu maombi ya kuzuia mkataba wa DPWORD
Ajabu ukiitwa...
Ukienda pale Dar es Salaam kuna sehemu inaitwa Mlimani City, na wengine wakienda Dar es Salaam na kama hawajafika Mlimani City wanahisi hawajafika Dar es Salaam.
Wakati tunaijenga Mlimani City tuliambiwa tunakiuza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kumbe tulichukua eneo dogo na kumpa mwekezaji...
Habarini wana JF
Ebwana Mkataba wa bandari kati ya serikali ya Tanzania na DP WORLD unaendelea kubamba kila siku kwenye vyombo vya habari, mitaani na kwenye mitandao ya kijamii. Mkataba huu umetengeneza makundi mawili: wanaokubaliana nao kwa madai kuwa unafaida kedekede na wale wanaoupinga...
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika kutoka Misri, Club ya Al Ahly ya Misri imevunja Mkataba na Mchezaji wa Kimataifa wa Msumbiji Luis Jose Miquissone kwa makubaliano ya pande zote mbili.
Miquissone alijiunga na Al Ahly ya Misri akitokea Simba SC ya Tanzania 2021 ila amekosa nafasi ya kucheza...
Mnamo mwaka 2020 Wakili Peter Madeleka alikamatwa na kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi no. 40 (Economic case no 40/2020) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha. Katika kesi hiyo alishtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kughushi (forgery) kinyume na Sheria ya Mwenendo wa Adhabu (Penal Code)...
😂😂😂😂 ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi
Swahili times
-
“Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.”
Habari zaidi...
Mimi binafsi napenda sana uwekezaji na hasa uwekezaji uliofuata utaratibu wa kisheria. Naomba kuuliza maswali yafuatayo kuhusu mkataba wa DP World;
(1) Kama tuna sheria ya manunuzi inayotuongoza nchi nzima ni kwa nini mkataba huu haukutangazwa na kuwepo na ushindani?
(2) Jana Mhe. Waziri...
Asilimia kubwa ya wanaopinga mkataba (IGA) Hawapingi mkataba (IGA) wa bandari, kwakua ili kupinga mkataba, ni lazima uanze na sheria zitakazo ongoza mkataba kwanza, kabla ya yaliyomo, kwakua yaliyomo ni lazima yafuate sheria. Hii ni kama tu unataka kupinga kwa nia njema ya taifa. Usipofanya...
Rais Samia akihutubia wakati wa uapisho wa viongozi, akizungumzia kuhusu Wizara mpya ya Mipango na Uwekezaji ameonesha namna ya kuweza kuzitambua fursa mbalimbali na kuzifanyia kazi kama nchi ili zisipotee.
Akitolea mfano sakata la sasa la fursa ya uwekezaji kwenye bandari zetu amesema haya...
akili
bandari
bora
dikteta
hatimaye
jirani
kuliko
mdogo
mkatabamkataba wa bandari
nia
raisi
ubinafsishaji
uwezo
uwezo mdogo
uzalendo
wanataka
watanzania
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atazungumza na watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, juu ya maazimio ya Kamati Kuu ya Chama iliyoketi Julai 08, 2023 kuanzia saa 8:00 mchana huu.
Yote yanayojiri utayapata hapa.
===
MKUTANO...
Mbowe akiwa kwenye Mkutano na Waandishi wa habari akisoma maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA asema, "kwakuwa hakuna utafiti, ushahidi, wala tathmini ya kina iliyofanywa juu ya jambo hili na kwakua serikali imekosa majibu yenye ushawishi kwa umma, na kwakuwa chama tawala hawasikilizi maoni ya...
Moja ya jambo ambalo linafikirisha katika IGA ya Tanzania na Dubai ni sehemu ya watia sahihi!
Upande wa Serikali ya Dubai amesaini Mkurugenzi wa Bandari! Yani huu ni mkataba wa nchi na nchi anakuja kusaini Mkurugenz wa Bandari kwa niaba ya nchi yake? Mawaziri, na makatibu wakuu hamna huko...
Kwa maelezo ya wanasheria mbalimbali, huu mkataba una mapungufu mengi mengine yanayoonekana kuondoa uhalali na hata maana ya mkataba wa pande mbili.
Kwa mfano, kwakuwa kwenye mkataba, Mama amesaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai ambayo yeye hana mamlaka yoyote na wala serikali hiyo haijampa...
Kumbe TICS nao mkataba wao ulikuwa usio na mwisho na bado tumewapiga chini na kuvunja mkataba ,so ishu ya muda sio hoja tena lolote linaweza kutokea mbeleni tukabaki na bandari na kuweka kampuni nyingine!.Wala hamsemi
Kumbe ajira zitangezeka hasa kutokana na usafirishaji wa mizigo nje na ndani...
Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.