mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chachu Ombara

    Elibariki Kingu: Wabunge wa CCM tuko vizuri kichwani, tusingezeweza kupitisha mkataba usio na maslahi kwa nchi yetu

    Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani, pale...
  2. Li ngunda ngali

    Kwanini Erick Hamissi alifutwa kazi bandarini?

    Duru za kweli zinatabanaisha aliyekuwa boss wa Mamlaka ya BANDARI alifutwa kazi kwa sababu zilizodaiwa kutoonyesha ushirikiano na wawekezaji kule Dubai alipokuwa ameambatana na ujumbe wa Rais. Jamaa walidai hawaonyeshwi ushirikiano wa haja na boss wa TPA kwa waziri na hazikupita siku mbili...
  3. Mwande na Mndewa

    Mjumbe wa kamati kuu ya CCM amuomba Askofu Mwamakula kumfikishia ujumbe wake kwa Wananchi kuhusu mkataba wa bandari Ili asifukuzwe uanachama

    Ujumbe ufuatao umetoka kwa mwanachama wa CCM ambaye amekuwa Mteule wa Rais wa muda mrefu. Kwa kuogopa kufukuzwa CCM, ameomba afikishe ujumbe kupitia kwa Askofu. Mpendwa Baba Askofu Mwamakula! Kwenye vikao vilivyoisha (Kamati Kuu ya CCM na Halmashauru Kuu ya CCM) imeelezwa kuwa Wajumbe...
  4. Fortilo

    RC Adam Malima ashauri Serikali kuwa makini kwenye Mkataba wa DP World, ili tusipigwe kama kwenye Mikataba ya Madini

    Akizungumza katika kipindi cha Good morning Wasafi FM, Malima ambae marehemu baba yake aliwahi pia kuwa waziri wa fedha kipindi cha Nyerere, amesema Kinachopingwa sio ufanisi wa bandari bali ni vipengele vya mkataba, na huko nyuma, 1998 Tanzania iliwahi Ingia mikataba mibovu ya madini, na...
  5. OKW BOBAN SUNZU

    Mwarabu mwingine apewa mkataba wa kufanya utafiti, kazi ambayo ingefanywa na wataalamu wetu

    Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na kampuni ya TAQA ya nchini Misri wamefikia makubaliano ya kushirikiana katika kufanya utafiti na kuangalia masoko ya gesi asilia katika Mkoa wa Dar es Salaam. Akizungumza katika hafla hiyo Mkurugenzi wa Idara ya Biashara ya Mafuta na Gesi kutoka...
  6. comte

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Hakuna kipengele kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari, na hakuna mkataba wowote ulioingiwa

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi atoa maneno mazito mjadala wa DP World Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa kusema kuwa kuna...
  7. Baraka Mina

    CCM yatoa Baraka zote kwa DP World kufanya uwekezaji wa Bandari

    Hamashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana katika kikao chake cha kawaida makao makuu ya chama hicho jijini Dodoma leo Jumapili, Julai 9, 2023, chini ya Uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na mambo mengine imejadili mkabata wa makubaliano ya uwekezaji na uendelezaji wa...
  8. Nsanzagee

    Kukaa kimya ni hekima na kuepusha madhara yasiyo ya lazima! Kusakwa kwa wanaharakati ni kukuza jambo na kuongeza joto la upinzani wa mkataba

    Ikiendelea hivi kama ambavyo wao wanaona ni busara kuwasaka na kuwakamata wanaharakati na wanapigia kelele mkataba! Ni kukuza joto la upinzani na kuongeza kelele zaidi na hata kuchochea vitu vingine visivyotarajiwa! Ilikuwa sawa kabisa kwa serikali kupuuza hizi kelele huku wao wakijikita...
  9. Roving Journalist

    Pre GE2025 Ahobokile Mwaitenda anusurika kuuawa kwa kuukosoa mkataba wa bandari!

    Ndugu Watanzania! Tumeongea Ahobokile Mwaitenda ikiwa ni siku moja baada ya kunusurika kuuawa au kutekwa na watu wasiojulikana. Mwaitenda ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa CHADEMA na alikuwa ni Mgombea Ubunge Jimbo la Rungwe, Mbeya Uchaguzi wa Oktoba 2020 kupitia CHEDEMA. Usiku wa 7 Julai 2023...
  10. The Burning Spear

    We Kasim Majaliwa kwani Waliosaini Mkataba wa Bandari ni Vipofu na Viziwi?

    Baada ya kimya cha Mda mrefu Huyu Mheshimiwa muongo muongo ameanza kujitokeza na ngojera za hapa na pale. Ana tu please mara tuwe na Imani na serikali Sijui Mkataba haujasainiwa. Bla bla Sasa mpka.mnasaini Mkataba wa makubaliano Kwa Nini hamkuzingatia Sheria na maslahi ya Taifa Toka mwanzo...
  11. Mr Dudumizi

    Soma kwa makini: Dalili zinaonesha kuwa huenda mkataba wa bandari ukasababisha vifo vya watu

    Habari zenu wana jf wenzangu. Wakuu baada ya kufuatilia kwa kina kile kinachoendelea katika swala hili la bandari, hususani hapa JF, nimegundua kwamba kuna uwezekano mkubwa wa siku kadhaa zijazo tukashuhudia vifo mbali mbali ndani ya makundi kadhaa nitakayoyaorodhesha hapo chini. 1. Kundi la...
  12. Ngongo

    Askofu Munga: Mkataba wa Bandari umetusaidia kuwajua Viongozi zaidi

    Ameandika Baba Askofu Stephen Munga MKATABA WA BANDARI UMETUSAIDIA KUJUANA ZAIDI "Na hivi ndivyo tunavyoweza kutambua wazi kati ya walio watoto wa Mungu na walio watoto wa shetani. Mtu ye yote asiyetenda lililo haki si wa Mungu; wala asiyempenda ndugu yake si wa Mungu." (1 Yohana 3:10)...
  13. benzemah

    Rais Samia ashuhudia Utiaji Saini Mkataba wa Makubaliano Kuhusiana na Mashirikiano kwenye (TEHAMA) Kati ya Tanzania na Malawi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera kwenye picha ya kumbukumbu na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye pamoja na Waziri wa Habari na TEHMA wa Malawi Moses Kunkuyu Kalongashwa...
  14. Mukulu wa Bakulu

    Afrika Kusini na Congo DRC zasaini mkataba wa ujenzi wa bwawa la Umeme la Megawati elfu 70 mto Congo

    Nchi za Afrika Kusini na Congo DRC zimetiliana saini ya mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa bwawa la umeme la Megawati elfu 70 ama GW 70 katika maporomoko ya mto Congo. Mradi huo unaoitwa Grand Inga Dam Project uko mto Congo na unakadiriwa kugharimu Dola Bilioni 80 hadi kukamilika kwake na...
  15. Mwande na Mndewa

    Wazee wa Baraza la Ushauri; Mjadala wa bandari unatupeleka pabaya, maoni yasikilizwe

    Mkataba wa bandari waaibua Wazee wa Baraza la Ushauri. == Wazee wamesema mjadala wa bandari utatugawa kutokana na namna unavyoendeshwa. Mzee mmoja wa Dar amesema hakuna anayepinga mpango huo au anayeshuku uwezo wa kifedha wa wawekezaji hao bali hawakubaliani na baadhi ya vipengele vya mkataba...
  16. Pfizer

    Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa daraja la simiyu (m 150) pamoja na barabara za maingilio yenye urefu wa kilometa 3

    Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa daraja la simiyu (m 150) pamoja na barabara za maingilio yenye urefu wa kilometa 3.
  17. Mwande na Mndewa

    Tundu Lissu: Ukiona mtu anatetea mkataba huu wa kuuzwa kwa bandari basi hana akili au amehongwa

    "Hii biashara ya Rais wetu na maswaiba zake wa Dubai imekataliwa na watu wengi sana wenye akili na ambao hawajahongwa. "Bandari zetu zimeuzwa zote zilizopo na zitakazokuwepo. "Hao watu wanaotetea ndio wanatetea kuuzwa kwa bandari zetu, jibu ni nini, hawana akili au wamehongwa. "Tusiruhusu...
  18. Dr Matola PhD

    Mikataba haikuanza leo, ni miaka mingi kabla hata ya kuzaliwa kristo, angalia mkataba huu kati ya Israel na Lebanon ndio utaujuwa ukweli

    MKATABA WA KALE WA KIUCHUMI KATI YA ISRAEL NA LEBANON U SAWA NA MKATABA WA BANDARI KATI YA TANZANIA NA DUBAI? Mkataba wa kwanza wa kimataifa kurekodiwa katika Biblia ni Mkataba wa kiuchumi baina ya Israeli na Lebanon uliosaniwa mwaka c. 950 BK (miaka 2973 iliyopita). Mkataba ule ulihusu Lebanon...
  19. FaizaFoxy

    Uhuru wa maoni uwe na mipaka. Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni uchokozi

    Hakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mpaka kutusi. Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni uvunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka...
  20. K

    CCM iwe maakini sana na mkataba huu wa bandari

    Suala la Mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Jamhuri wa Tanzania na DP World umejadiliwa sana na wananchi kuhusu changamot zote zilizopo kwenye mkataba huo. Huku nje wengi wa wananchi ni waelewa sana wengine ni Maprofesa, PhDs na nakadhalika wameishauri Serikali uupitie tena mkataba huu kwa...
Back
Top Bottom