mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    TANROADS imesaini mkataba wa Ujenzi wa Daraja la Simiyu lenye urefu wa mita 150 na barabara za Maingiliano zenye urefu wa km 3 kwa kiwango cha lami

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia TANROADS imesaini mkataba wa Ujenzi wa Daraja la Simiyu lenye urefu wa mita 150 na barabara za Maingiliano zenye urefu wa km 3 kwa kiwango cha lami kwa gharama ya shilingi bilioni 48.788. Akizungumza kwenye hafla fupi ya utiaji saini mkataba...
  2. Jaji Mfawidhi

    Mkataba wa bandari na DP World umetusaidia kujuana zaidi

    "Na hivi ndivyo tunavyoweza kutambua wazi kati ya walio watoto wa Mungu na walio watoto wa shetani. Mtu ye yote asiyetenda lililo haki si wa Mungu; wala asiyempenda ndugu yake si wa Mungu." (1 Yohana 3:10) KWANZA, Nimekubali kuwa ndugu hujuana vizuri wakati wa matatizo na migogoro. Hata...
  3. Mwande na Mndewa

    Tundu Lissu: Rais Samia ameuza bandari zetu zote zilizopo na zitakazokuwepo

    MKUTANO WA TUNDU LISSU, MBOPO, KAWE. "Samia ameuza bandari zote zilizopo na zitakazokuwepo, ametukosea sana" "Nimeshuhudia vitu vingi vya hovyo lakini sijawahi kushuhudia, mkataba wa hovyo kama huu, sijui huyu Mama anashauriwa na nani" "Mkataba huu haurekebishiki, ni wa kuufuta tu hakuna...
  4. mrdocumentor

    Mnaopinga na mnaounga mkono mmeusoma mkataba?

    Bandari imetawanya watanzania katika makundi tofauti tofauti, kuhusu bandari mambo mengi yameibuka Kama siasa, udini, na muungano pia umehatarishwa katika suala hili la bandari. Na sio watu wote waliogawanyika wanafahamu chochote kuhusu mkataba husika kuna wale akina sisi ambao huwa tumezoea...
  5. B

    Lissu: Mkataba na DP World Rais Samia ametukosea sana!

    Huu ndiyo ulio ukweli: "Hatupoi!" Alipo sasa Rais Samia anayo namna moja pekee: "Kuufuta tu, mkataba huu ambao ni wa hovyo mno, usiorekebishika!"
  6. chiembe

    Wakati tukiendelea kujadili mkataba wa DP World, wanachama wa Chadema tunataka iweke hadharani mkataba wa ununuzi wa jengo la Ofisi

    Mimi mwanachadema, na kwa muda Sasa tunapiga mdomo kuhusu mkataba wa Bandari na DP. Katikati ya mjadala, Kuna jengo limenunuliwa na chama chetu kwa mabilioni. Chama hakijatueleza nani alifanya uthamini wa jengo akapata thamani hiyo, nani katuuzia, fedha imelipwaje, na mkataba wa ununuzi uko...
  7. comte

    CHADEMA kama mnataka tuwaamini ili tuwape nchi wekeni hapa mkataba wa uhusiano wenu na NGO ya Kijerumani The Konrad Adenauer Stiftung (KAS)

    Mwaka 2004 CHADEMA iliingia ubia na NGO ya Kijerumani The Konrad Adenauer Stiftung (KAS) ili iwajengee uwezo wa kisiasa, kiutawala na kiufundi (technical assistance including capacity building for local leaders, programmatic support and structural coordination). TUWEKEENI HUO MKTABA HAPA WA UBIA
  8. Mr Why

    DOKEZO Malalamiko ya mkataba wa DP World yapelekwe CCM, Rais Samia hana makosa sababu anatekeleza sera za chama chake

    Ndugu zangu Wananchi, kuna jambo tunasahau kuhusiana na mkataba wa DP World. Malalamiko ya mkataba huo yamekuwa mengi sana lakini tatizo letu wananchi tumeshindwa kujua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hapaswi kulaumiwa hata kidogo, ni Rais msafi na mcha Mungu. Malalamiko yanayohusiana na mkataba...
  9. D

    Toka mkataba wa kijambazi wa DP World uanze sijawasikia Hawa makamarada

    Toka sakata hili lianze sijasikia kauli thabiti kutoka kwa Mzee Philip Mangula na Abdulhaman Kinana. Kwenye mambo kama haya kauli za wazee ni muhimu sana. Hata David Cleopas Msuya. Kulikoni?
  10. V

    Mkataba hauifungi DP World isiwekeze Congo na Rwanda. Waliizunguka Djibouti mizigo ya Ethiopia na Somalia ikawa kesi

    Associated Press Djibouti walicheza ngoma bandarini siku ya kwanza. Leo Djibouti wanalia machozi, DP World wamefukuzwa, Djibouti wanasema wameibiwa, wamelipa madola ya mafaini na magharama ya kesi za kimataifa. Hukumu ya siku za karibuni ilitoka mwezi May 2023 Washington DC. Kesi mahakamani...
  11. The Shah of Tanganyika

    Yawezekana Mkataba huu wa DP World ni malipo (Retribution) ya Waarabu dhidi ya Tanganyika kuikalia Zanzibar?

    Nimesoma na kusikiliza hoja nyingi zilizojaa hisia kali juu ya hili sakata la DP World ya Uarabuni (Imarati ya Dubai) kukabidhiwa bandari zote za bahari, maziwa, mito na hata nchi kavu, alimradi imehusiana na bandari. Ni mambo ya ajabu sana ukitulia na kusoma kwa kutafakari. Lakini jambo...
  12. Doctor Mama Amon

    Ushauri kwa UWT, UVCCM, Jumuiya ya Wazazi: Namna bora ya kumsafisha Rais Samia dhidi ya vumbi la mkataba wa Dubai hii hapa

    Mary Chatanda, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (Taifa) Leo mchana wa tarehe 03 Julai 2023, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (CCM), Mary Chatanda, amehutubua Taifa kupitia TBC, akiwa mkoani Njombe. Ameonyesha dhamira ya kupangusa “uchafu” unaotishia kuzima nyota ya Rais Samia. Lakini mbinu aliyoitumia ni...
  13. BARD AI

    Mawakili wataka Serikali ieleze sababu ya 'Kusaini’ Mkataba wa Bandari bila kushirikisha Wananchi

    Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya itaanza kusikiliza maombi ya kupinga mkataba uwekezaji wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai kupitia Kampuni DP World baada ya kupokea majibu ya Serikali. Katika maombi hayo ya kikatiba, waleta maombi wanaitaka Serikali kuieleza mahakama sababu za kile...
  14. Meneja Wa Makampuni

    IGA ni nini na inatofauti gani na HGA (Na mkataba nini na unatofautiana vipi na makubaliano?

    Samahani wadau nawaalika katika huu mjadala wa kuelezea kwa kina juu ya mada tajwa hapo juu inayosema "IGA ni nini na inatofauti gani na HGA (Na mkataba nini na unatofautiana vipi na makubaliano?) Kumekua na mkanganyiko juu ya hizo terminologies, mwenye kujua maana zake tunaomba ufafanuzi wa...
  15. Mparee2

    Kwenye Mkataba wa DP world Watanzania wanapotoshwa!

    Nafikiri huu mkataba ulichokosa ni Schedule of amendment au kikomo cha mkataba, mengine yanaongeleka
  16. J

    Anna Tibaijuka: Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential, tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga!

    Prof Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi...
  17. Mwl.RCT

    Video | Serikali ya Djibouti yavunja mkataba na DP World kuhusu uendeshaji wa bandari ya Doraleh

    Muhtsari Serikali ya Djibouti yavunja Mkataba wa Bandari ya Doraleh na DP World Sababu za kuvunja Mkataba ni kutokuwepo kwa maslahi kwa Taifa la Djibouti na rushwa iliyotolewa na mkuu wa bandari Serikali ya Djibouti yaishtaki DP World kwa madai ya ukiukwaji wa Mkataba Serikali ya Djibouti...
  18. Li ngunda ngali

    Wapambe siku zijazo: Rais Samia ni jembe ameukataa mkataba wa bandari

    NAPE: "Tukiwaambia Rais yupo kwa ajili ya maslahi ya umma muwe mnaelewa. Rasmi amekaa upande wa Wananchi na ameamrisha huo mkataba usimamishwe kwanza. Samia, oyeee!" GERSON MSIGWA: "Niliwaambia tokea mwanzo Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan ni msikivu na katika hili nalo kawasikia Wananchi...
  19. B

    Dk. Slaa: Mkataba wa DP World kama Taifa - Tumeuzwa!

    Hoja hupingwa kwa hoja: Ukweli mchungu: "Mkataba wa DP World ni mmoja akiita jiwe hata mwenda wazimu hawezi kuusaini." Heshima kwake Dk. Slaa.
  20. N

    Suala la DP World nahisi bado naota. Ni kweli kabisa Viongozi wetu waliukubali mkataba wa hovyo kama huu?

    Habari wakuu, Hapa nipo nimekaa namtafakari Rais wetu, Waziri Mkuu wetu, Mawaziri wetu na wabunge wetu. Ni kweli kabisa walikubali kuuchukua huu mkataba na akili zao au Kuna kitu kipo nyuma yake? Bado naona Kama naota, maana mkataba wenyewe hata mtoto wa Darasa la Saba ukimpa ausome anaukataa...
Back
Top Bottom