mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prof. Shivji: Mikataba ya Bandari na Dubai inayokuja itakuwa Siri na haitapelekwa Bungeni

    "DP WORLD wakipata faida huwezi kuwatoza kodi lakini pia hakuna kifungu chochote (katika mkataba wa bandari) kinachozungumzia revenue sharing (mgawanyo wa mapato), kama nchi itafaidika vipi?" Prof. Shivji "Mkataba huu (wa bandari) unaegemea zaidi upande mmoja na pia hauna ukomo wa muda. Wajibu...
  2. Shivji ataka Bunge libatilishe azimio la Mkataba wa Bandari na Serikali ya Dubai

    Mwanazuoni Profesa Issa Shivji amekosoa mkataba baina ya Tanzania na Dubai unaohusu uboreshaji na uendeshaji wa bandari, huku akishauri Bunge kubatilisha azimio la kuridhia mkataba huo wa awali. Profesa huyo ambaye ni nguli wa sheria amependekeza njia hiyo leo Jumatano Juni 28, 2023 wakati...
  3. M

    Profesa Shivji anasema mkataba wa Dubai/DP World uko kinyume na katiba; Je kusigina katiba sio kosa la uhaini?

    Leo wakati akiongea katika mdahalo uliofanyika UDSM, mhadhiri mwandamizi wa sheria profesa Issa Shivji ameeleza kuwa mkataba wa uendeshaji bandari kati ya Tanzania na Dubai una dosari kutokana na vifungu vilivyotajwa hapo juu kukinzana na matakwa ya kikatiba ya Tanzania. Na akaeleza kesi inaweza...
  4. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Feleshi, anapotosha Taifa, ukweli ni kwamba mkataba wa DP World unaongelea uuzwaji wa Bandari

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Feleshi, anasema kuwa katika Mkataba wa awali kati ya Tanzania na Dubai "hakuna kipengele kinachosema kuwa Dubai imeuziwa Bandari za Tanzania." Kisheria, kauli hii sio kweli hata kidogo. Hivyo, napenda kujenga hoja ya kuonyesha kwamba, katika Mkataba wa awali...
  5. Kuna la kujifunza kuhusu mkataba wa DP World na wabunge wa CCM,

    Nimeuliza tu !! Japo mada hii itafutwa nusu saa ijayo
  6. D

    Wanaotetea Sakata la mkataba wa bandari hawana tofauti na waliokanusha kifo cha Rais enzi zile ilikuwa hivi hivi

    Wanaotetea Sakata la mkataba wa bandari hawana tofauti na waliokanusha kifo cha rais enzi zile ilikuwa hivi hivi! Wengine walikwenda mbali zaidi wakidai wameongea nae kwa simu asubuhi kawaambia wachape kazi yuko mzima! Watu walizidi kuhoji rais wetu yuko wapi walijibiwa yupo chato anawageni...
  7. M

    Huu Mkataba siyo Intergovernmental, Dubai siyo Nchi

    Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu. Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa. " Can Dubai on its own enter the intergovernmental...
  8. Bora kuufuta kwanza mkataba wote wa bandari na DP World kuliko kujaribu kurekebisha chochote ili ufae

    Tanzania tupo kwenye mjadala mzito unaohusu bandari na waarabu wa Dubai (DP world), na kiini cha mjadala wote ni kuhusu dosari za kimsingi zinazounguka mkataba wenye. Jambo moja la wazi linalokubalika na pande zote katika mjadala huu ni kuwa, sote (serikali na wakosoaji) tunakubali kuwa mkataba...
  9. H

    Ni hatari sana kwa nchi kutegemea ushauri wa Legal Officer (Hamza Johari), na kuiingiza nchi kwenye mkataba

    Utangulizi: Katika taaluma ya sheria kote dunia, na kwa kipekee hapa nchini Tanzania, ili mtu akidhi vigezo vya kuwa mshauri, au kuwakilisha watu mahakamani, au kushauri mambo msingi ya kisheria , au kuhakiki nyaraka mbalimbali ni lazima awe na taalum hiyo katika ngazi au nafasi ya uwakili...
  10. Mapungufu 10 ya Mkataba wa Bandari na DP World

    Kuna mchambuzi namshukuru kwa kuifanya kazi ya Serikali kuwa rahisi. Amechambua vipengere vinavyoidhlilisha nchi yetu tukufu ya Tanzania. Mwanasheria Mkuu ni lazima achukue hatua na si kuwaachia kina Mbarawa mambo haya ambayo yana lifedhehesha Taifa.
  11. K

    Hatukusaini Mkataba wa Bandari peke yake; iko mikataba 36 ambayo hatujawekwa wazi?

    Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza. Wakati mama amekwenda kwenye maonyesho ya Dubai tulisaini hati 36 za makubaliano. Hadi sasa tumeelezwa mmoja tu wa bandari, mingine ni ya nini? SOMA HAPA Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetia saini Hati za Makubaliano (MoU) 36 wakati wa...
  12. Maboresho Mkataba wa Bandari Yazingatie Maoni ya Wananchi

    MHE. TARIMBA ABBAS - MABORESHO MKABATA WA BANDARI YAZINGATIE MAONI YA WANANCHI "Serikali ifanye utafiti ni kwanini Tandale mahali ambapo pana Shule tatu za msingi na bado wanashindwa kuweza kupata Shule ya Sekondari" - Mhe. Tarimba Abbas, Mbunge wa Jimbo la Kinondoni. "Elimu ya dai risiti toa...
  13. Facts kadhaa zinazoufanya Mkataba wa Tanzania na Dubai juu ya Bandari kuwa batili. Tuwe nazo Makini

    Habari za asubuhi wana JF, Tunaendelea na hili jambo ambalo sasa lipo katika ngazi ya familia kabisa. Tunaulizwa majumbani mwetu. Kuna mambo kadhaa ambazo ni facts kabisa katika mkataba huu na zinaufanya ukose sifa. Wao wanasema ni makubaliano tu, lakini makubaliano ni mkataba. Baadhi ya facts...
  14. Rais Samia asizibe masikio dhidi ya kelele za watanzania kupinga kifungu cha 23(4) cha Mkataba wa awali wa DP World ambacho ni cha kitumwa

    Waziri Mkuu, Cassim Majaliwa, alitoa hotuba zuri kuwaalika watanzania kutoa mawazo kuhusu mkataba wa DP World ili serikali iyapokee na kuyachambua. Lakini sasa ni kama bosi wake anamkana. Jana, Rais Samia akiwa anazungumza baada ya wananchi waliokuwa wamejitokeza kumpokea katika eneo la...
  15. Watanzania ni Watu wa ajabu. Wanapigiaje kelele jambo dogo la Bandari, lakini Mambo Muhimu ya Msingi kama Katiba na Uhuru wao wapo Kimya?

    Wanabodi Nipashe la leo, Kama kawaida yangu kila Jumapili, huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, kuzungumzia jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na kijamii lenye maslahi kwa taifa. Mada hizi huwa zina, swali , na hoja, kisha jibu, utalitoa wewe msomaji mwenywe. Swali la leo ni kutuhusu...
  16. J

    Msigwa: Bandari Ilikuwa inaingiza tsh 1 trillion na inamtumia tsh 880 bilioni ndio sababu tumeleta DP World Ili kuongeza Mapato!

    Msemaji wa Serikali mh Msigwa amesema Bandari ilikuwa inaingiza faida ya takribani tsh 120 bilioni tu na TICTS Ilikuwa inaingiza tsh 300 bilioni tu na Bandari ina Magati 12 Msigwa amesema Bandari haijauzwa na haitauzwa kwa sababu sheria za Nchi haziruhusu Msigwa amesisitiza Bandari lazima...
  17. Mkataba kati ya DP world na TPA hauna tatizo lolote ila kuna baadhi ya ibara zinatakiwa zifanyiwe mareboresho mfano ibara ya 23

    Nimeusoma mkataba wa bandari kuna mapungufu machache tu yanayoweza kurekebishika. Watanzania tuondoe wasiwasi tushauri kwa lugha nzuri. Mfano kama ikiwezekana ibara ya 23 ingefanyiwa maboresho ili isituminye sana. Ibara inasema hivi: ARTICLE 23 DURATION AND TERMINATION 1. Subject to paragraph...
  18. Hakuna Uuzwaji wa Ardhi Mkataba wa DP World na Tanzania

    MHE. ELIBARIKI KINGU - HAKUNA UUZWAJI WA ARDHI MKATABA WA DP WORLD NA TANZANIA "Tukiwa kama wabunge tuna nafasi ya kusema vitu vinavyotoa muelekeo wa nchi. Mafanikio tunayoyazungumza ya Serikali ya awamu ya sita nyanja za Kiuchumi, Kijamii, Kisiasa kwa dhati ya moyo niseme Waziri wa Fedha na...
  19. Naomba ushauri wa kisheria kuhusu Mwajiri kulazimisha nivunje mkataba

    Habarini wakuu! Nimeleta suala hili kwenu wataalamu wa sheria ili mnisaidie. Nafanya kazi kampuni fulani ambayo baada ya tamko la serikali kuhusu kuongezewa mishahara kwa sekta binafsi, kampuni imeshindwa kumudu hilo ongezeko la mishahara. Mwajiri alichokisema ni kwamba yeye kashindwa kumudu...
  20. Q

    Huu ni Mkataba mkubwa mbovu kuwahi kusainiwa na Rais tangu tupate Uhuru

    Tumewahi kuona mikataba mikubwa ya kuuza au kubinafsisha raslimali zetu ikisainiwa kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali lkn huu wa kuuza bandari zetu unaoneka kuwa utavunja rekodi ya kuwa mkataba mbovu kuwahi kusainiwa na rais aliye madarakani na utamwachia legacy mbaya Rais Samia. Tukiondoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…