mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yafichuka: Jinsi Tanzania ilivyotia saini mkataba kichaa na kampuni ya siri kuendesha uwanja mkuu wa watalii nchini (KIA)

    Serikali imetangaza leo kuwa hatimaye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) utakabidhiwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) inayomilikiwa na Serikali (TAA) kesho, lakini walengwa halisi wa KADCO, kampuni iliyoendesha uwanja huo kwa miaka 25 na kukusanya mabilioni ya...
  2. Nini kinaendelea Mbeya kuhusu Maandamano? Watu wa Mbeya tuambieni kama hizi picha ni za kweli

    Nini kinaendelea Mbeya kuhusu Maandaano? Watu wa Mbeya tuambieni kinachoendelea kama hizi picha ni za kweli =============== UPDATES... Hofu na wasiwasi vimetanda kwa wananchi jijini Mbeya kufuatia askari polisi kuzagaa kwa makundi maeneo mbalimbali tofauti na siku nyingine. Hata hivyo hakuna...
  3. M

    Wote walioukataa na kuupinga Mkataba mzuri na mnono wa DP World walikuwa / wana shida Vichwani mwao

    Nampongeza sana Mheshimiwa Rais wangu Kipenzi Samia Suluhu Hassan kwa kutowasikiliza Wapingaji ( wenye Shida Vichwani mwao ) wa Mkataba mnono na mzuri wa Waarabu wa DP World na kuingia nao. DP World ndiyo Mkombozi wa Bandari zetu Kuu na Uchumi wa Watanzania ambao utachochea Maendeleo hata ya...
  4. Mbunge Ndaisaba: Huu ni Wakati Sahihi Tanzania Kujiunga na Mkataba wa IRENA

    "Namshukuru Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko ambaye baada ya kuteuliwa alifika Ngara na kuzindua miradi ya Umeme kwenye Vijiji vya Ntanga na Katulanzuri, ziara imekuwa na Matunda makubwa sana" - Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara "Naibu...
  5. Mbunge Kasaka aunga mkono azimio la mkataba wa wakala wa Nishati Jadidifu Irena

    MBUNGE wa Jimbo la Lupa Chunya Mhe. Masache Kasaka amesema kuridhia kwa azimio la Tanzania kuhusu mkataba wa wakala wa kimataifa wa Nishati Jadidifu IRENA utaleta manufaa kwa nchi huku akibainisha kwamba nchi nyingine jirani zikiwemo Kenya Uganda Rwanda na nchi za SADEC zilizoweza...
  6. B

    Ujanja wa CCM wamtangaza Makonda siku ya kusaini mkataba na DP World

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetumia mbinu za kijasusi kwa kusaini mkataba kati ya Bandari ya Darisalama na muwekezaji dp world kutoka dubai na siku hiyo hiyo kutoa taarifa kwa vyomba vya habari kumtangaza paul makonda kuwa katibu wake wa itikadi na uenezi Lengo la kuunganisha matukio hayo...
  7. J

    Katibu wa TEC: Maaskofu wanahitaji kuisoma mikataba iliyosainiwa, walipoitwa hawakuambiwa kulikuwa na nini

    Katibu wa TEC Padre Dr. Kitima amesema Maaskofu wanahitaji kuusoma mkataba, walikuwepo watatu na walipoitwa hawakuambiwa kuna nini ila walichosikia ni kuwa Maoni ya Wananchi yamezingatiwa. Maaskofu walikuwa wanawasemea Wananchi na "Walichosikia" maoni ya Wananchi yamezingatiwa, amesema. Naye...
  8. Je, Boniface Mwabukusi kuvuliwa Uwakili?

    Njama za kihuni
  9. TAESA imekuwa ni janga kubwa la kukata ndoto za vijana. KwaniniSerikali (PSRS) isianze na vijana wa TAESA kwanza kwa uzoefu walio nao?

    Habari wana JF, Mimi ni kijana ambaye kwa sasa nipo chini ya Taesa, kwa msiojua utaratibu wao ni kuwa wanakutafutia sehemu ya kufanya internship kwa mkataba wa mwaka mmoja halafu wanakulila 150k per month (Ambayo ni kipengele kwa kweli kuipata) na then mkataba ukiisha wanakuacha. Hii kitu...
  10. Tunahitaji Rais Mzalendo 2025 aupitie upya Mkataba wa DP world

    Uwekezano wa kuingizwa mjini na Samia ni mkubwa sana. Tunahitaji tumpate Rais wazalendo 2025 akauchunguze huu mkataba wa Bandari. CCM Hawaaminiki na hawajawahi kuaminika kamwe. Mpaka 30 iishe robo tatu ya tuliomo humu aidha tutakuwa tumeshakufa au tu wazee sana. Hiyo miaka 30 ikiisha hakuna...
  11. Mbowe: Rais Samia haaminiki, aweke hadharani mkataba wa bandari ili tuuone

    Akihutubia Maelfu ya Wananchi huko Nkasi kwenye ile Oparesheni Kabambe inayoitwa Oparesheni 255 okoa Bandari zetu, Mwenyekiti wa Chadema, Feeman Mbowe, amesema Rais Samia haaminiki na ili tuamini kile kilichosainiwa jana alichodai ni mkataba wa bandari na DP WORLD ya Dubai basi mkataba huo...
  12. Dua za kuombea utiaji saini mkataba wa Bandari zina unafiki mkubwa

    Kama ilivyo desturi na kawaida ya shughuli zetu zote Watanzania, iwe za Kiserikali au hata za majumbani mwetu, huwa tunaanza kwa dua. Jana 22/10/2023 kama kawaida, ya shughuli ya Kitaifa ya kusaini mikataba mikubwa ya uendeshwaji bandari yetu ya Dar, dua zilisomwa na askofu wa Liberatus wa TEC...
  13. Kurekebisha mkataba wa DP World, hongera Rais Samia

    Rais Samia Suluhu Hassan Nikiwa mmoja wa members wa JF nilyepinga sana mkataba wa awali kati ya nchi yetu na DP World, nachukua nafasi hii kumpongeza Mama Samia. Pongezi zangu zinazingatia vipengele kadhaa: - Watanzania wengi tunapenda uwekezaji na nchi iweze kuvutia mitaji toka kote duniani...
  14. Wito: Pamoja na kusainiwa kwa mikataba mitatu ya wawekezaji wa Dubai Serikali ibainishe maudhui yake na mabadiliko yaliyofanywa kwenye mkataba wa IGA

    https://youtu.be/mYG3nEK8BZE Sote tunafahamu kwamba, kwa nchi changa duniani, fursa za uwekezaji wa kigeni sio tu kwamba ni chache, lakini pia zinakuja na mashari ya kikatili, kinyonyaji na kikoloni. Na wakati mwingine zinakuja kwa ghrama kubwa sana. Kuna wakati mazingira asilia ndiyo...
  15. Sasa nimegundua, tatizo sio uwekezaji wala Mkataba bali ni Waarabu kuwekeza

    Kumekuwa na malalamiko hata baada ya kufanyika marekebisho ya mikataba ya HGA na IGA .na wengine wakifikia Kuilaumu TEC kwa kutokuwa na msimamo. Bila kujua kuwa TEC walisema kuwa kama mkataba utaendelea kuwa hivyo ni bora kufutwa na Serikali iwasikilize wananchi. Wananchi walitaka maboresho ya...
  16. Kulikuwa na haja gani TEC kupinga mkataba wa bandari?

    Serikali ilisema inasikiliza maoni ya watanzania wote kuhusu mkataba wa bandari na viongozi wa dini walikuwa na nafasi kubwa ya kusikilizwa maoni yao Ikumbukwe Kanisa katoliki walitoa waraka wa kupinga mkataba wa bandari wiki sita lakini leo hii tumewaona wakishiriki pamoja na serikali katika...
  17. Baada ya maboresho ya mkataba na DP world serikali ichukue hatua kwa wote waliotuingiza mkenge

    Serikali imekiri uwepo wa vipengele vibovu na wamekubali kukosolewa na kufanyia Kazi maoni ya wengi.Kuishia kurekebisha haitoshi kwa masilahi mapana ya walipakodi. KWANINI wale wote waliohusika kuanzia watoa hoja/wanasheria/washauri /wabunge ambao ndio wapitisha madudu na wengine wote...
  18. Unasaini mkataba wa bandari wakati huo huo unamrudisha Makonda. CCM Bado ni wahuni

    Pole pole anasema kataa wahuni na wahuni wenyewe wako ndani ya CCM. Matukio haya ya leo yamekuja ilimradi kutuchanganya tu ...tujadili lipi tuache lipi ... Kwa ufupi sisi tutajadili yote pamoja na uhuni huo ...hasa hasa la Bandari. Je vipengele vimerekebishwa? Huyo makonda wenu mtajuana wana...
  19. Tukio la Mkataba wa Bandari kwenda sambamba na Uteuzi wa Makonda ni Dalili za CCM kujivika kitanzi cha hiari

    CCM ina watu wabovu sana kwenye kitengo cha propaganda, kufanya uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama spinning ya kuzima mjadala na fikra tunduizi kwa tukio la aibu la Mkataba wa Bandari ni timing mbovu na imekuwa miscalculated. Falme za namna hii hizi ni nyakati...
  20. Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023. https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…