mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube

    TAARIFA Tunapenda kuutaarifu umma kwamba tumeridhia maombi ya Prince Dube kuvunja mkataba wake nasi, aliyoyatoa Machi 2024. Hatua hii inafuatia kitendo cha mchezaji hiyo kutimiza matakwa ya kimkataba kama ilivyoanishwa kwenye vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkataba. Tunamtakia...
  2. Suley2019

    Seoul yasaini Mkataba wa Kujenga Bandari ya Uvuvi Zanzibar

    Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi ya Zanzibar imesaini mkataba wa ushirikiano na wizara ya bahari na uvuvi ya Jamhuri ya Korea kwa ajili ya utafiti wa uwezekano wa kujenga bandari ya uvuvi na maendeleo ya miundombinu ya uvuvi Zanzibar. Wakati wa hafla ya kusaini mkataba iliyofanyika katika...
  3. Mkalukungone mwamba

    Tetesi: Chama amesaini mkataba wa mwaka mmoja kwa mabingwa Yanga

    Taarifa kutoka kwa viongozi wa Clatous Chama wamedai kiungo Mshambuliaji wa Simba amefanikiwa kutia saini ya mwaka mmoja na Mabingwa wa ligi kuu ya NBCPL ambao ni Yanga. kwahiyo Chama msimu ujao tunaweza kumshuhudia akiwa ameva uzi wa njano na kijani akikiwasha inavyopaswa. Licha Chama...
  4. Mwizukulu mgikuru

    Hospitali ya rufaa kitete yatangaza ajira 126 za mkataba kwa wataalamu wa afya mbalimbali

    Hospitali ya rufaa kitete mkoa wa Tabora imetangaza ajira za mkataba 126 kwa wataalamu wa afya mbalimbali mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 25/06/2024.
  5. A

    KERO Watumishi wa hospitali ya liwale iliyopo Liwale-Lindi walioajiriwa kwa mkataba na Halmashauri kupitia mdau MSF hawana tarehe maalumu ya mshahara

    Kuna watumishi wapatao 43 ambao wameajiriwa kwa mkataba Halmashauri ya Liwale kupitia mdau Medicines San Frontiers (MSF) au Madaktari wasio na mipaka miongoni mwao ni Madaktari, wauguzi na wataalamu wa maabara na wahudumu wa afya ngazi ya jamii zaidi ya 10. Cha ajabu ni kuwa hawajapata...
  6. D

    Natafuta gari ya mkataba au hesabu

    Habari, Naitwa Device frabius ninamiaka 29,nakaa dar es Salaam Mikocheni natafuta gari Kati ya IST,RAUMU,SPACIAL AU WISH. Kwaajili ya kuwaendesha Waturuki kwa mkataba wa mwaka mzima. Namba yangu 0617146950
  7. D

    Nahitaji pikipiki ya mkataba

    Habari, Naitwa device frabius mkazi wa Dar es Salaam Mikocheni natafuta pikipiki mpya iliyosimama kwa mkataba Kwa siku 10,000/= ikiwa boxer itapendeza zaidi, nahitaji kwasababu ya Bolt. 0617146950
  8. Suley2019

    VoA watolea ufafanuzi taarifa ya Masharti ya Mkopo wa Korea Kusini kwa Tanzania

    Siku moja baada ya kutoa taarifa inayoeleza masharti ya mkopo ambao Tanzania imeupokea kutoka Korea Kusini hivi karibuni (Soma hapa). Shiriki la Habari la Sauti ya Marekani (VoA) limeibuka na kutafuta ufafanuzi wa kina wa taarifa ya mkopo huo kutoka Serikalini. Habari hiyo inaeleza: Serikali...
  9. J

    Mwigulu: Mkataba wa EPC+F ni Technical sana

    Waziri wa fedha Msomi Dr Mwigulu Nchemba amewaambia wabunge kuwa mkataba wa EPC +F ni " Technical" sana kwa wananchi na wabunge kuweza kuelewa. Akitoa ufafanuzi bungeni baada ya Mbunge Halima Mdee kuzuia shilingi ya mashara wa wàziri wa ujenzi kuhusu kushindwa kutekelezwa kwa mkataba huo wa...
  10. M

    Naitaji piki piki ya mkataba nipo Dar

    Habari viongozi, Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa Dar es salaam mtaa wa External manispa ya Ubungo, Naitaji MSADA kwa alie na piki piki ya mkataba au ya daywaka, pia ni mjuzi wa kuendesha ila leseni sina na sio mda nitakata, namba 0785598033
  11. Hussein Massanza

    Sikufukuzwa kazi Singida Fountain Gate, nilivunja mkataba kwa makubaliano

    Watu wa Soka, Umofia kwenu. Nimekuwa nikipokea SMS nyingi na maswali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu nini kimetokea kati yangu na Klabu ya Singida Fountain Gate ambayo nilikuwa naitumikia kama Msemaji na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano. Kuweka rekodi sawa tu, sijafukuzwa kazi wala...
  12. T

    Ujue kwa ufupi: Mkataba wa Songas na TANESCO unaotarajiwa kufika tamati Julai 2024

    1. Songas kampuni binafsi iliyoingia mkataba wa kuzalisha umeme na kuiuzia TANESCO mwaka 2004 kwa kutumia mitambo ya gesi. Songas iko Ubungo mataa kama unaatokea Mwenge kwenda Riverside ama Buguruni. 2. Songas ilianzishwa kwa mtaji wa Dola milioni 306, yaani 75% ( Serikali ya Tanzania kupitia...
  13. K

    Kuna kampuni ya wakopeshaji mtandaoni. Wamenipa mkataba mtandaoni wanadai niliridhia, ninawashtaki

    Serikali yetu imeacha hawa wezi watusumbue. Naapa kuwashitaki. Kuna kampuni nyingi kwenye mitandao inachukua taariza maskini watanzania na kuwakopesha kwa nguvu huwadai pesa nyingi kama rejesho. Nitakufa na mtu...twiga loan kaeni tayari I will ....@%&you
  14. T

    Kampuni iliyoingia mkataba wa kujenga jengo la abiria Mwanza Airport kulikoni mbona kimya?

    Mkataba umesainiwa kwa vishindo na vigelegele ili uwanja wa ndege wa Mwanza uanze kujenga kwa kile kilichosemwa na Mkurugenzi wa TAA kwa dharura iliyopo hapo uwanjani kuboresha huduma. Magreda yakasombwa site, Msukuma akasifu, Hamis Tabasamu akatabasamu na kusifu na wananchi waliokusanywa...
  15. Kv-london

    Ushauri wenu: Nataka kujenga frame ya biashara kwa mkataba

    Habar wakuu huku ndani, Hapa kijijini kwetu Moshi kuna eneo zuri potential kwa ajili ya biashara hasa ya duka la reja reja, hardware au site ya tofali za block wamiliki wa hili eneo ni chama cha ushirika wa kahawa KNCU. Changamoto iliyopo ni kuwa hamna frame yeyote ya kufanya hiyo biashara ni...
  16. J

    Waziri Bashungwa awasili Manyara kushuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi barabara

    BASHUNGWA AWASILI MANYARA, KUSHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI BARABARA. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili Wilayani Babati Mkoani Manyara ambapo atashuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa barabara ya Dareda - Dongobesh (km 60), Sehemu ya Dareda Centre hadi Dareda...
  17. R

    DPW halazimiki kuajiri wazawa wala kurithi wafanyakazi; watu wa TPA someni sheria na mkataba kabla hamjaacha kazi

    TPA wanakwepa gaharama za kuishatakiwa lakini kiukweli hakunasehemu DP World anakwenda kuajiri unqualified staffs kwa mujibu wa masharti yake. Labda kama wanakwenda kuwa vibarua kwenye kampuni hii. Wafanyakazi wa bandari wanachotakiwa kufanya ni kusoma sheria siyo kupata elimu. Matangazo kwa...
  18. M

    Kwanini baada ya kupata ajira za mkataba UTUMISHI, inakuwa ngumu kupata ajira za kudumu hata baada ya kufanya usahili na kufaulu mara nyingi?

    Kwanini baada ya kupata ajira za mkataba kupitia utumishi wa umma, inakuwa ngumu sana kupata ajira za kudumu hata baada ya kufaulu katika usaili mara nyingi? Je, kuna sababu za kipekee au mifumo inayozuia mchakato huu wa kuajiriwa kwa njia ya kudumu?
  19. DR Mambo Jambo

    Nani yuko nyuma ya Mkataba wa TFF na GSM, kwanini TFF wanazuia usijadiliwe wala kuhojiwa?

    Baada ya Malalamiko mengi ya Wadau kuhusu GSM kuwa na Udhamini wa Timu zaidi ya Sita kwenye Ligi ya NBC, na kufanya Mpira wetu kuwa na sintofahamu kwa sababu GSM pia ndiyo mdhamini wa timu ya Yanga. baada ya Viongozi sa Simba kuhoji hilo Kwa TFF, TFF imekuja na Jibu kwamba hakuna anayeruhusiwa...
  20. BARD AI

    Marioo afunguliwa kesi ya Madai ya Tsh. Milioni 550 kwa kukiuka Mkataba wa Tamasha

    MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Omary Mwanga, maarufu Marioo, anayedaiwa zaidi ya Sh. milioni 500 kwa kuvunja mkataba, anatarajiwa kujitetea Mahakama Kuu Machi 18 na 19, mwaka huu. Marioo na Meneja wake Sweetbert Mwinula wameshtakiwa katika Mahakama Kuu Masjala ya Wilaya ya Arusha mbele ya...
Back
Top Bottom