Rais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA
Aidha Ruto pia ameagiza kufutwa kwa mkataba wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 700 ambao...
Nchi hii iliyojaa vigogo wasioweza kufanya jambo bila maslahi yao binafsi kuwepo sasa inaenda kununua umeme toka Ethiopia. Ingefaa tuambiwe vizuri kama ni kwa faida ya nani maana jambo muhimu hapa kwa mwananchi wa kawaida ni kuona juhudi ambazo zimekua zikiendelea kwa kasi nzuri kusambaza umeme...
Licha ya kuwa mwanzoni mwa msimu huu ilielezwa Kocha Pep Guardiola ataondoka ndani ya Manchester City mwishoni mwa msimu huu wa 2024/25 inadaiwa kuna uwezekano wa Kocha huyo kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuinoa City.
Guardiola (53) anaelekea mwishoni mwa mkataba wake wa sasa ambao...
Yani umejipinda kununua simu kali halafu uanze tena kutumia 4g wakati eneo lina 5g ya kutosha, Ahh wapi aisee !! miyeyusho hio !!
Ni tahadhari ya mapema kabisa naitoa, kama unataka kununua google pixel jifikirie mara 2, ukiachana na uadimu na bei pasua kichwa kwenye vioo kusababisha wengi...
Ungelikua ni wewe mkuu ungeenda ipi? kati ya hizi mbili
Mimi binafsi ningeenda hiyo private company kwa sababu
Najiamini naweza kufanya biashara.
Mara kibao huwa naona zinatoka kazi kama hizi za short term lakini vijana wanakimbilia serikalini.
👉huwa sijui ni kwanini ni uoga? wakuogopa...
Tanzania bado haija-sini mkataba wa kujenga natural gas refinery ila uko mezani mpaka sahivi
Mwanasheria wa serikali alitaka mazungumzo zaidi juu ya mkataba kwa sababu kuna mambo bado kama serikali hajaridhika nayo
Wito ni huu tunaomba serikali isi-sini huo mkataba iangalie option nyingine...
Fahamu Masharti ya Kudumu ya Mkataba wa Faragha wa waalikwa katika Sherehe za P Diddy
Mhusika hapaswi kusema yatakayotokea katika sherehe hizo hadi kifo cha P Diddy na miaka 20 zaidi baada ya kifo, huku Mkataba huu ukiwa na Wastani wa muda wa takriban Miaka 70 kwa mhusika.
Mkataba huu pia...
Taarifa kutoka tovuti ya michezo ya Brazil, UOL, zinaeleza kuwa klabu ya Saudi Arabia, Al-Hilal, inafikiria kuvunja mkataba wa Neymar Jr. mapema mwezi Januari.
Uamuzi huu unachangiwa na majeraha yanayomkabili Neymar, ambayo yamekuwa yakimzuia kucheza mara kwa mara, akifanikiwa kucheza mechi...
Katika hatua ya kuashiria kuanza kwa utekelezaji wa mradi maalum wa kuwawezesha Wanawake kiuchumi, Benki ya Equity Tanzania imesaini mkataba na Taasisi ya ADC Tanzania na washauri wabobezi wa biashara, jana Novemba 5, 2024.
Lengo kuu la mradi huu ni kuwajengea Wanawake uwezo katika biashara zao...
Legend wa Real Madrid, Marcelo amevunjiwa mkataba na klabu ya Fluminense miezi miwili kabla ya muda wake kumalizika, baada ya kutokea kutoelewana na kocha Mano Menezes jana Jumamosi.
Tukio hilo lilitokea wakati Menezes alipokuwa akipanga kumuingiza Marcelo uwanjani katika dakika za mwisho za...
KUMALIZIKA KWA MKATABA WA UNUNUZI WA UMEME KATI YA TANESCO NA KAMPUNI YA UZALISHAJI UMEME KWA NJIA YA GESI ASILIA YA SONGAS
ljumaa 01 Novemba, 2024
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuufahamisha umma kuhusu kumalizika kwa mkataba wa ununuzi wa umeme kutoka Kampuni ya uzalishaji...
Hapa kuna masharti 20 ya kulinda kipato endelevu kutoka majengo ya kupangisha ambayo yanaweza kuwekwa kwenye mkataba wa upangishaji.
Kila sharti linatoa mfano halisi ili kusaidia kuelewa jinsi linavyoweza kutekelezwa na umuhimu wake kwa mwenye nyumba.
(1) Kodi Lipewe Kwa Wakati
Mpangaji...
Serikali kupitia waziri wake wa Tamisemi Mh Mchengerwa imetutangazia kusainiwa kwa mikataba ya ujenzi wa Barabara za halmashauri za jiji la DSM.
Maoni ya wananchi wengi wanaonyesha kutokuamini uhalisia wa jambo hili kwani inaonyesha ni kila mwaka kumekuwa kukitolewa ahadi nyingi ambazo zimekuwa...
Jaji Bahati Mwamuye alitoa maagizo ya kihafidhina, kusitisha utekelezaji wa makubaliano hayo huku akitaja kuwa mkataba huo umeibua wasiwasi juu ya usiri, ushiriki wa umma, na kufuata katiba
Kampuni ya Usambazaji Umeme ya Kenya (KETRACO) ilitia saini mkataba wa Ksh 95.68 bilioni na Adani Energy...
Wakuu nimekutana na huu mjadala kuhusu zabuni ya ujenzi wa reli ya SGR kutoka Tabora hadi Kigoma ambao umeibua maswali muhimu kuhusu mchakato wa manunuzi na ufadhili wa mradi huo.
Ingawa TRC ilitangaza makubaliano ya ujenzi na kampuni ya CCECC Desemba 2022, kuna maswali juu ya tofauti ya bei...
Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya Fire - Ubungo kwa gharama ya Shilingi Bilioni 97.1 ambapo kazi ya ujenzi itatekelezwa kwa miezi 24.
Mkataba huo umesainiwa leo Oktoba 22, 2024...
SERIKALI YASAINI MKATABA UJENZI DARAJA LA JANGWANI, BILIONI 97.1 KUTUMIKA
Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya Fire - Ubungo kwa gharama ya Shilingi Bilioni 97.1 ambapo kazi ya ujenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.