MSHAHARA WA ERLING HAALAND NDANI YA MAN CITY
Thamani ya Mkataba Jumla £260,000,000 (Tsh. Bilioni 798.6)
Kwa Mwaka £26,000,000 (Tsh. Bilioni 79.8)
Kwa mwezi £2,166,666 (Tsh. Bilioni 6.6)
kwa Wiki £500,000 (Tsh. Bilioni 1.5)
Kwa siku £71,428 (Tsh. Milioni 219.4)
Kwa Saa £2,976 (Tsh. Milioni...
Wadau hamjamboni nyote?
Itamar ben gvir ni waziri wa usalama Israel na Kiongozi wa chama cha Otzma Yehudit
Anapinga makubaliano kusitisha vita na Hamas akidai Hamas watanufaika zaidi kwani magaidi 1,700 wataachiwa huru na hivyo kwenda kujipanga upya
Asema kuwa makubaliano haya yanafuta...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Japan zimetia Saini Hati za Mkataba wa Yen za Japan bilioni 22.742 sawa na takribani shilingi bilioni 354.45 za kitanzania kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Uendelezaji wa kilimo vijijini unaojulikana kama “Agriculture and Rural...
Habari wanajukwaa,
Nahitaji msaada wa kisheria kuhusu suala linalonihusu. Nilikuwa nafanya kazi sehemu fulani bila kuwa na mkataba wa maandishi. Hivi karibuni niliamua kuacha kazi, lakini meneja wa kampuni amenipa chaguo mbili:
Kulipa pesa ya mshahara wa mwezi mmoja.
Kufanya kazi kwa mwezi...
Hizi kazi zingekuwa za mkataba wa muda mfupi kama miaka mitano mitano zingepunguza gharama na kuongeza ufanisi sana.
1.Ubalozi
2.Mwanasheria mkuu
3.Wakurugenzi wa mashirika ya umma
4.Madaktari
5.Polisi
Yaaani Unatoa 3M,
Unaletewa 10k × 365 = 3,650,000
Faida kwa mwaka = 650,000
Faida kwa mwezi = 54,000.
Faida kwa siku = 1,800, 😂😂😂
Wagonjwa wa akili ni wengi..
Issue sio aina ya biashara tuu, japo bado ni ya kufikiria mara mbili, Maana inamaanisha Piga Ua, faida ya Mmiliki wa boda boda(1,800)...
Kiungo mkongwe Yannick Bangala amevunja mkataba na klabu ya Azam baada ya kupishana na kocha wake Rached Taoussi.
Bangala ambaye aliichezea Yanga misimu miwili kabla ya kutimkia Azam msimu uliopita tangu atimkie kwa matajiri hao wa Chamazi hajawa na rekodi nzuri kulinganisha na timu aliyotokea...
Kuna watu duniani utajiri watausikia Kwa wengine tu huwa nashindwa kuelewa akili zao unakuta mtu ananunua pikipiki 3.5M halafu anampa mjinga mmoja mnyoa kiduku amletee elfu 10 Kwa siku ambayo unakuta mwingine ndio akiletewa anaila na familia yake hivi hii ni akili gani yaani unajua Kuna watu...
Klabu ya Coastal Union imethibitisha kuvunja mkataba na aliyekuwa mlinda mlango wao, Ley Ngumbi Matamp ambaye alikuwa golikipa bora wa msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu uliopita kwa makubaliano ya pande zote mbili.
Taarifa ya leo Desemba 10, 2024 ya leo kupitia ukurasa rasmi wa klabu...
Kwenu wakubwa kwa mwajina Hamisi Ally
Elimu kidato cha sita (06)
Makazi: Dar,mabibo
Miaka:25
Kijiwe:kariakoo
Mwenye connection itakayoniwezesha kupata pikipiki ya mkataba
naomba tuwasiliane
0685176087
Maisha ni kupeana fursa
Pia kama kuna ajira yoyote nipo tayari kufanya
Ni rafiki yangu anasema Kuna mshikaji wake ametaka aende dodoma Kuna kazi ya ivi vi kampuni vya mikopo mshahara elfu 90
Hela ya kula per day ni elfu 3
Eneo la kulala lipo kwa degree holder iyo ni kazi au
Maana nauli ameambiwa atafute yeye yupo mwanza kazi ipo DODOMA
Ili tuweze kuishi harmoniously tunahitaji sisi kama Raia na Wananchi tuingie Mikataba na kuilinda..., Na moja ya Mikataba hio ni Ulinzi na Haki ya kila Raia popote pale aweze kuishi vizuri ili mradi havunji Sheria na hata akivunja tufuate taratibu tulizojiwekea kama Jamii. Na hio sio Hisani wala...
Naitwa bora Simon Joseph natafuta muwekezaji awekeze coaster yenye dhamani ya 50ml anipe mkataba wa miaka 3 yaan miez (36)nalipa 2.4 kila mwezi kwa mawasiliano na maelezo zaid 0764764214 napatikana dar es salaam
Taasisi za JamiiForums (JF) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) zimeingia Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) katika masuala anuai ikiwemo kuhakikisha uwepo wa Sera bora nchini; kuimarisha Haki za Kidijitali, Uwajibikaji, Utawala Bora, kuchochea Haki ya Utoaji na Upatikanaji wa Taarifa...
Wameyatimba,
Walimpa mkataba usiku usiku Moalin wa KMC na kuwa mkurugenzi wa ufundi, wakampa mkataba Said Ramo kuwakocha mkuu ,ndani ya muda mfupi Auasems au Uchebe anatimuliwa Singida Big Stars.
Waneanza mazungumzo nae,si ajabu mmoja wao akavunjiwa mkataba as soon as possible kumpisha uchebe
Wanaukumbi.
Yerusalemu
CNN
-
Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na kundi la wanamgambo wa Lebanon Hezbollah "uko karibu sana," chanzo cha kikanda kiliiambia CNN siku ya Jumapili, hata kama ongezeko la mashambulizi ya Israel lilishuhudia vifo vya Lebanon tangu katikati ya Septemba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.