HIli suala la Mkataba wa Loliondo halijaongelewa tu na wananchi au na wamasai tu, kuna tuhuma nyingi, zingine hatujui kama ni za kweli au za uongo. mara tuambiwe ukiwa pale Loliondo network ya simu ni ya uarabuni sio ya kibongo, mara tuambiwe kuna uwanja wa ndege kule madege huwa yanatua na...
Hata mimi nina threads kadhaa za kuuponda mkataba wa DP World na Tanzania kutokana na vipengere visivyo na manufaa kwa nchi yetu. Kimsingi kila mwananchi kwa sasa amekuwa bingwa wa mikataba na uwekezaji kutokana na maamuzi ya Rais Samia kufungua uhuru wa maoni ambao ulidhibitiwa na mtangulizi...
Mwendo wa kimyaaa kimya huku wakingoja watu wasahau tukisha sahau tutaiona bendera ya waarabu inapepea pale bandarini kimya kimya na hakuna hata gazeti litalo andika! tukianza kelele mwarabu anamuuzia MoU mchina,mpaka hapo Watanzania tutakuwa tumepotezwa mbaya,tukitaka kumpokonya...
Leo ikiwa ni Wiki ya Pili ya Tamko la Maaskofu kusomwa Makanisa yote ya Roman Catholic, nimevutiwa na Maneno aliyoyaongea Paroko mmoja kwenye Ibada " Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija...
Kwa mimi mtu niliyemwona anapiga chapuo ya uwekezaji wa bandari na hataki kabisa kusikia kwamba mkataba una shida ni mmoja tu. Naomba nimtaje then mtatusaidia kuwafahamu wengi kwa ajili ya kumbukumbu za wajukuu zetu na kwenu vijana kumbukumbu zenu na watoto wenu.
1. Dr. Tulia Ackson- huyu mkuu...
Kama kweli wewe ni mzalendo Kwanini una support mkataba wa DP world bila marekebisho?
Sababu je ni hipi hasa
1. Je, wataalamu wetu wanatudanganya?
2. Haujauelewa mkataba?
3. Umenufaika binafsi?
4. Unajali siasa kuliko nchi?
5. Haujali mkataba kwasababu kuna mikataba mingi?
Je, kwanini...
Sijui nitumie lugha gani ili wote muelewa. Kiufupi ni kwamba ukibinafisha wowote ule muendeshaji anapata faida kubwa zaidi ya mwenye Mali hasa tunapoongelea sekta nyeti kama bandari
Uwezekano wa mwenye mali kuambulia 10% ya makusanyo yote ni kawaida sana.. waendeshaji wengi ni wahuni...
Habari wana JamiiForums.
Rejea kichwa cha habari chahusika.
Lengo la kuandika uzi huu ni kutoa maoni yangu juu ya wanaopinga mkataba kati ya DPW na serikali yetu ya Tanzania.
Kwa maoni yangu, naona wale wanaopinga mkataba huu wanaeleweka zaidi kuliko wale wanaouunga mkono.
Wale wanaopinga...
Mgogoro unaozunguka mkataba kati ya DP World na Serikali ya Tanzania umezua hisia na mijadala katika jamii ya Kitanzania. Hili ni suala linalohitaji kushughulikiwa kwa umakini ili kuepuka athari za kudumu kwa taifa letu.
Kwa kuwa kuna maoni tofauti na hisia kutoka kwa wananchi, serikali, na...
Kuna hoja dhaifu kuwa kwa kuwa IGA katika mkataba wa bandari una matatizo, basi tuje tuwe macho kwenye maandalizi ya HGA ili yale madhaifu ya kwenye IGA yarekebishwe na HGA. Kwanza kwa faida ya baadhi yetu ni kwamba HGA (Host Government Agreement) ni makubaliano ya msingi kati ya mwekezaji wa...
Hii imeenda. Mpaka sasa viongozi wanaume ndiyo wanaupigia chapuo sana huu mkataba upitishwe, lakini hatujaona viongozi wanawake wakiupigia chapuo huu mkataba mbovu kuwahi kutokea toka nchi ipate uhuru.
Mama Getrude Mongela ameongea ukweli mchungu, kwamba hizo figisu za bandari ni matatizo ya...
Habari!
Hili suala la BANDARI ambalo limeleta amsha amsha takribani miezi 3 sasa. Watu wanalichukulia jambo hili kawaida. Wengine wanaamini huenda Rais Samia kahongwa pesa ili aupitishe haraka ule mkataba. Hapana.
Hajaongwa hata Senti. Hili suala ni spiritual manipulation (shinikizo la kiroho)...
Kijana Mzalendo Nkindikwa David amemvaa Katibu Mkuu wa CCM, Chongolo kushabikia Mkataba wa Bandari licha ya kupingwa kila kona ya nchi.
Niwaombe watanzania tuendelee kushikamana kutetea rasilimali zetu na kamwe tusikubali kugawanyishwa na mtu au kikundi cha watu kwa misingi ya dini, itikadi za...
Aisee mzee wetu katia aibu kubwa sana. Alichoongea hakina uhalisia wowote kwa sababu wanasiasa hawa hawa wanategemea sana kufanikisha mambo yao kupitia dini.
Yaani Edo Kumwembe amechambua vizuri sana sijajua nani alimwandalia ile hotuba huyu mzee kule Mara.
======
Edo Kumwembe: Wakati...
Naomba nichangie machache kuhusu Bandar / DP would . hoja zimekua nyingi na serikali haijaelimisha wachangiaji wengi maana halisi ya ukodishwaji wa bandari. Naomba nieleweke Bandari haiwezi kuuzwa kwa maana yoyote ile, inakodiswa kwa msimamiaji.
Bandari ni sehemu ya mipaka ya Inchi , huwezi...
Here is a list of the latest 20 cases versus DP World in international arbitration court:
1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) is currently hearing a case brought by DP World against Kenya. DP World is seeking damages for alleged...
Siyo siri,
Rais wetu mpendwa ameshughilishwa mno na hoja zetu mbalimbali kama wananchi juu ya huu mkataba ambao serikali ilisha usaini mwezi february 2022 na kuja kuridhiwa na Bunge 30 Juni 2023.
Siyo siri
Kuna wakati hoja zetu wananchi zinavuka mipaka hata kuutweza utu na wafhifa wa Rais...
Naangalia maoni ya wasomaji, na maneno ya rais, ufahamu ni tatizo. Kuna dalili za kushabikia maoni ya Askofu Shoo kama ahueni kufuatia Waraka wa Katoliki kumbe ni uzi ule ule! Katoliki hawakupinga Uwekezaji.
Tatizo ni Mkataba. Askofu Shoo anasema anaunga mkono Uwekezaji. Hajasema anaunga mkono...
Kwanza lazima tuelewe kwamba Mkataba siyo sera ya kisiasa ya cahama chochote. NI suala la kiuchumi. Hivyo kuujadili siyo siasa, ni mjadala wa kiuchumi.
Kama ni uchumi nani asiyefahamu kwamba Katoliki ni moja ya madhehebu yanayotoa mchango mkubwa kwenye sekta za kiuchumi, Afya na Elimu...
KWA NINI KUUPINGA MKATABA WA BANDARI INAITWA "UDINI" LAKINI KUUNGA MKONO SIO UDINI? MSIWE WAPUMBAVU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Wanasiasa moja ya mambo yanayowashushia heshima ni kigeugeu na unafiki wao. Wanasiasa wakisifiwa na viongozi wa dini hawasemi dini imeingizwa kwenye Siasa...