Na. John- Baptist Ngatunga
___________________________
Kwa kawaida, kila binadamu anayafanya makosa. Lakini yapo makosa mengine ambayo pamoja na ubinadamu wetu hatupaswi kuyafanya. Tunatakiwa kuwa makini sana kuyaepuka ili tusikutwe na lawama. Ndivyo ilivyo pia kwa Mwanamke aliyeolewa...
Kwanza nawaombe Mods msiufute huu uzi. Maana una umuhimu na mafunzo makubwa sana kwa sisi wanaume.
Baada ya kutoa angalizo hilo, basi niende moja kwa moja kwenye kuzijadili sasa hizo kanuni moja baada ya nyingine:-
1. Usipige picha ya aina yoyote ile na mwanamke unayechepuka naye.
2...
Kwa tamaduni zetu mwanamke anaefanywa na wanaume zaidi ya mmoja anatambulika kuwa ni mwanamke malaya.
Kijana unayekula mke wa mtu tambua kuwa unafanyana na mwanamke malaya, na malaya huyo usipokuwa makini atakuponza kwa tamaa zako.
Kijana kwanini ufanye mapenzi na malaya ambae anayaweka...
Anakwambia Mume wake hayupo vizuri kitandani sio?
Anakwambia Mume wake hana muda nae sio?
Anakwambia Mume wake hampi mapenzi kama yako sio?
Anakwambia anakupenda sana eeeh!
Utalia siku moja.
Hebu sema ukweli wako?
Swali kwa wote, hivi unaweza kuwa na urafiki wa karibu na mume wa mtu au mke wa mtu bila kuwanae kwenye mahusiano ya kimapenzi?
#nyumayapazia
Duuh, kuchapiwa inauma sana aisee, nipo kwenye mahusiano na dada mmoja ambaye ni mke wa mtu kwa zaidi ya mwaka sasa.
Nimekuwa nikimuhudumia vizuri tu yeye pamoja na mwanaye, kwani mume aliye naye ni mtu wa kusafiri hata miezi mitatu, bila kuacha matumizi, Wala hamjali huyo mtoto kwa sababu siyo...
Ilikuwa mwaka huu huu unaoishia na kama sijakosea ilikuwa mwezi wa sita. Kwenye page yangu ya facebook nikianza kuona pale kwenye messangers notifications za salamu za mwanamke fulani na wala nilikuwa sizitilii maanani. Kila nikiingia facebook tu, lazima nikute yeye kanitafuta kwa vijisalamu...
Nilianza mahusiano na dada fulani mwenye watoto wawili awali alinambia wameshatengana na mumewe na wanaishi nyumba moja kila mtu na chumba chake na kweli tulikua tukichat mpaka usiku wa manane.
Nimempenda Sana na yeye ameonyesha kunipenda lakini taratibu kadri tunavyoenda muda wa mawasiliano...
Kama ikitokea mke wa mtu anahitaji msaada, basi iwe kwa kiasi usijifanye unajali kupitiliza sio vizuri.
Sababu ni kuwa, binadamu tuna athiriwa sana na wema, ukimfanyia mtu wema ambao hajafanyiwa au hafanyiwi inaleta tashwishi moyoni.
Mfano:
Mfanyakazi mwenzako (mke wa mtu) anaumwa, itoshe...
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Swiga John Mwakalobo (35) ambaye ni Mfanyabiashara wa mgahawa pamoja na Mwanaume ambaye amefahamika kwa jina la Jacob Chang’a wote Wakazi wa Kata ya Mkwawa Wilaya na Mkoa wa Iringa wamekutwa wamefariki ndani katika mgahawa huku wakiwa watupu (bila nguo)...
Wakuu habari.
Wiki mbili nyuma katika pita pita zangu nilifanikiwa kukutana na mrembo wa kinyarwanda ambaye ni alikuwa jirani yangu zamani kidogo na pia ni mke wa mtu. Ambaye tulipiga story mbili tatu na mwishowe tukabadilishana namba!.
Badae kilichofatia tukakubaliana tuonane na...
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imemuhukumu kunyongwa hadi kufa Mwanaume aitwaye Mohamed Njali kwa kosa la kumbaka na kumuua kwa kumkaba Atika Chesco Kivanule (24) September 25, 2022 saa saba usiku wakati Mumewe akiwa kwenye banda la video kutazama pambano la ngumi la Mandonga vs Salim Abeid...
MKAZI wa Kijiji Cha Merya Tarafa ya Ilongero wilayani Singida, Innocent Dube (49), ameuawa kwa kuchomwa kisu mgongoni baada ya kukutwa akifanya ngono na mke wa mtu shambani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo wakati akizungumza na...
Habarini za weekend Watanganyika, mwaka Jana nilikutana na dada mmoja mmoja Wilayani Bunda ambaye mmewe ni mmiliki wa hiace zinazoenda bunda-kibara-kisorya. Baada ya kupeana mawasiliano tukaanza chats za hapa na pale. Baada ya kuwa tumezoeana sana akaanza kulalamika kwamba mmewe kapata chombo...
Huwaga naskia stori kwamba kwenye fumanizi ni heri upewe kichapo kizito sana kuliko uachwe uende kwa amani.
Kuna kisa ambacho kimetamba sana ila nadhani ni stori ya kijiweni tu nadhani wengi mtakua mmesikia, Hapa tumiwite mwenye mke anaitwa Michael, sasa kuna siku Michael alistukiza kurudi...
Wanawake chonde chonde tupunguzieni kesi na lawama, mko siriazi kweli?
Mke wa mtu analazimisha aje aangalie movie za karate na Judo ghetto kwangu hivi hii ni nini?
Maadili yameenda wapi heshima imeuzwa wapi.
Uchumi wa Dunia uyumbe na umakini pia wa kujiheshimu nao uyumbe.
Tafadhali tuyaepuke...
Ni hivi, week iliyopita nilikwenda Tabata kumtembelea brother wangu anaeishi huko na familia yake.
Tukiwa pale Tabata tumeketi mbele ya kibaraza kidogo kilichopo mbele ya nyumba ya brother wangu, ghafla nikaona jamaa mmoja na mwanamke ambae namfahamu ni mke wa mtu wanashuka haraka haraka na...
Mimi ilikuwa hivi,
Ilikuwa kama ajali tu. Mimi nilikuwa nasali nae kanisani mume wake engineer kuwepo nyumbani ngumu mtu wa kusafiri safiri kwa hiyo ili mke asiwe mpweke nilikuwa kama namsaidia maana mimi sio mchoyo akija anaendeleza 🤣🤣 akitoka namfanya mke wake asitoke kwa wengine ila Mimi tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.