mke wa mtu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Munguwetu

    Sijawahi kukutana na mke wa mtu mpumbavi kama huyu

    Kitendo cha kunipiga stori za madhaifu wa mumewe aliye na watoto naye tena wa kutosha walieishi naye miaka mingi. Alinisononesha kabisa . Na nilimuambie aamuombe radhi jamaa na atulie. Kibaya zaid alimsomesha yeye na kupata kazi aliyonayo. Wanawake waoneni hivi tu sio watu. Je mnadhani...
  2. willpower

    Tafakari: Miezi 9 ya mahusiano na mke wa mtu pasipo kujua

    Miaka kadhaa nyuma, asubuhi siku ya jumapili, niliamshwa kwa kelele zisizo za kawaida, watu kadhaa walikuwa wakigonga mlango, japo nilikuwa chumbani lakini ugongaji ule wa mlango haukuwa wa kawaida. Nikaamka na kukutana na watu wanne, mzee mmoja, vijana wawili wakiwa na askari. Swali lilikuwa...
  3. Vifaranga200

    Nilivyochuniana na mke wa mtu kisa nili underperform

    Nisikuchoshe. Huyu mwanamke nilitafuta kila njia kuachana naye. Alistukiwa na mumewe na akaniambia amestukiwa, hakujua anani alert, nikajisemea ni Muda sahihi kuachana na kukimbia mbio. Siku moja nilimpiga mambo, show ilikuwa chini ya kiwango, yaani Ile ilikuwa sshow ya kichovu. Baada game...
  4. sanalii

    Ni sahihi kumkopesha mke wa mtu hela?

    Yani usiku huu mtu anakutafuta kua umkopeshe, ukaribu uliopo sio sana, sasa ikitokea hajalipa au kusumbua namdai vipi? Kuna aliewahi fanya hivi?
  5. Mcanada

    Akatwa Mkono na Titi na Mumewe Akimtuhumu Kufuta Missed Call ya Mwanaume Mwingine.

    Maria Marwa aliyekatwa mapanga *** Maria Marwa (36) mkazi wa Kijiji cha Isango, wilayani Rorya mkoani Mara, amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa baada ya kujeruhiwa kwa mapanga na kukatwa mkono wa kushoto na titi la kushoto na mume wake kwa madai ya kukosekana kwa namba ya simu iliyopigwa...
  6. Mr George Francis

    Nimependwa na mke wa mtu lakini watu wananionea wivu

    Habari yako, Sorry leo nipo hapa katika jukwaa hili naomba ushauri kuhusiana na hili ninalolileta kwako muda huu. Naitwa Mr George Francis kwa jina maarufu. Kuna dada mmoja anaitwa Latipha niliwahi kusoma nae sekondari. Kipindi hicho tulikuwa na mahusiano lakini tulivyomaliza shule, mahusiano...
  7. Solar pro

    Huyu mke wa mtu ananisumbua sana Sijui nifanyaje ili niepuke mtego huu

    Kuna manzi Tumepanga nyumba moja lakini yeye ni mke wa mtu. Mume wake ana wake watatu Jamaa analala kwa zamu zamu kila mke wake anampitia mara mbili kwa wiki. Sasa huyu manzi ananizalimisha sana nimle Nyapu kila siku usiku ananitafuta anasema Aje gheto kwangu maana mimi sijaoa nimekataa sana...
  8. MimiNiMakini

    Kidini Kajala ni mke wa mtu, Harmonize atamuoaje?

    Baada ya Kajala Kuachana na Majani, aliamua akaolewe, bila kupoteza wakati alikamilisha hilo na akaolewa kwa Ndoa ya kanisani kabisa. Bwana Faraji Agustino ndio Mume halali wa Kajala. Alipopata kesi na Kajala then Kajala akafanikiwa kutoka Jela, Mme wake aliendelea kusota Jela huku Kajala...
  9. Mpwayungu Village

    Natembea na mke wa mtu, mume wake kanionya mara 3

    Hii hali inakoelekea najiona kabisa nipo ktk msongo wa mawazo maana huyu mwanamke nimeanza kutembea nae tangu mme wake alipoondoka akaenda South Afrika na huu ni mwaka wa tatu sasa. Huwa anakuja na kuondoka ila ajabu ni kuwa sijui mpuuzi gn kamwambia huyu jamaa kuwa huku mke wako mpwayungu...
  10. H

    Nimezaa na mke wa mtu watoto wawili na ana mimba ya tatu

    Wakuu asalaam Aleikum, Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu Asifiwe, nawasalamu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Nije kwenye mada mimi ni mwanaume ambaye kidogo nimeshavuta vuta umri kiasi (niko around 40+) nina mke na watoto watatu. Lengo la kuja hapa naomba tupeane ushauri. Binafsi nimezunguka...
  11. the numb 1

    Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

    Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako. Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na maumbile mwanamke ameshakaa geto na mchizi zaidi ya mwezi magetoni jamaa anajilia vyombo na nyumbani kwao...
  12. K

    Huyu mke wa mtu analika niendelea naye au nimkaushie tu?

    Nimeona kapost picha ya bwana yake, nikamuuliza ndio shemeji au?akajibu ndio, nami nikamwambia he looks smart, akanijibu smart kama wewe. Hii sentence ya kumfananisha mumewe na mimi nyie mnaitafsiri vipi wakuu?
  13. kyagata

    Jana nimedundwa kisa mke wa mtu

    Wakuu hapa niko hospital Jana nimepigwa vibaya mno. Nilienda grocery moja hivi nikamkuta mhudumu mmoja wa kike mzuri balaa, nikaanza kumtongoza kumbe pembeni jamaa aliyekua anapiga mvinyo ni bwana ake tena wa ndoa. Alivyooana namtongoza yule manzi akanionya me sikusikia, mara ya tatu coz I was...
  14. DR HAYA LAND

    Kwa yanayoendelea nimeamini Duniani hakuna mke wa Mtu

    Wakuu hapa Duniani hakuna cha mke wa mtu cha msingi ni kutafuta Pesa tu Anaamka 05:00 Am anaacha kachota ndoo kumi za maji kwa Ajili ya mke wake. Then Anaenda katika harakati za kuuza Vyombo vya kupikia na kurudi 07:00Pm Watoto anawatafutia chakula cha kushiba ila yote haya kashindwa kuyaona...
  15. Squidward

    Aoteshwa kwato za Ng'ombe na mkia baada ya kutuhumiwa kutembea na mke wa mtu

    Mtu mmoja raia wa zimbabwe, azua taharuki mjini baada ya kuonekana akiwa na kwato za ng'ombe na mkia baada ya kutuhumiwa kutembea na mke wa mtu. Wazee mke wa mtu ni sumu. Katika nchi zenye waganga wakali zimbabwe, Nigeria, Kenya, DRC, so usijaribu. VIDEO
  16. Debby the FEMINIST

    Liwale: Kijana anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya mke wa mtu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi linamtafuta Saidi Haji Ngamila (30) mkazi wa Kijiji cha Barikiwa Wilaya ya Liwale kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata na kitu chenye ncha kali na kutengenganisha kichwa na kiwiliwili na kisha kuchimba shimo na kumfukia Mwajuma Ally Lipala (49) Mkazi wa Kijiji cha...
  17. P

    Nilikuwa natembea na mke wa mtu, nilinusurika kufumaniwa nikaamua kumuacha na kutubu ila nafsi yangu haina amani

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikuwa nafanya hicho kitendo kuanzia mwaka juzi na mwaka jana, katika mazingira fulanifulani almanusra nifumaniwe na kufedheheka, Namshukuru Mungu alininusuru, ningepata fedheha ya milenia kwasababu mwenye nzigo ni mtu wangu wa karibu sana ni zaidi ya...
  18. Idugunde

    Lyatonga Mrema adaiwa kupora mke wa mtu

    Ina maaana Mrema na ushushu wake hakufanya due dilligence? Sasa mbona anadaiwa kupora mke wa mtu? 👇 Ndoa ya Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema imeibua utata na kusemekana kuwa ni batili kufuatia uwepo wa madai kuwa mwanamke aliyefunga nae ndoa, Doreen Kimbi...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    Video: Akojoa wadudu baada ya kutembea na mke wa mtu Kenya

    MK254 Hebu tumble huu uchawi wenu mmeupata wapi?
  20. nyboma

    Najuta kwa mara nyingine kuwa na mahusiano na mke wa mtu

    Ni mwanamke ambaye nilionana nae nilipoenda kutembelea maonesho ya biashara ya sabasaba mwaka jana, na hii ni baada ya kumaliza shughuli za ukaguzi katika banda letu nikaona si vibaya nipate kutembelea mabanda mengine kujionea biashara na ubunifu wa vijana wetu. Wakati nazunguka nilifika katika...
Back
Top Bottom