Habar zenu wanajukwaa
Kwasasa member wenu nipo kwenye kipindi kigumu sana nimenasa kwenye trap na siwez kutoka, huyu mke wa mtu mtarajiwa ananipa mawazo mengi kichwani nimejarib kila way but I failed nimekuja kwenu maybe mnaweza nipa msaada wa kuweza kushinda hili Janga.
Kabla sijaenda kwenye...