mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani

    Habari wana MMU. Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani. Nimesema sana naona haelewi, miezi sita kwenye ndoa lakini mambo mengi ambayo nilikuwa siyataki ameyaacha, swala la mavazi ndio limekuwa tatizo. Tukiwa chumbani anavaa uchi uchi mapaja yote njenje, Nimeshamuonya kuwa haya...
  2. Nyarupala

    Mke wangu anadai simridhishi kitandani

    Habarini? Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke" "Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu. Swali hili nimeliona ni zito mno kwangu...
  3. haszu

    Kila mke wangu akifanya madudu, namkumbuka Ex wangu alikua na akili nikamuacha maana hakua mzuri

    Huyu niliechagua kumuweka ndani bwana story anazoweza yeye ni za mapenzi, mapishi na na gossip kwa mbali. Mengine yote haelewi, unaweza hata kumtumia picha ya kawaida ya meme na asipate ujumbe uliokusudiwa. Nilipendea uzuri wa sura na umbo eeh ila department ya kichwani ni kama kuna shida...
  4. J

    Archraf Hakimi: Hii ndo sababu ya mimi kuhamishia mali zangu kwa mama yangu mzazi nilipoona dalili za kutopendwa na mke wangu wa zamani

    Mchezaji wa timu ya Morocco pamoja na PSG Hakimu aelezea sababu zilizo mpelekea kubadilisha jina lake kwenye urithi wa mali zake zote kwa mama yake mzazi na kusema Nilifunga ndoa na mke wangu wa zamani, Hiba Abouk kuanzia 2020 hadi 2023 Lakini niligundua kuwa alikuwa akitafuta pesa zangu miezi...
  5. Tajiri wa kusini

    Namuachaje kwa Amani? Nilimtoa kwenye ndoa ili anizalie sasa mke wangu kapata mtoto

    Namuachaje kwa amani, nilimtoa kwenye ndoa yake ili anizalie sasa mke wangu naye kapata mtoto sitaki tena kuchepuka! Niko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7. Katika kipindi chote hicho mimi na mke wangu tulikuwa hatujabarikiwa kupata mtoto. Tulikwenda hospitalini kupima, ikagundulika yeye ndiye...
  6. O

    Mke wangu kaenda kuolewa na pesa zangu

    . Wakuu nilikuwa naishi na huyu mke wangu, ilikuwa imetimia miaka 4 tayari, kwao walikuwa wananijua na kwetu wanamjua vizuri, alivyo maliza kulea mtoto mwaka juzi tukashauriana ajifunze masuala ya saluni Ili badaye nije nimfungulie duka la vipodozi na saluni hapo hapo Kwa maana Mimi ni fundi...
  7. T

    Nimemfumania mke wangu na mwanaume mwingine, nimemwambia arudi nyumbani amekataa. Nifanyeje?

    Nimemfumania MKE wangu na mwanaume mwingine, nimemsamehe lakini hataki kurudi! Mimi ni kijana wa miaka 40, nimeoa na ndoa yangu ina miaka 15 sasa. Wakati nakutana na huyu mke wangu, wote tulikuwa bado wadogo na ndiyo tumemaliza chuo. Ni mtu ambaye tumekua pamoja, na kila kitu kilikuwa vizuri...
  8. Friedrich Nietzsche

    Mke wangu ameanza kunizoea. Naona vimigogoro vimeanza

    Wakuu, Hapo nyuma mke wangu alikua hajanizoea ye mwenyewe amekiri kwamba alikua ananiogopa. Kwa upande wangu ilikua burudan ananiheshimu naongea mara moja ananisikia. Sasa miezi kadhaa naona amenizoea ananipanda kichwani. Tunabishana ukiongea kitu mnazozana. Baada kuona sina mambo mengi sasa...
  9. Utajua wewe

    Nikifa mke wangu asiolewe

    Salamu WanaJF! Kakitaka kitu kitaniuma humu duniani nikusikia mke wangu kaolewa Anatembea na nusu wa moyo wangu, kusema ukweli siwezi kuvumilia kuchukuliwa na mwanaume mwingine na kuanza kupigwa show. Hivyo basi nikifa asiguswe Everything remind of her, anytime anywhere
  10. Jack Daniel

    Kuna jambo linaniumiza toka kwa mke wangu, nimwambieje?

    Anauliza mdau wangu wa karibu ambaye tunaheshimiana na kushirikiana mambo mengi. Mimi na mke wangu tuna miaka mitatu tangu tuoane, Nampenda sana,na yeye ananipenda sana,sijawahi kushitukia usaliti toka kwake japo akiwa kama binadamu anaweza kufanya hata kwa siri ila binafsi sijawahi...
  11. O

    Msaada: Mke wangu mtarajiwa anawasiliana na ex wake, nifanyeje?

    Nifanye Nini Nataka Kumuoa Lakini Bado Anawasiliana Na X Wake? Ntamani kujua zaidi hasa kusikia kwa wanawake, mimi ni kijana wa miaka 32 sijaoa ila nina mpenzi wangu ambaye niko naye kwenye mahusiano kwa miaka minne sasa. Wakati nakutana na huyu Dada alikua ametoka kwenye ndoa yake, mwanaume...
  12. Kasomeko

    Vitendo hivi vya mke wangu ni kawaida

    Bila shaka mko powa wananzengo wenzangu!! Nawapa visa vya kweli vya mke wangu ambavyo siwezi kumpa mtu yeyote isipokua nyie coz hatujuani✍️✍️ Huu ni mwaka wa nane tangu tuanzishe uhusiano na ni mwaka wa sita tangu tuanze kuishi kama mama na baba . Sijawahi kuuona utupu wake (naomba uniamini)...
  13. Loading failed

    Naombeni hekima zenu; Natafuta mtoto na mke wangu hajafanikiwa kubeba ujauzito

    Ndugu wana Jf natumaini mko salama ndugu zangu. Ndugu zangu katika vipindi vilivyopita ijulikane nilikua natafuta mke na Mwenyezi Mungu amenijalia nimepata mke na nimeoa. Ndugu zangu mimi na huyu mke wangu tulikua tunatafuta mtoto katika siku zake tulizo amini ni siku za hatari ila cha ajabu...
  14. John kirua

    Msaada: Mke wangu anapata maumivu wakati wa tendo la ndoa

    Habari wakuu poleni na majukumu. Mke wangu ni muda sasa analalamika maumivu anasikia wakati wa tendo la ndoa kupelekea hata mimi sifurahi tendo lenyewe. Je, tatizo nini itakuwa?
  15. H

    Kuna vita vimeibuka kati ya mama yangu mzazi na mke wangu

    Msaada Kuna vita vimeibuka kati ya mama yangu mzazi na mke wangu!! Ninafanyaje ndg zangu, ninashindwa kumjadili mamangu kwa kumkosoa mbele ya mke wangu.!! NB: mama anaishi kwake na mimi naishi kwangu na mke wangu
  16. Makonde plateu

    Nimepigwa makofi na mke wangu

    Hii ndoa inaenda kunishimda kwa kweli Na sijui nifanyeje wakuu kwasababu ninawawaza watoto Wangu hiyo inanipa mawazo sijui nifanyeje sijui maana kila siku mimi ni wa kupigwa na mke wangu tu kila mara tu yaani hauipiti siku bila mimi kupigwa na mke wangu kosa sometimes silijui kwahiyo mie nabaki...
  17. O

    Hii wiki sasa inatimia mke wangu ananinyima tendo la ndoa!

    Hii wiki inatimia sasa mke wangu ananinyima tendo la ndoa na nikumuuliza sababu ananipiga na kuniongelea maneno makali as if mimi ni mtoto wake wa kumzaa sasa sijui nini kimemsibu mpaka najuta kwanini nimeoa hili kabila ni wababe wababe na majeuri sana aisee Kila nikirudi kwenye mishe mishe...
  18. Mwamuzi wa Tanzania

    Mke wangu ni mama wa nyumbani, darasa la 7 lakini ana maono, yuko smart na anaona mbali kuliko mimi

    Sijui niandike vipi aisee! Wanawake hakika wana upeo kutushinda wanaume, na kila atakayemsikiliza mke wake atafika mbali. Kuna jambo nilikusudia kufanya nikawa na pesa pungufu, nikataka nifanye kwa uchache wife akasema usifanye hivyo hebu tulia tunza fedha ulifanye hili jambo kwa ukubwa na kwa...
  19. KIBOD3

    Bosi anatembea na Mke wangu

    Kwa hili isiyo ya kawaida nimebaini Bosi wangu anatembea na mke wangu . Bosi amekuwa akinipa safari za kikazi mara kwa mara mikoani kumbe anaitumia hii nafasi kutembea na mke wangu.
  20. Inevitable

    Nabii Tito: Mimi nimezaliwa nikiwa Hanisi na Mke wangu ni Bikra

    Hivi, huyu jamaa ana agenda gani? Kwanini anaachwa?
Back
Top Bottom