mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    Huyu dada natumai atakuwa mke wangu peponi

    Tuna dada yetu mmoja, mtoto wa shangazi ambaye ni mkubwa sana kuliko mimi na hata amewahi kunilea udogoni kwangu. Huyu dada kwa kweli alikuwa ni mzuri sana na mwenye mapozi safi sana ya kimaumbile. Ikitokea kishindo mtaani wala hashtuki na kufazaika kiasi cha kupoteza muonekano wake. Akifurahi...
  2. B Prosper

    Siku niliyomwamini mke wangu

    Habari wana jukwaa. Hiki kisa kila nikikumbuka huwa nacheka sana lakini kimenifanya nimwamini sana mke wangu. Mnamo mwezi wa pili mwaka huu, ilikuwa siku ya ijumaa nikiwa nyumbani maeneo ya bustanini majira ya saa moja kasoro jioni, mke wangu alinifuata pale bustanini na kuniambia baba Prosper...
  3. haszu

    Mke wangu hawezi kutunza simu

    Mikono yake sijui inanini, simu nzuri baada ya muda kaiangusha, kioo kimepasuka. mara simu imeingia kwenye maji jikoni wakati, mara ameikanyage simu, ni taflani. Mi ninaweza kaa na simu mpaka niamua kubadilisha au nimpe ntu la yeye akimaliza nayo miezi sita ni kushukuru Mungu. Nampenda mke...
  4. Technophilic Pool

    Mke wangu kutwa kunipiga picha na kunipost mtandaoni nimejaribu kumkanya wap muda mwingine anachukua video mi bila kujua Nakuta tu mtandaoni??

    Wakuu habari Kichwa cha habar cha husika
  5. tpaul

    Mama mkwe anamhimiza mke wangu anichune; naomba ushauri

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, ningeshamuoa tangu zamani ila kuna vikwazo vilikuwa vinazuia tusioane ikiwemo masomo na kupangilia...
  6. AnyWayZ

    ONYO: Usicheze na Mke wangu

    Hii ni kwa Waramba lips, majobless, watoto wa Mama na wazembe wote😕
  7. Maleven

    Mke wangu anajiona mzuri sana halafu kumbe wa kawaida

    Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza. Ipo siku nitampatia huu ujumbe live ajue kua na aache kuniletea maringo
  8. M

    Nimepoteza marafiki kisa mke wangu!

    Matumaini yangu mlio wengi humu ndani mlikua na weekend njema. Ni miaka sita sasa tangu nimeoa na nimebarikiwa kua na watoto wawili. Kabla sijaoa nilikua nna marafiki wengi na bahati nzuri rafiki hao angalau wanajiweza wao wenyewe na familia zao. Namshukuru sana Mungu kwa ajili yao kwa sababu...
  9. VINICIOUS JR

    Huwa unajisikije pale unapokuta na mwana ambaye kaoa, muda wote stori zake kidogo tu anataja mke wake?

    Bila shaka mko poa kabisaa. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, uwa naona kinyaa sana pale nakutana na mwana flani unategemea mnapiga stori zenu binafsi au tudiscuss mambo ya maana au kupeana idea nzuri za maisha yeye kidogo tu mke wangu. Hivi huu uwa ni ulimbukeni au ni kitu gani...
  10. N

    Mke wangu kanipa wakati mgumu

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia yake kwangu aliyonionesha kwa miaka hiyo tuliyoishi, niliona si kawaida. Mbaya zaidi hizo msg...
  11. chibuOG

    Nilifuma SMS za mapenzi kwenye simu ya mke siku yetu ya ndoa, bado nikamuoa lakini sasa nahisi kuchanganyikiwa sielewi nifanyeje?

    Kwema Wadau? Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu pia.Sababu ya ndoa zote kutodumu ilikuwa kutopata Mimba kiasi kwamba akasema hawezi kuolewa tena...
  12. Mjukuu wa Magika

    Nataka kuachana na mke tuliyezaa naye watoto watatu. Amenishinda tabia!

    Wana jamvi, Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika. Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho chote nimejitahidi kuwa mwaminifu na kuhudumia familia vizuri. Sasa vituko vya huyu mwanamke anagawa...
  13. Bodhichitta

    Namna nilivompata mke wangu wa ndoa

    Habari zenu members, Leo nimetumia muda mrefu saana kuongea na kucheka na mke wangu(huaga nafanyaga hivo siku moja moja) maana huyu mwanamke hana utofauti na wanawake wengine kwahiyo naishi nae kwa akili saana. Hivyo baada ya furaha ya muda ikabidi akili inikumbushe namna nilivompata huyu...
  14. Technophilic Pool

    Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

    Aisee hawa wanawake ni hatari. Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats. Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina...
  15. Sumbi Sanchez

    Mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo. Nifanyeje?

    Naomba nisipoteze muda wenu. Kichwa cha habari kinajieleza. Naishi na mke wangu na watoto wetu wadogo wawili. Nilikuwa safarini kikazi kwa muda wa wiki mbili. Nimerudi nyumbani nimekuta mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo mkubwa na wa kuvutia mno. Msichana huyu anaonekana...
  16. Tajiri wa kusini

    Nimepigwa na kufungiwa ndani ya nyumba na mke wangu

    Wakuu samahanini kwa mada zangu za kuhusu mapenzi aisee ila kusema za ukweli mapenzi yananiumiza sana hivi wanaume wenzangu mnafanyeje ili kukabiliana na hali hii? Sasa leo wakuu nimepigwa na kufungiwa ndani na mke wangu aisee, kisa cha kunipiga ni kumuuliza kwanini unachelewa kuamka na kwanini...
  17. Makonde plateu

    Nimemfuma mke wangu akiliwa uroda daaah! Nimemuomba msamaha na yeye ameniomba msamaha tumesameana

    Ila shida nimemzoea nikimuacha nitampata wapi mwingine? Na ukiangalia mie mwenyewe ni domo zege huku mwanamke nimemoata kibahati nilikutana nae pale mbagala rangi tatu nyuma ya stendi ya magari ya kusini pale akijiuza na nilimchana akanirlewa sana Mwanzoni alionekana kubadilika sana hakutaka...
  18. Tajiri wa kusini

    Baada ya kumuacha mke wangu amelia sana, naanza kumuonea huruma, nifanyeje?

    Wakuu naanza kumuonea huruma huyu mke wangu baada ya kumpiga chini sasa amenza kulia na kusaga meno yaani napata na huruma aisee na mimi naanza kulia na kusaga meno nakumbuka zile moment lakini moment nyingi zilikuwa za mimi kupigwa,kuchambwa na kutukanwa aiseee lakini sio kesi Wakuu nifanyeje?
  19. O

    Naombeni ushauri wakuu, mke wangu amezaa na mwanaume mwingine

    kaka habari yako pole na majukumu,nakuomba uni postie hili Jambo linanisumbua Sana naomba nipate ushauri wa watu wengi moyo wangu upone lkn naomba unifichie jina langu.. Kaka sasa liko ihvi, mimi nimeoa mwaka 2014 mpaka sasa Niko na watoto wa3 watoto wangu nawashughulikia kama Baba vizuri...
  20. Technophilic Pool

    Nakasirika kila mara mke wangu ananiambia ananipenda. Kuna haja gani sasa?

    Mke wangu kila dakika ananiambia ananipenda mpaka nakasirika. Wataalamu kuna haja gani ya kila mara kumwambia mtu haya maneno. Mbaya zaidi ananilazimisha na mimi kila mara nimwambie maneno haya haya! Aisee sijawai kuwa kwenye mapenzi yenye usumbufu kama haya.
Back
Top Bottom