mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Mke wangu amesema amenichoka, amechoka na anaomba nimpe nauli aende kwao

    Niaje wana gwan? Aisee maisha ya ndoa ni kichefu chefu aisee na yanakera na kuchukiza kabisa aiseee ni very streful kabisa wakuu usikubali ushauriwe kuhusu mahusiano au ndoa maana ni kichefu chefu kabisa Leo asubuhi mke wangu amenitamkia amenichoka, amechoka na anataka kurudi kwao na amesema...
  2. uzewela

    Mke wangu ataja jina la mwanaume mwingine wakati wa tendo la ndoa

    Tumefunga ndoa 2019 kwa sasa tunaishi mikoa tofauti sababu za kikazi juzi nimepata nafasi ya kuwatembelea mkoa aliopo nimeshiriki nae vizuri tu toka juzi. Jana usiku wakati wa kushiriki wakati naoeleka moto si akaropoka jina la mwanaume mwingine! Daah alinikata stimu hadi nikashindwa...
  3. Teslarati

    Huu mchepuko siuachi hata mke wangu afanye nini

    Nimeona niweke bango kabisa na nikimaliza kuandika huu uzi namtumia link mke wangu kipenzi asome na ikiwezekana a-screenshot ili aache kunisumbua akikuta ninachat kwa furaha na huyu mchepuko (second lady). Iko hivi, nampenda sana mke wangu na anajua hilo ila ana yeye ana chembechembe za...
  4. Maleven

    Mke wangu ananiletea Usuperstar

    Nilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwakuwa hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yaani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara. Nilipendwezwa na kuwa nibwatu wa kanisani na pia ni kiri kua huyu...
  5. Memtata

    Nimegundua na kujihakikishia asilimia mia moja kuwa mke wangu anajichua!

    Habari wakuu! It has been looong time sijatupia visa vyangu so siwezi kumbuka niliongea lini kuhusu hili ila nakumbuka ni humu humu JF nilipost kuhusu kuwa namashaka na mke wangu kuhusu tabia ya kujichua. Mada ilikuwa inahusu mke wangu hapendi kufanya mapenzi, let me dig in nitaweka link hapa...
  6. Termux

    Mke wangu ameenda hedhi kwa siku tisa. Je, ni shida?

    Habari JF, Mwezi huu nmekutana na changamoto kuhusu mke wangu maana mpaka sasa sijajua ana shida gani
  7. O

    Nimemchoka mke wangu natafuta jinsi ya kumpiga chini

    Aisee hii mindset ya kusema kabila fulani ni mzuri halafu kabila lingine ni mbaya ni kitu kubaya sana aisee asikuambie mtu wakuu na unatakiwa kuindoa hiyo mindaet kabisa Miezi kadhaa nilimchumbia binti mmoja wa kabila la kanda ya ziwa mkoa wa simiyu yeye ni Mkristo (Msabato) mie ni ni mlokole...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Nitagawana Mali 50/50 na Mke wangu

    NITAGAWANA MALI 50/50 NA MKE WANGU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mali hazikuwa na kamwe hazitakuwa kipaombele changu. Sio mimi tuu bali Watibeli wote. Ikiwa ni mke wangu. Ambaye naye ni Mtibeli. Na ambaye kwake mali sio kipaombele. Ikiwa itatokea Mimi na mke wangu tukaachana basi...
  9. Adolph Jr

    Mke wangu anaishi maisha ya ki-tamthilia, yananitesa haswa

    Ni muda tena napokea taarifa kutoka kwa familia hii ya rafiki yangu kuhusu mkewe ila nimeshindwa kumshauri hebu, tusaidiane pamoja wana JF.... Mke wangu nimeshindwa kumuelewa yaani maisha yake kama vile yananitatiza nikimueleza anasema ni wajibu wangu iko hivi... Nimejiwekea utaratibu kila...
  10. M

    Mke wangu sitaki amiliki simu janja kamwe

    Salamu Katika matumizi yangu ya mitandao nimebaini kwamba wanawake wanatongozwa sana inbox na mitongozo yote wanaikubali asilimia 98 Kifupi tu mitongozo ya online inavutia sana maana inahusisha kuambatanisha vitu vingi eg,nyimbo,zawad,video nk Mwanamke hata awe na sura ya peponi uraiani na...
  11. H

    Nimeamua Kumshtaki Mahakamani Mke Wangu Siku 5 Baada ya Harusi

    Habari za zenu wana MMU, Leo asubuhi nilileta bandiko, kwa mke wangu alinidanganya yeye ni bikra, lakini baada ya ndoa nilikuta hana bikra ni shimo lenye dilatation ya 4cm yani kama ni mjamzito aliyeko kwenye labor unafungua partograph kabisa! Nimeamua jumatatu ya wiki ijayo naende kumfungulia...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Mwanamke hawezi kukutii kama hakupendi hata uwe tajiri namba moja Duniani

    Kwema Wakuu! Bado nipo natoa mafunzo Kwa ninyi vijana wa Forex, Watoto wa kubet ambao Maisha yanawachanganya. Vijana tatuteni Pesa kwaajili ya Wanawake wanaowapenda ili wawaheshimu na kuwatii. Elewa kuwa Pesa haimfanyi Mwanamke akutii (akupende) isipokuwa Pesa inachochea furaha ya mwanamke Kwa...
  13. Choosen85

    Je, mke wangu ana tabia ya kujichua?

    Wakuu mko salama? Jamani mimi nina mke, tatizo ambalo nimelileta kwenu ni kwamba mke wangu toka siku ya kwanza kufanya naye mapenzi basi ili afike kileleni ni lazima wakati tukiwa kwenye tendo niwe nimempa nafasi awe anajisugua kisimi na kufatisha kasi ninayokwenda nayo. Akikaribia kumwaga...
  14. Requal

    Nimeshangazwa na Sms za mpenzi wangu ambae nilitegemea awe mke wangu. Inavyoonekana atakuwa anajihusisha na madawa ya kulevya

    Mtu ambae niko nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 4, nikiwa na mipango ya kuoana nae. Leo nimejikuta nashindwa kumuelewa, Hapa chini ni baadhi ya text nilizochati nae kabla ya kumpigia simu kujiridhisha ni yeye kweli Tukaendelea Baada ya hizi text nikaona isiwe tabu nikampigia simu, the...
  15. Mr Why

    Nashukuru baada ya mke wangu kuondoka, pesa inaonekana mfukoni

    Kwakweli nina furaha kubwa sana isiyofaa kuelezea. Kabla ya kuoa maisha yangu yalikuwa mazuri sana pesa inaonekana mfukoni. Baada ya kuoa mambo yakabadilika sana mke akaja pesa zangu zikaanza kupukutika kwasababu ya matumizi, hali ile ikanitesa sana nikaona umasikini huu umeshaingia kwangu...
  16. Mwasapile

    Simuelewi mke wangu: Anaweka nywele zake kwenye pochi anayohifadhia pesa

    Mke wangu anachukua nywele zake anaweka kwenye pochi ambayo huwa anahifadhia pesa. Nikimuuliza, anadai kuwa zile nywele anazonyoa/akichana zikikatika hapendi kutupa kwenye dustbin, ndio maana anazihifadhi kwenye hiyo pochi yake na baadae huzitupa. Hii ina maana gani kitaalamu, hamna mchezo...
  17. Mdigokhan

    Mke wangu ana gubu sana

    Kama kichwa cha khabari hapo Juu Kinavosema, nimeoa nina mke na mtoto mmoja Ila hii ndoa nahisi Kuanza kuishindwa kwasababu ya GUBU la mke wangu. Nimejaribu kuongea nae mara kadhaa ila sio muelewa hata kidogo. Nishaongea nae kwa nyakati mbalimbali ila haelewi, ana kauli tata sana zenye kunitia...
  18. Mwachiluwi

    Mume wa dada anataka nioe nikakae na mke nyumbani kwao Arusha na mke wangu

    Helloww Naomba ushauri mume wa dada kaniambia nioe nikioa nikakae na mkeo nyumban kwake uko arista kuhusu kula kila kitu atashughulikia yeye je nioe au nikatae
  19. Surya

    Uko wapi mke wangu mtarajiwa? Nimechoka kutangatanga

    Binafsi nilijitahidi sana kuwa kijana mtulivu na nisietaka makuu.. Lakini nilipofikisha umri wa miaka 18 nikasema liwalo na liwe sasa nimekuwa natakiwa nianze mahusiano ya kimapenzi. Nitafute mwanamke wa kubenjuana nae. Nimepita sehemu na kila sehemu imeniacha na funzo kubwa sana. Sitaki kuwa...
  20. M

    NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma

    Habari, Ngoja nianzia mbali kidogo mpate kuelewa mke wangu ni mtu wa aina gani. Na ilikuwaje mpaka nikazaa nje. Mimi na mke wangu tulikutana kwenye kongamano la injiri kipindi namaliza chuo yeye alikuwa anasoma chuo kingine tofauti na chetu. Ni mtu mpole sana niseme ukweli, na anavaa mavazi ya...
Back
Top Bottom