Wandugu habari zenu, napitia wakati mgumu kimaisha na mke WANGU kwakweli nimeishi nae miaka 17 bila shida yeyote lakini hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana. Wiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda...
Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.
Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.
Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta...
Nilimkuta mke wangu ni bikra kabisa yaani hymen iko slide kabisa kwahiyo mimi ndiyo nilikuwa mtu wa mwanzo kumtoa hiyo bikra ila na bado wahuni wimechapa bila hata ya kupindisha kabisa ila masela ni michosho sana.
Labda sijui ni laana ya kuhasi uparoko wala hata sijui kuna moment katika maisha...
Mke wangu amechapwa na mzoa taka ama hakika nimeumia sana ila siwezi kumuacha huyu mke wangu kwa sababu namoenda sana ila ameniomba msamaha Amelia sana mpaka nimemuonea huruma sana mpaka na mimi nikaamua kulia nae
Mimi nafanya kazi ya kuendesha magari makubwa ya kwenda Congo kupeleka mizigo...
Pamoja na kuwa katika dunia ya sasa imekuwa vigumu saana kumpata mwanamke au mwanaume ambaye anatambua nafasi yake vizuri, yaani kama ni mwanamke anajua mwanaume na mwanamke hawako sawa, kama walivyo kuwa mama zetu wa zamani.
Lakini kuna mwanamke nimempata nilimtongoza kwa nia ya kutaka kula...
Wazee hakuna binadamu amezaliwa na roho mbaya tunafundishana nimeamini.
Leo ndoa haikaliki kisa tu msaada na huruma yangu iliniponza, kiukweli nilimla siku 1 ila sasa anaharibu nyumbani. Hela yangu ameshanilipa sasa balaa ni hapo anasema nilimhonga na anatamba kwa mke wangu yeye ni mke mwenza...
Habari Wana Jf niende moja kwa moja kwenye point, ni kwamba Mimi na mke wangu tulifunga ndoa miaka sita iliyopita na wakati huo tulikutana mkoani Ruvuma yeye akiwa mwajiriwa wa kampuni flani na Mimi wakati huo nilikuwa nafanya kazi na shirika flani.
Baada ya mahusiano kama ya Mwaka mmoja...
Wakulungwa! Hii Ndio itakuwa Salam yangu rasmi.
Wakulungwa!!!...
Wakulu. Mimi Nina familia imebarikiwa niseme ukweli wa wazi.
Na mabarikio yanatokana na kujituma na kutii wakubwa na wadogo.
Kimsingi hata mtoto wangu wa miaka 2 namheshim na nikimkosea au ninapohisi amekosewa nikiwa around. Na...
Ni kawaida yangu kurudi nyumbani kuanzia saa 3:30 usiku, ila leo nimelazimika kuwahi kurudi nyumbani (saa 1:00 jioni) kutokana na sababu zangu binafasi.
Kwakweli ni siku nyingi sijaangalia taarifa ya habari, hivyo ilipofika saa 2 usiku kwakuwa nimewahi kurudi nyumbani na sijagusa ulabu...
Kabla sijaanza, tafadhali nawaomba sana moderators msiuhamishie huu uzi kwenye ule uzi wa member anaechepuka na mke wangu, nawaomba sana kwani nataka kuweka kumbukumbu sawa kwa watu wote humu.
Kuna member humu ndani ameanzisha uzi juu ya kuchepuka na mke wa mtu, na pia akatoa ushauri kwa...
Nimegundua kuna member humu ndani anatembea na mke wangu kutokana na uzi aliouandika humu.
Uzi wenyewe ni huu Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza
Member alieandika huu uzi anatembea na mke wangu, na mke wangu amemdanganya vitu vingi sana...
Habari za jioni wanajukwaa wa MMU, ikiwa mmetoka katika mihangaiko akili na mwili vimechoka nawaletea jambo jingine hili tupate kulijadili.
Mimi na mke wangu ni waajiliwa yeye ni mtumishi wa umma na mimi ni mtumishi wa sekta binafsi, ndoa yetu ina miaka mitatu sasa na tuna mtoto mmoja (asante...
Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano.
Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure...
Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike, sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu. Sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kujitambua.
Kinachoniuma ni kuona watoto...
Wakuu,
Kweli nimeamini hawa viumbe ni nyoka aisee, nimekoma kuoa hawa watu watu kutoka kanda ile ya Kaskazini, hawa wanawake siyo poa kabisa najuta kabisa, dah!
Huyu mwanamke anajikuta ni 'feminist' sana, jeuri, kiburi na dharau juu, sijui kwanini ananifanyia hivi, sijui anajua nampenda sana...
Good morning!
Huyu mwanamke nampenda sana na wala mpaka sasa sijaamini kwanini yupo na mimi aisee, jinsi mimi nikijiangalia wala hata siamini kabisa japo mimi naishi Marekani na ako pesa za kubadilishia mboga lakini siamini kabisa.
Mke wangu Adelina Kimambo kwanza ametokea familia ya kitajiri...
Hii ni story ya kweli nilisimuliwa na jamaa yangu nami naileta kwenu kama funzo.
Ilikuwa mwaka 2004 ujenzi wa barabara ya Shinyanga-Mwanza umepamba moto chini ya Grinaker LTA nami nikiwa mmojawapo kati ya wafanyakazi wa kampuni hiyo. Kazi yangu ilikuwa ni kugawa mafuta kwenye magari na mashine...
Miaka kadhaa iliyopita nikiwa maeneo ya Namanga Makangira nikiwa njiani kuelekea kanisa la St Peter pale, nilipofika karibu na shule ya msingi Mbuyuni Kuna gari moja ilitokea Mwenge, karibu na Mbuyuni palikuwa na kijishimo uchwara yule bwana aliendesha gari Kwa kasi na kunimwagia Yale maji(kama...
Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha.
Sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta condom ya kiume aina ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.