Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, yaani nikipata mshahara tu gafla namuona wife anataka kugeuka kuwa ngedere, yaani anabadilika kabisa huwezi amin. Yaani nataman hata kumpeleka Hifadhi ya Mikumi.
Kwanza masikio yake nayaona yanataka kuwa marefu kama ngedere, manyoya ya mgongo...
Natumai u mzima wa afya mke wangu, mimi naendelea vizuri sema niombee sana ukipata muda, haijawahi pita siku sijakuombea, hivi uko wapi?, unafanya nini?, tutaonana lini?, itakuwa wapi?,,mke wangu roho inaniuma kila nikiwaza kuwa kuna uwezekano mkubwa upo namwanaume saizi, mke wangu napata wivu...
Habari za Leo
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35 nimeoa na kubahatika kupata watoto wawili.
Nimeoa takribani miaka 6 iliyopita na mke wangu nilimtoa kijijini kutokana na hali yangu ya uchumi haikua sawa.
Changamoto iliyofanya kuandika huu uzi ni kwamba mke wangu habadiliki kabisa, ule...
Wakuu naomba ushauri.
Mimi ni mkazi wa Morogoro ninaishi kwenye nyumba yangu niliyotafuta pamoja na mke wangu. Baada ya wahitimu kumaliza chuo mwaka huu mke wangu aliniomba mdogo wake aje kuishi nasi pamoja.
Sasa baada ya kipindi kupita mke wangu ameonesha ukaribu sana na mdogo wake ikafika...
Aisee, ilikuwa ndio mwisho wangu wa kuchepuka na kuingia nyumba za wageni kufanya zinaa. Na haitakaa ijurudie tena.
Mwaka 2018 nilipata demu mmoja matata sana. Enzi hizo nilikuwa napenda sana toto na sikuwa najali kitu, pesa iliongea na ikanipa kiburi.
Huyu mrembo alikuwa ni afisa mikopo...
Mwandani wangu amesema endapo akisikia tu ninamchepuko ataniua tena nikiwa usingizini, anasema hata niuliza atachunguza kisiri siri then akiwa na ushahidi ataniua.
Kwamba ni bora asinione kabisa, nimemuuliza kuhusu yeye kufungwa jela anasema hio hajali kikubwa asinione. Nimemwambia akisikia...
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema kwa kutuamsha wote tukiwa SALAMA saliminin,lakini pia hata Kwa wale wenye changa moto afya Tumwombe Mungu wetu sote awaponye na kuwarejeshea afya njema.
Nitakuwa kiumbe cha ajabu nisipo mshukuru Mungu kwa AJILI ya walio twaliwa maana nayo...
Moja Kwa Moja Kwenye Mada
Hapa Sioni Ubaya Kuishi Na Ndugu Bali Nazungumuzia Ukiwa Na Ndugu Unaishi Nao Nyumbani Saa Nyingine Unakoswa Uhuru Wa Kujiachia Moja Kwa Moja.
Kwaupande Wangu Naona Vizuri Ni Kuishi Na Familia Yako Pekeako Bila Mchanganyiko Wa Ndugu Wengine Kwasababu Naona Hata Mambo...
Nilipatwa na mkasa wakuondolewa kazini kwa vyeti feki, uzuri nilikuwa na kijiakiba changu, nikaingia kwenye sekta ya ajira isiyo rasmi. Nikanunua kirikuu na nikawa nalaza hadi elfu themanini kwa siku.
Mwezi uliopita gari imepata ajali, nahangaika kuirudisha rodi, ila mke wangu kawa mkali, hamna...
Nina muda mrefu sijaonekana jamvini, majukumu ni mengi sana. Kwa sasa mimi ni baba Gebbie, nastahili pongezi. Jumapili iliyopita baada ya ibada nilikuwa nasikiliza earphone.
Mke wangu alinifanyia hujuma, kati kati ya waumini wengine alichomoa waya kwa siri na hivyo kufanya wengine wasikie wimbo...
Hi!
Sasa wanaume tumebaki wachache. Hivi kuna ulazima gani mwanaume kufanya au kuishi kwa mitindo ya kike?
Mwanaume anasuka
Mwanaume anavaa hereni
Mwanaume anavaa suruali kama tight ya mwanamke
Mwanaume anavaa pensi fupi .
Mimi sasa nimepanga kumtongoza kijana wa kiume anayesuka au anayevaa...
Wakati una kipato chako heshima na utii huwa unaonekana, ukipoteza kipato ndio utajua mkeo ni gaidi kwa kiasi gani.
Inauma sana mke kukuona si lolote wala si chochote kisa tu huna mpunga.
Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.
Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.
Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.
Sasa...
Niliamua kuishi na mke wangu kwetu. Lakini mama yangu amekuwa changamoto kwa mke wangu.
Tumeamua kuhama tumepanga bado anampigia mke wangu usiku na matusi juu. Lawama zilizidi kati ya ndugu kuja kwa mke wangu, mwisho mke wangu akawa hana amani. Tukaamua tuhame sasa mama muda wote anamjazia sms...
Kwa kweli Kati ya watoto wadadisi mwanangu huyu wa kiume 9 yrs naye yumo, mama yake ni mjamzito sasa akamuona na kamuuliza mama yake "wewe mama unatematema mate, mama yake akamjibu fanya mambo yako, ilibidi nicheke kimomoyo halafu nikamnong'oneza maneno.
Mtunzi: Iddi Makengo
BABA JOAN; MIMI NA MWANANGU JUU YA KABURI LA MKE WANGU!—SEHEMU YA KWANZA
“Baba kwani na Mimi ni mchawi kama Mama?” Joan aliniuliza tena, wakati huo tulikua tunaweka mchanga juu ya jeneza la mke wangu.
“Hapana mwanangu, wewe si mchawi, hata Mama yako hakuwa mchawi.”...
Ilikua ni siku tulivu tu Kama siku nyingine, basi shetani nae alikua kazini Kama kawaida yake.
Kifupi mke wangu huyu hana tabia kabisa ya kushika simu yangu hadi majuzi alipo ingiwa na tamaa za kutaka kujua Kama yaliyomo yamo.
Basi ni siku moja nyuma yake nilikua nimefanya muamala wa pesa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.