Naomba msaada juu ya hii risiti. Nimekuita kwenye mkoba wa mke wangu nimeumiza kichwa ila bado sijapata jibu sahihi naona tu TRA na hiyo Sheri na mke wangu hana usafiri wowote naomba mnifumbue macho.
Nakumbuka mwaka Jana February niliwai leta kisa humu Cha kumchapa makofi mchepuko wangu.
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/38182399
Ebana eeh, Yule mchepuko mwezi machi katikati tulikuja rudiana bhana, Mazingira ya kurudiana ilkua baada ya mwezi hivi wa ukimya baina yetu Udhaifu wangu...
Back then na uhuni wangu full kubadirisha mboga Kuna huyo mdada nilimchukulia poa saaana yani japo yeye alitokea kunipenda na kujitunza kwa ajiri yangu kwa maelezo yake.
Basi nilikua Sina hata idea ya kuja kumla ila nilitongoza tu bahati mbaya akanikubalia muhuni wa watu mtoto wa baba mchungaji...
Habari ndugu zangu mimi kwakweli nakrekwa na tabia ya mke WANGU.
Yaani mke wangu ni mchoyo na ananifanyia uchoyo Hadi Mimi mtafutaji. Muda wa kula anataka kila mtu ale kivyake kama mboga ni nyama basi kwenye sahani atajiwekea finyango 3 au 4 mimi na watoto anatuwekea moja moja.
Nikimwambia...
Mfano anakitabia cha kupika na kula kivyake, nikirudi toka mihangaikoni yeye anapakua na kubwaga mezani na kudai hali ameshiba yani nile mwenyewe.
Ukimwambia sogea japo unisindikize kidogo msimamo wake unakuwa ule ule 'sili sijisikii'
Wakuu nifanyeje? Nimeshasema sana kuhusu tabia hii lakini...
Ndugu zanguni wa JF baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na hulka yangu hi.
Nimeka na mke wangu sasa takribani miaka 11 baada ya ndoa ya kwanza kushindikana, huyu mke wangu nyumbani huniita hny jina ambalo na lichukulia kuwa la utani na upendo na c mind sana na mimi humiita my...
Tuna miaka 10 ya ndoa na watoto 3 sasa.
Naijua vyema radha ya papuchi yake, navyosema naijua ni kwamba naijua kweli. Mwaka juzi nilihamishiwa mkoani kikazi nikamuacha Dar. Baada ya miezi 3 nirudi home kiukweli radha imekuwa tofauti sana. Tabia haijabadilika na nimemwambia kuwa nahisi unachepuka...
Leo ngoja nikusifie mtoto wa kipare, tulianza mahusiano nikiwa chuo mwaka wa mwisho nikiwa chembamba cheusi sivutii nani angenitamani kipindi kile mtoto wa watu kigori cheupe kifupi kinene nilipokutongoza ukanikubalia thax mama be blessed my dear.
Nikapata kazi baada ya chuo tukawa pamoja...
Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESKTOP...
Ukiskia ndoa ndoano sasa nimeanza kuiona
mke wangu huyu ni mpya kabisa ndoa haina mda, mimi ninafanyia kazi mkoa mwingime tofaut na tulipokua tunaishi sasa nilimtumia nauli aje huku jana tu ndio nimempokea stendi tena usiku
sasa cha kushangaza leo nimetoka kazini sijamkuta mpaka sasaivi saa...
Habari wana JF
Mimi ndugu yenu nina makubwa ambayo yamenifika na sijui nitayatatua vipi?
Nina mke wangu nilimuoa mwaka 2015, baada ya kuishi nae miaka kama 7 sasa kuna siku juzi nipo kazini nikapokea simu kutoka kwa mdada wa kazi pale nyumbani akinitaka nirudi haraka nyumbani, bila kusita...
Ndugu zangu habiri nyingi sana hamjambo?
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
Kiukweli nampenda MKE WANGU sana ila wakati mwingine shetani anapitaga tu na pisi kali kinoma basi najisemea kimoyomoyo ujue mimi nimeoa afu afu toto kama hili linakatiza basi najisahaulisha naanza kutia...
Habari za weekend!
Kama ilivyoa ada. Mimi ni mtu mzima kiasi nina mke na watoto wawili. Nyumbani mke wangu anajituma si kwamba ni mvivu la hasha. Anafanya mambo yote kama mke. Lakini kuna jambo moja linanishangaza, hivi karibuni tumepata msichana wa kazi hana muda mrefu ni kama miezi miwili...
Habari Wakuu!
Moja Kwa moja kwenye Uzi!
Kuna kajamaa kana fanya kazi pale Hazina, ninakaa mtaa mmoja nako, kalianza mazoea na mke wangu, kana mchekeachekea, kana mshobokea na kujifanya kana-care. Sasa hakakujua kanadili na Jokajeusi lisilo na huruma, lenye hila za kiwango cha lami.
Nilitamani...
Wakuu samahani kwa mada hii, sijui kama napitia peke yangu au laa, mimi nimeoa na mke wangu hana tabu mstaarabu tunaishi vizuri tu tunataniana sana na ucheshi wote, tuna mtoto mmoja.
Shida ni kwamba kibaruani kwangu kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana kiasi kwamba najikuta kama sina amani...
Wanajamvi mu hali gani?
Ni usiku wa jana tu haya yamenipata, mke wangu ana mtoto japo kashaacha kunyonya, muda mfupi uliopita, jana usiku akaniandaa safi tu, mimi siwezi kufanya mapenzi na mke wangu bila kunyonya matiti yake (samahani kwa lugha kali), basi nikaanza kunyonya, ghafla nashangaa...
Wakuu mimi ni mkazi na mzaliwa wa Dar es Salaam maeneo ya Tegeta, tatizo langu kuu mpaka nimekuja kuomba ushauri ni mke wangu kawakusanya ndugu zake na wazazi wake toka kijijini huko Mpwapwa. Yani imekua kero mi mwenyewe ndio natafuta maisha lakini nyumbani tupo jumla watu tisa pamoja na wazazi...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Juzi nilikuwa club na rafiki zangu tunapata beer mbili tatu. Mke wangu ni mjamzito wa miezi 6, kwa bahati mbaya nilichelewa kurudi, nilirudi saa 6 huku nikiwa tungi. Sikumbuki ni nini kilitokea baada ya kugonga geti, ila nakumbuka...
Habari, nahisi naweza kupiga mtu huku nielekeako, mke wangu tuki-sex hunitukana matusi ya nguoni na kama haitoshi humtukana mpaka baba yangu matusi ya nguoni. Nikimuambia anasema huwa anazidiwa na atajirekebisha.
Hiyo ndio kauli yake kila nikimuonya. Sijui na-deal naye vipi, hilo tisa, kumi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.