Sijajua amehisi nini mpaka kuwapiga marufuku mashoga wake aka marafiki zake wa kike na nikimuuliza majibu ni msumari.
Hivi mlioolewa mliomo humu vipi mnakaa na mashoga zenu hawana hitilafu ya kuvuruga mahusiano na mwenzawako aka mumewako au hata partner wako?
Huyu ndugu yangu amekuja kwangu kunitembelea, lakini kutwa ni kumzonga mke wangu. Hata mimi hana story zaidi ya kumuongelea mke wangu.
Leo mke wangu ameniambia nikiwa sipo anamwambia eti muda wote sisi ni kula hatufanyi mapenzi. Anajaribu kumweleza yeye anavyomshughulikia mke wake muda wote...
Mko fresh watu wa Mungu?
Nimepanda basi la angani toka saa 12 asubuhi kuja mwanza kikazi, lakini cha kustaajabisha mpaka sasa saa mbili kasoro usiku kwa saa za Afrika Mashariki wife hajanipigia kuniuliza kama nimefika salama or not!
Hivi napendwa kweli hapa wazee wenzangu?
Nimekaa naye kwa takribani miaka 12 sasa, ni msafi sana na sijawahi hisi harufu hiyo. Nikawa hadi napiga deki kuenjoy papuch sijawahi fanya hivi kwa mwanamke yeyote.
Nilipohamia mkoani kikazi nimeanza hisi hii harufu baada ya muda kidogo tangu nihamie mkoani kikazi, bado ni msafi kwa...
Hivi wadau ni sawa kwa mwanamke mwenye mimba ya mwezi mmoja kuanza uvivu na kuumwa umwa!!
Naona mwanamke wangu ananiletea vipengele sana yaani tangu tujue ana mimba basi kazi zote za ndani ndio hawezi tena….hapiki hafui hadeki…vitu vyote hivyo nafanya mimi. Mara ajitapishe mara aseme anasikia...
Kama mada inavyojieleza, tulikuwa na ugomvi usiku huu, akanipiga nilivyomrudishia ametoka na amefunga mlango na funguo kaondoka nayo hivyo hapa.
Nimechanganyikiwa sijui nianzie wapi kumtafuta. Naombeni ushauri niuchune tu mpaka asubuhi au nipigie simu ndugu zake kuwaeleza.
=======
Kwa ushauri...
Mughonile!
Nilimuoa Mke wangu miaka 9 iliyopita. Kwa sasa tunawatoto wawili. Mke wangu alikuwa amebobea kwenye Makanisa haya ya upako. Baada ya kukubaliana na vigezo vyangu, ambacho kimoja wapo nilimuarisha aachane na manabii wa upako, akakubali. Ndipo nilipomuoa Kwa ndoa takatifu ya kikristo...
WanaJF za siku nyingi. Kwa vijana nipeni shikamoo zangu. Nimewazidi wengi mno umri humu, niruhusuni niende kwenye mada sasa.
Hili suala ninaweza kulitatua ila nahisi approach haitokuwa nzuri. Yaani ninaweza kuharibu kabisa, ukizingatia wife ni mjamzito sasa.
Yaani sijui akili yakw ipoje...
Kwema watu wa mapenzi?
Aisee, iko hivi kama hujaoa nakushauri usioe mwanamke msomi kabisa, mimi mshikaji wenu nimeoa mwanamke msomi tena wa kiwango cha masters tena ya Birmingham City University pale uingereza ila cha moto nakipata.
Jana usiku bana tulitofautiana kauli kidogo na mwenzangu, me...
Huenda wengi wanakumbana na hii changamoto na niseme ukweli huwa inanikwaza sana. Mdogo wake wife wa kike huwa ana tabia ya kuja mlangoni na pia dirishani kusikiliza tukiwa tunafanya sex.
Nashindwa kumuadhibu au kumfukuza maana ni binti, Ila huu umbea anaofanya sijaukubali hata kidogo. Chumba...
Habari za muda hii wadau wa MMU.!?I hope mko poa..
Kwa kisa nilichokishuhudia siku ya sikukuu ya mwaka mpya mwaka huu nikasema sitokuja kumpiga mke wangu nikifanikiwa kuoa.
Ni kama mida ya saa8 usiku nipo road natoka Club kwa miguu mdomdo maeneo ya Kwa Mrombo uku Chuga. Njia nzima Niko alone...
Habari wa JF natumai ni wazima wa afya tele.poleni wagonjwa .
Miaka fulani nilikuwa naishi ktk mji fulani, sasa siku moja nilikwenda kumtembelea rafiki yangu ambae alikuwa anamiliki duka la kuuza simu. Nilipofika pale wakati tuaendelea na mazungumzo akaja mdada fulani hivi yule mdada alikuwa...
Ndoa zinakuwaga na Mambo yake wakuu.
Kuna muda uneza tofautiana na mpenzi wako Hadi ikafika point mkanuniana kbsa Hakuna anayetaka kumsemesha mwenzio. Wanaume wengi tunakuwaga hasira nyingi Sana tukikosewa na wake/wachumba zetu mpaka tunaamua kuwapiga na kuwafukuza.
Kwa upande wangu Mimi siku...
Week mbili sikuwepo nyumbani, nimerudi jana wife kanipokea vizuri tu, sasa inshu imetokea usiku wa kuamkia leo. Tena yeye ndo aliomba mchezo kwa kudai amenimic sana, mwanaume nikaitikia.
Wakati naendelea kuchakata niliona kama anatetemeka hivi afu kwa mbaali nikamsikia anasema Alexiiiiii (kwa...
Wakuu nimiezi mi4 tangu mke wangu abebe ujauzito kitu kinachofanya mke wangu kuwa mgumu Sana pale linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa (minyaduano).
Nimetumia njia nyingi Sana za kumshawishi kutengeneza mazingira ya kupata Raha ya penzi lakini wapi hugoma kabsa tuwapo...
Miaka kadhaa nyuma when i introduced my wife to my father, I desperately hoped he’d get on. Mshua akanitoa pembeni akaniuliza are you sure she’s faithful to you?
My father simply couldn’t accept that someone as good looking as my wif’ wouldn’t be cheating on me at every opportunity, a wave of...
Habari wakuu natumaini hamjambo
Wakuu kama title inavyojieleza nimeamua tu niwe muaminifu kwa mke wangu ili azidi kuniamini kama mume wake yafuatayo ndio niliyo yafanya ili kuongeza uaminifu
1: Kuna rafiki yangu alikuja kuniambia kamuona wife sehem yupo na jamaa wanakula bata kama siamini eti...
Naumia si kwasababu Mungu amekuchukua bali ni kwakua sikupata kuwa mume wako katika kipindi chote cha miaka sita ya ndoa yetu. Bado nakumbuka meseji yako ya mwisho uliyonitumia uliniambia “Mume wangu njoo tu nyumbani, samahani kwa kukusumbua lakini nataka tu nikuone sijisikii vizuri!”...
Nimeoa miaka michache nyuma, mwanamke niliyemuoa nimemkuta ana watoto wawili, mmoja akiwa chuo na mwingine kidato cha nne.
Huyu wa kiume, ambaye pia ni mdogo, kwa sasa yuko kidato cha sita. Na kwa kuwa amekuwa ni kijana mkubwa mara kwa mara nitokapo kwa ajili ya matembezi ya mwisho wa juma ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.