Habari wakuu!
Leo nimemkumbuka mpenzi wangu tuliekutana mazingira tatanish kidogo. Nakumbuka mwaka2013 tulipata tenda nchini Malawi nilikutana na mtoto mmoja hivi kisura ni mzuri kaumbika yeye alikuwa mfanyakazi wa hotel.
Yule manz kiukwel alikuwa fund kiufupi alikuwa inabana yaan ile kuingiza...
Habarini Ndugu zangu
Mimi ni mwanaume(Kijana), nina miaka 23. Dini yangu ni Mkristo. Elimu yangu ni Degree, sasa hivi ni mjasiriamali.
Natafuta binti wa kuanza naye mahusiano awe na miaka kati ya 18-22, ambaye mahusiano yetu yatapelekea kuwa wanandoa.
Kama uko tayari tuwasiliane Inbox...
Habari wakuu wa kaya.
Nina account humu ila imebidi nifungue nyingine sababu tunafahamiana na baadhi ya watu humu na mimi ni mjuaji yani mbele za watu napenda kuonekana mwanamke hawezi kunipelekesha.
Nimemkosea mke wangu wa miaka 7 ya ndoa. Miaka 7. Tuna watoto wawili. Amegoma kunisamehe...
Habar wanajukwaa,
Mimi ni baba wa mke mmoja wa ndoa na mtoto mmoja mwanzoni mwa mwezi February niliamua kuazisha mahusiano na mwanamke wa nje ya ndo yaan asiye Mke wangu tumekuwa tukisafri mikoa mbalimbali kwa Siri bila mama watoto wangu kujua.
Mwezi june alinijuza kwamba anahisi kama ana...
Habari wakuu, mimi sio mgeni jamiiforums mara nyingi hapenda tu kuangalia nyuzi za watu na kuchangia inapobidi.Leo nimeona niwashirikishe yaliyonisibu
Nipo kwenye ndoa zaidi ya mwaka sasa na kati ya vitu vilivyonivutia na vinavyonivutia sana kwa mke wangu kwakweli ni nywele zake zilivyo ndefu...
Habari,
Kwa masikitiko makubwa baada ya kugundua mke Wangu anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa.
Sasa tukiwa naprocess kumpa talaka na mimi nikiwa nimebaki na watoto (under 7years). Naanza ku experience mateso makubwa kwakuogopa kukaa Karibia na wanangu kwakuulizwa...
Wakuu habari.
Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu. Binafsi napenda mwanamke anayependeza na kujijali, na napenda awe mke wangu ili nisilazimike kutoka huko nje kuchepuka.
Sasa nina mke wangu hapendi kusuka, yaani kichwani yupo rough...
Hivi ukiwa na mwanamke ambaye mnaishi kama mnashinda, yaani ukiwasha tv anawasha redio. Hataki kukufulia, hataki kuosha vyombo, kisa kwao ni karibu mkinuniana kidogo anaenda kwao.
Akisikia unaongea na simu na yeye anapiga na kuongea kwa sauti kuliko wewe, ndani manyimbo anayopiga ni ya majungu...
Habari ya leo wana jukwaa wenzangu,
Mke wangu hataki kunipa tunda hata niki muuliza kila siku anakuwa na sababu tofauti mara nime choka, mara leo naumwa nashindwa kuelewa kwanini ananifanyia hivyo yaani nabaki na maumivu yangu.
Na ukianagalia sijawahi kuwa na mpenzi wa nje kwahyo ni jambo...
Yaani iko hivi
Ukiwa na mke wako mkiwa wawili hacheki kabisa yaani full kununiana full ukauzu. Ila sasa wakiwepo washkaji na marafiki zako wa wa kazini au hata mtaani unakuta tabasamu halikauki usoni mwake.
Yaani ni kucheka mwanzo mwisho. Bashasha za hapa na pale hatari yaani hadi unaona aahh...
Wakuu kwema.? Hope mko salama.
Leo nimetimiza mwaka tangu nimeoa, Mungu ametubariki mtoto mmoja na anaendelea vizuri
Nikiwa mwanaJF nimekutana na nyuzi nyingi zikiongelea suala la kuzama chumvini a.k.a kunyonya papuchi.
Sasa juzi nikaona nitest na mimi kwa mke wangu nilimpa taarifa kuwa leo...
In short, ndoa ina miaka minne sasa na karibia tunapata mtoto. Tatizo rafiki zake mke wangu wa kike wanapokuja nyumbani hata kama ni wabaya kumzidi mke, mimi nakuwa nawatamani sana ata tunavyoangaliana.
Huu ni ugonjwa au sijui ni nini, mimi sitaki kula vya karibu.
Kwenu wakuu mnishauri...
Nina mpenzi wangu ana mtoto mmoja ambaye alizaa na mwanaume mwingine na huyo baba mtoto kwa sasa hatoi huduma yoyote.
Tatizo nililo nalo na huyu mpenzi anataka ni bebe majukum yote ya kulipa Ada ya mtoto wake, chakula, mavazi na kodi na matibabu.
Kwangu mimi hainingii akilini wakati hatuishi...
Tangu nimeoa saizi natimiza miaka saba ndani ya ndoa yetu na tumebahatika kupata watoto wawili.
Lakini hapa karibuni mke wangu amepata habari kuwa nina mtoto mwingine ambaye nimezalia kwa mwanamke mwingine sasa ananisumbua sana anataka asepe kwao.
UPDATE:jamani niwashukuru sana kwa ushauri...
Kwanza nitie msisitizo nguvu bado ninazo na moto napeleka fresh tu.
Nina miaka 32, Nmeajiriwa serikalini, Mshahara 2.x take home, ni mfanyabiashara pia, nina mke na watoto wawili wa kiume, Hivi karibuni nmekuwa mdau sana wa maendeleo.
Tatizo ni kwamba, zamani nilikuwa napenda sana kufanya hii...
RIP Fredwaaa.
Nalaani kitendo alichafanyiwa mke wangu mpendwa siku ya harussi yetu.
Siku ya harusi mke wangu na mimi tukiwa ukumbini tulishtuka kuona mtu akichukua mic na kuanza kumdai waifu mbele ya wageni waalikwa.
Kwani kulikuwa na shida kusubiri wageni watoe zawadi kisha tulipe deni.
Niende kwenye hoja, kumekuwa na desturi za ndugu na jamaa kuingilia mambo ya NDOA za watu na kutoa ushauri utadhani wao walisoma vyuo vya ndoa.
Ninavyojua mimi ndoa haiwezi kua na amani maisha yenu yote kuna siku mnatofautiana.
Mtu unamsema mke wa mwenzio vibaya sara siyo lika lako mara ni...
Ni kikapu nimezawadiwa na mama watoto katika birthday yangu lakini leo hii nimeamua kukitumia kuendea nacho ofisini kabisa.
Nashangaa why kila mtu ofisini ananitoela macho!!.
Anyway, maisha ni kuchagua.
Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia.
Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea,
Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka...
Wakuu ipo hivi nilisafiri toka Jutano mkoa fulani plan ya kurudi ilikuwa Jumamosi kesho jioni lakin nikaamua tu nirudi leo kwa sababu kazi nilionda kufanya imeisha toka jana jioni.
Sasa nikampigia mchepuko wangu leo narudi aje anipokee leo narudi zangu Dar , na nikamwambia nitafika saa kumi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.