mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Superbug

    Niliwasha Moto mahali kwa bahati mbaya ukaunguza nyumba 300

    Nilikuwa na shamba langu mahali Fulani mwaka fulani nilienda kulisafisha nilipowasha mabiwi ya majani Moto ukanishinda nguvu kwasababu niliwasha mchana wa jua Kali. Moto unaenda Kijiji I kuchoma nyumba 300 mnisamehe. Sipendi ujinga. Kisa Cha kwanza. Meya wa mji x aliniita lofa mbele ya watu...
  2. mahirtwahir

    Mke wangu ananipiga vijembe WhatsApp

    Habari wenzangu. Jamani ukweli nimebaini mke wangu anamatumizi mabaya ya simu, nilikutana sms yeye anasema ni rafiki yake ila mie sikuipenda kwa hio nikakosana naye akaenda kwao nami nikabaki kwangu sasa ni zaidi ya miezi 4 basi vikao vikawekwa akakubali kurudi ila naona amekua mkali ukisema...
  3. Dumuzii

    Mwaka 2017 nilimuokoa kaka yangu wa hiari aliyekuwa anasumbuliwa na ndoa yake

    Kama kawaida katika harakati zangu za hapa na pale nikiwa kwenye fukwe nabalizi akatokea bro mmoja tusie fahamiana ila tulisalimiana na kila mtu akaendelea na mishe zake 2017 hiyo. Baada Kama ya wiki mbili/tatu hivi tunakutana town Tena tukasalimiana na akaniuliza vipi umeenda Tena kule beach...
  4. A

    Mke wangu hatakiwi. Ushauri wako tafadhali

    Baba yangu hamtaki mke wangu naomba pita hapa unipe ushauri.Ilikua ni mwaka wa 2020 ndo Kwanza natimiza umri wa miaka 21 wakati huo nikiwa Geita nikipambana na maisha, nilipokea simu kutoka Kwa dada yangu naemfuata kuwa amenitaftia mchumba. Basi na Mimi sikuwa na hiana nikapata mawasiliano nae...
  5. mulwanaka

    Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

    Hivi na nyie wake zenu wanapenda attention kama huyu wa kwangu, ana nikera sanaa, sijui nifanye je nime dumu nae takribani miaka 11, huu ni wa 12 lakini bado iko vile vile nilidhani ataacha akikua ila duh iko vile vile, kwa siku anaweza akakupigia simu mara kumi usipo pokea ataendelea kubipu...
  6. Mwasapile

    Mke wangu hajali familia

    Habari wana JF! Ebu wadau naombeni ushauri wenu. Nina mke na watoto wawili. Mke wangu ana changamoto moja hataki kupika na pia hajali watoto. Yaani tunaweza kukaa siku mbili tatu tunakula mikate na chai tu. Na yeye ni mama wa nyumbani sio kwamba ana shughuli kivile za kumkwamisha yeye kupika...
  7. M

    Mke kwenda kushinda kwao hadi jioni na kurudi na chakula kilichopikwa ukweni, nisawa mume kula hicho chakula?

    Wakuu Kama kichwa cha habari kilivyo eleza hapo juu..... Mke wangu kwao nimitaa kama 20 toka tunapoishi sasa hivi karibuni kwao wamepata matatizo flani hivyo huwenda kuwaona nakushinda kwao hadi jioni saa kumina moja sasa anavorudi huja nachakula walichopika kwao yaani hapiki tena huja nacho...
  8. safuher

    Sitofanya upuuzi wa kwenda kupima DNA kwa mtoto aliyezaliwa na mke wangu wa ndoa

    Ni upuuzi wa hali ya juu sana kwenda kupima D.N.A kwa kigezo cha kutaka kuhakikisha eti kama mtoto ni wako a sio wako. Watu wanatafuta watoto kwenye ndoa zao wewe unapata unajifanya kwenda kufanya DNA kutaka uhakika. Tulipopata mtoto wife akaniuliza kimasihara kwamba mtoto hajachukua sura...
  9. Mlundilwa Jr

    Binti wa kishua kanipenda ila nina mke na mtoto

    Buheri mazee Ebhana majuzi kati hapa nilikua napita zangu kandokando ya barabara kwambali nikaona gari imesimama nilivyoikaribia na kuanza kuipita ghafla ilitoka pisi kali Sana ikaniita"samahani kaka" nikasema bila samahani, Gari yangu imeisha mafuta na cjatembea na akiba hivi shell Iko wapi...
  10. kitokololoo

    Nataka nimfungulie mke wangu Duka la dawa naombeni Ushauri

    Naombeni ushauri mzuri Gharama nyepesi za kurekebisha Chumba cha kawaida cha futi 10 kwa 10 yn furniture pamoja na kabati za kuwekea madawa. Pia Meza kubwa ya kioo milango ya kioo na Gharama zingine ndogo ndogo za kufanya duka liwe na mvuto inacost kiasi Gn? Budget yangu ni 2.5 matengezo cha...
  11. SACO

    Mke wangu hajableed takribani miezi mitatu

    Habari wataalamu, naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu. Mwanzoni mwa mwezi wa saba wife akiwa na ujauzito wa miezi mitatu alianza kutoka damu ghafla na hatimae mimba ikatoka na wakampa dawa flani sikumbuki za kusafisha. Tatizo ni kuwa mpaka sasa hajableed takribani miezi mitatu kasoro...
  12. M

    Ashukuriwe Mungu mke wangu amejifungua salama salmini

    Ashukuriwe mungu! Mke wangu amejifungua salama salmini! Nawashukuru wote mlionipa support ya ushauri na maarifa kwenye uzi wangu nilioomba msaada wa fikra na ushauri juu ya kupita siku za kujifungua kwa mama mtoto wangu! Amefanikiwa kujifungua jana mtoto wa kiume! Bila upasuaji wowote...
  13. Ben Zen Tarot

    Muda mwingine mchepuko unaweza kuwa wa faida

    JOHN :-Habari yako bwana? HASSAN :-Nzuri we Nani? JOHN :-Natumaini hatufahamiani. HASSAN :-Yes, sikufaham wewe nani nikumbushe.. JOHN :-mimi naitwa mr JOHN au baba Hellen. HASSAN :-ndio.. JOHN :-Mke wangu ni ANNA ambae kwa sasa ndio mpenzi wako kipenziiii kwa maelezo niliyoyakuta kwenye...
  14. S

    Mke wangu alibadilika baada ya kumfungulia biashara. Nifanye nini kuokoa ndoa yangu?

    Habari za Jumapili wanajamvi. Niende Moja kwa Moja kwenye mada inayoniumiza kichwa mpaka nakosa amani ya moyo kwa muda wa week sasa. Mimi na mke wangu tangu tufunge ndoa huu ni mwaka wa tisa. Hatukuwahi kuwa na migogoro mikubwa ingawa mikwaruzano ile midogo ilikuwepo. Sasa katika kipindi cha...
  15. A

    Mke wangu amerudi nyumbani

    Kifupi tu naomba kumshukuru member mmoja alieniambia nimuombe Mungu,of which I did sababu nilitaka msaada wowote wa kurudisha familia yangu nyumbani baada ya upupu niliokosea. Nikiri, nilimsumbua sana hata alipokuwa hajibu au anarudisha hela nilizokuwa namtumia. Ila humu ndani kuna ushauri wa...
  16. genau

    Mke wangu kanikimbia

    Wadau ngoja nije moja kwa moja kwenye mada Huyu mama watoto nimeanza nae mahusiano mwaka 2019 akiwa diploma mimi niikiwa mfanyakazi. Mwishoni mwa 2019 nikaamua kumweka ndani ili tusomane vizuri tabia kwa sababu nilikuwa nina shauku sana ya kuishi na mwanamke mmoja ninaye mpenda. Nikaenda kutoa...
  17. GRAMAA

    Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana

    Ni mtu ambaye niliishi naye miaka kumi na tatu na tulibahatika kupata watoto wanne. Ila leo mama Agness nimempa talaka mahakamani bila kupenda. Imeniuma sana nilimzoea sana mke wangu. Mama Agness ameniliza sana. Daaah talaka inauma sana kwa mtu uliyemzoea. Nimemuuzi mtu niliyempenda. Ndiyo...
  18. Sigara Kali

    Mke kuficha hati ya kiwanja/nyumba

    Wananzengo salamu kwenu. Kuna jambo nakaa nalifikiria sipati jibu na sijui mwenzangu anawaza nini na ana nia gani. Nilikuatana na huyu mwanamke mwaka 2011 nikiwa chuo na Yeye yupo tu kitaa baada ya muda akafanikiwa kupata kazi tukaendelea kuishi na kupata watoto hadi mwaka jana tulipofunga...
  19. Z

    Msaada: Mke wangu kabadilika tangu Shemeji yake ambaye ni mtoto wa mjomba wangu aje

    Mke wangu alianza Kama kuwa na matani mengi yasiyo ya kawaida na shemeji yake. Nikawa mzito kuchukua hatua nikiamini anajitambua..ikafika hatua sasa usiku hanipi penzi yapata wiki 2 anadai hana feelings mara kachoka. Kiujumla kila story tunayopiga lazima amtaje huyo ndugu yangu. Nini maana yake?
  20. ndenjii handsome

    Nimetokea kumpenda shemeji, nashindwa kujizuia

    Wakuu nimeoa mimi na nina watoto kabisa na ndoa nimefunga. Ila sasa huyu mkewangu ana mdogo wake sio kisu kivile e ila tokea nimuone kwa mara ya kwanza. Nimejikuta nampenda kias kwamba na shindwa kujizuia kuna muda mpaka nikahama hapa home na kwenda kupanga mkoa mwingine ili kudhibiti hisia...
Back
Top Bottom