mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TANZIA Mke wa Augustine Lyatonga Mrema afariki dunia

    Mke wa mzee Augustine Lyatonga Mrema amefariki dunia ktk hospitali ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu ya shinikizo la damu. --- Mwenyekiti wa TLP, Augustino Mrema amepatwa na msiba wa kufiwa na mkewe Rose Mrema. Taarifa iliyotolewa kwa umma na Mrema imesema mkewe amefariki dunia usiku wa...
  2. JamiiForums Tanzania Nianze na kipi kati ya nyumba, gari au mke?

    Samahani kidogo kwa usumbufu. Naomba ushauri hapa Nianze kujenga nyumba then nioe kisha ninunue gari Nioe, ninunue gari kisha nijenge au Ninunue gari, nijenge kisha nioe, au vyote. Upi ni mlolongo mzuri? ⒨⒴ ⒡⒰⒯⒰⒭⒠.
  3. JamiiForums Tanzania Safari ya Bulicheka na mke wake katika nchi ya Wagagagigikoko.

    Unaweza kusoma bure hadithi hii na nyingine nyingi ndani ya maktaba app(by pictuss). unaweza tembelea hii thread kwa habari zaidi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nitaendelea Kusaka Mke hata Kama ntaambiwa umba wa kwako Vigezo ni hivi

    Kwa kuanza Kabila langu Mnyakyusa! Elimu Masters of science in Finance Shughuli mwajiriwa wa Kampuni binafsi ya Kimataifa (Ulaya Magharibi) Umri 33 sina mtoto Umbo : Mrefu Mweusi si mwembamba sana wastani meter 1.65 Uzito Kg 73. Kipato Monthly income 2300-3000$ natafta Mke wa Kuoa ambaye...
  5. JamiiForums Tanzania SoC01 Tatizo la kutoa mahari ili kuweza kukubaliwa kuoa mke na tatizo hili humuumiza nani zaidi? Mwanamke au mwanaume?

    Ni kitu cha kushangaza mpaka leo huu mfumo wa kutoa mahali bado unaendelea. Tumefundishwa tokea tulivyo kuwa shule ya msingi ya kuwa mahali sio nzuri kwa mwanamke, inashusha thamani yake katika ndoa, lakini kwanini bado tunaitumia mpaka leo? Ndoa hutokea pale ambapo watu wawili wanapopendana na...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume Tunawakosea sana Wanawake (Mme na Mke)

    Uboyfurendi sijui nini tupa kule ... From my experience ... Wanaumee tu wakosaji sana kwa wenza wetu wa ndoa (siongelei uchumba ) NDOA ...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye HIV positive

    Ninajitokeza hapa nina nia ya dhati na kweli kutoka moyoni nimejitokeza hapa natafuta mke wa maisha mwenye HIV Positive, siitaji mpenzi naitaji mke! Napatikana Dar es Salaam, nina miaka 52, maji ya kunde, urefu futi tano inchi saba, slim body. Mke ninayemuitaji awe HIV Positive! Awe mweupe...
  8. JamiiForums Tanzania Uongo mwingine wa Spika Ndugai kuhusu Yesu kwenda Yerusalemu

    Nimesikia bwana Ndugai ameomba radhi kwa kusema Yesu ana mke, lakini hajaomba msamaha kwa kudanganya kuwa alikwenda Yerusalemu kuhesabiwa. Hata kama alimaanisha Yusufu, bado alidanganya kuwa eti alikwenda Yerusalemu. Biblia haisemi Yusufu alikwenda Yerusalemu, Biblia inasema Yusufu alikwenda...
  9. JamiiForums Tanzania Kama upo Chuo Dodoma jua mkeo huku anagegedwa vibaya mno

    Habari zenu wakuu! Bila kuwachosha naomba niwaeleze hii kitu,Kipindi naajiriwa (gvt)nimekuta watu wengi tu pale aliwepo mshikaj mmoja ambae alikuja kuwa mshikaji wangu sana.Baada ya kuzoeana sana nikamshauri akaongeze elimu (degree)na kwel baada ya miez kadhaa jamaa kaondoka kwenda Dom chuo...
  10. JamiiForums Tanzania SoC01 Ndoa na Mahusiano: Yupi mke au Mume bora?

    YUPI MKE BORA/MUME BORA (NDOA NA MAHUSIANO) Lengo kuu la andiko hili ni kwenda kuibadilisha jamii ya watanzania hususan vijana wa kizazi cha leo ilo kuweza kutambua vema dhana halisi ya mahusioano na ndoa na namna ya kuweza kuwa na maamuzi sahihi juu machaguo sahihi kwenye mahusiano yao/ndoa...
  11. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem

    Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem kuhesabiwa na wakakosa mahali pa kulala, kutoka Jerusalem mpaka Bethlehem alipozaliwa Yesu, distance zote nazijua na umbali wake na jinsi ilivyokuwa" - JOB NDUGAI Duuuh 😥😥😥😥 Huyu ni yeye kama yeye wala sio side effects za chanjo
  12. JamiiForums Tanzania Historia ya mapenzi ya Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron

    Ulishawahi kusikia japo kwa uchache kuhusu Emanuel Macron Rais wa sasa wa ufaransa? Je ushawahi kusikia kuhusu mke wake? Ni hivi Rais Emanuel Macron wa ufaransa ana miaka 43 ndio rais kijana kuliko maraisi wote waliowahi kuiongoza ufaransa Emmanuel Macron alianza kumpenda mwalimu wake wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ashukuriwe Mungu mke wangu amejifungua salama salmini

    Ashukuriwe mungu! Mke wangu amejifungua salama salmini! Nawashukuru wote mlionipa support ya ushauri na maarifa kwenye uzi wangu nilioomba msaada wa fikra na ushauri juu ya kupita siku za kujifungua kwa mama mtoto wangu! Amefanikiwa kujifungua jana mtoto wa kiume! Bila upasuaji wowote...
  14. JamiiForums Tanzania Babati, Manyara: Ajinyonga baada ya kumuua mkewe kwa wivu wa mapenzi

    Babati. Mkazi wa mtaa wa Kiongozi Mjini Babati mkoani Manyara, Lucas Mangu (46) amefariki dunia kwa kujinyonga mara baada ya kumuua mke wake Anna Kisino (41) kwa kumpiga kutokana na wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Marrison Mwakyoma akizungumza na Mwananchi Digital leo...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA washiriki ibada ya kumuaga Johara Mtei, Salamu za rambirambi zaendelea kumiminika

    Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Katibu Mkuu wake Mh John Mnyika , wameshiriki ibada ya kumuaga Mke wa Muasisi wa chama hicho Mzee Edwin Mtei , ibada ambayo imefanyika katika kanisa la Azania Front , Mkoani Dar es Salaam Mungu ibariki Chadema
  16. JamiiForums Tanzania Nimepata ajira wife ameongeza matumizi ya pesa zaidi ya mara mbili

    Habarini wapendwa.
  17. JamiiForums Tanzania Mke akikufumania fanya yafuatayo ili akusamehe

    Habari wakuu, Leo nawaletea mbinu ya kivita ambayo unaweza kuitumia kwa mkeo ili akusamehe kiulaini, mfano kama kakufumania, kakukuta na SMS za michepuko, au kosa lolote kubwa ambalo limeleta ugomvi na linatishia uhai wa ndoa au mahusiano yako, Tumeambiwa Tuishi nao kwa akili, Njia nzuri ya...
  18. JamiiForums Tanzania Babu kaniambia niwe na wachumba wanne ndipo nichague mmoja kuwa mke

    Nilikuwa nimetoka matembezini Niko na mdada goma langu sasa Nikakuta sehemu babu yangu amekaa nikamwambia Babu huyu niliye naye ndo mchumba nitamuoa nataka nitume mahari. Baadae jioni babu akaja kuniambia kuwa ninakosea kwamba kiwango cha wachumba unachopaswa kuwa nao ni wanne ndo uchague...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu kabadilika tangu Shemeji yake ambaye ni mtoto wa mjomba wangu aje

    Mke wangu alianza Kama kuwa na matani mengi yasiyo ya kawaida na shemeji yake. Nikawa mzito kuchukua hatua nikiamini anajitambua..ikafika hatua sasa usiku hanipi penzi yapata wiki 2 anadai hana feelings mara kachoka. Kiujumla kila story tunayopiga lazima amtaje huyo ndugu yangu. Nini maana yake?
  20. JamiiForums Tanzania Njooni tumpongeze Mohammed Hussein Zimbwe 'Tshabalala' kwa kufunga ndoa

    Nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein "Tshabalala" jana siku ya Ijumaa amefunga ndoa. Hongera sana kepteni, niwatakie kila la heri kwenye ndoa yenu!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…