Mkurugenzi maarufu wa filamu nchini Iran pamoja na mke wake wameuawa wakiwa nyumbani kwao nje kidogo ya Mji Mkuu wa nchi hiyo, Tehran.
Taarifa kutokea kwenye vyombo vya habari vya nchini Iran zinasema kuwa Dariush Mehrjui (83) na mkewe Vahideh Mohammadifar (54) aliyekuwa Mwandishi wa vitabu na...
Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Makong’onda, wilayani Masasi, Mkoa wa Mtwara, akituhumiwa kumpiga mkewe kisha kumuingizia panga sehemu za siri (njia ya haja kubwa) na kumsababishia majeraha.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 14, 2023; Kamanda wa...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salalam, iliyoketi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, All Balanda Idofulo, kunyongwa hadi kufa, baada kupatikana na hatia ya kumuua mkewe, aitwaye Selan Kondo kwa kumchoma kisu begani.
Hukumu hiyo imetolewa leo Jumanne Septemba 26, 2023 na Hakimu...
Upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Hamis Luoga anayekabiliwa na shtaka la mauaji ya mkewe, Naomi Marijani umeiomba Mahakama mshtakiwa huyo akapimwe afya ya akili.
Wakili wa utetezi, Mohamed Majaliwa ameiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, mshtakiwa apelekwe Hospitali ya Isanga...
Aloo dunia ina mengi!
Mwamba alianza kwa kunyanyua vyuma, mwili ukawa jumba na mtaani akawa anatisha. Vijana wakamuogopa na vichuchu vikampenda. Kazi alikuwa nayo nzuri tu, hivyo kila mchuchu alieingia chumbani kwake alihitaji aishi nae.
Anyway jamaa kwa vile umri umesogea, ikabidi ateue...
Nimefadhaika, nimehuzunika, nimekasirika, nimeshangaa, nimechoka na nimekata tamaa kabisa!!
Yaani jamaa analia 'live' mbele ya wazee waliokuja kusuluhisha mgogoro wao na mkewe ambaye anadai talaka aondoke.........analia huku amempigia magoti mkewe (huku wazee wakishuhudia) akimsihi asiondoke...
HARVEY: MIMI NA MKE MAMBO SUPA BULL BULL
Mara baada ya kutawala kwa habari zakuachana na mkewe, Marjorie Harvey katika mitandao ya kijamii, mchekeshaji na mshauri wa mambo mbalimbali, Steve Harvey ameibuka na kusema kwamba yeye na mkewe mambo mazuri kama kawaida.
Tetesi hizo ambazo zilianza...
Alikuwa mshauri wa mahusiano ya watu na kuponda wanaume kwamba hawajui kuwa-handle wanawake wao.
Amesafiri na mkewe sehemu kibao, mapikiniki na mavisiwa huku akiweka caption za kuonesha mahaba mengi kwa bidada. Yamemkuta leo, amegongewa & maokoto anaporwa. Anatafuta mshauri sasa!
Fear women of...
sikukuu ya kuzaliwa MKE wa Tajiri wa makampuni ya GSM na Mdahamini Mkuu wa Klabu ya Yanga
Birthday iilihudhuriwa na wanafamilia / ndugu wa karibu.
Maua ni mengi sana yenye kuvutia, itakuwa yaliletwa na kontena mbili
zawadi zenye brand kubwa na orignal, mambo ya christian Dior, dolce &...
Nakaa huku uswahlini chumba
hakina siling bodi na ukuta
unaotenganisha chumba na chumba si mrefu kiasi unaweza ukaruka kuingia chumba cha pili
Sasa hapa napokaa jirani wa chumba cha pili akitaka kufika mulima Meru lazma aangue kilio jamaa analia kilio cha kwikwi huwa nasikia mkewe
anamwambia...
Ndoa ya Waziri Mkuu wa Canada imefikia ukomo baada ya Miaka 18 toka ilipofingwa mwaka 2005.
---
Justin Trudeau and his wife Sophie Gregoire-Trudeau have announced they are separating after 18 years of marriage.
The Canadian prime minister, 51, said in an Instagram post that the decision was...
Umoufia Kwenu wana JF,
Ofisa wa jeshi Mogomo Sepopa(35) kutoka Botswana ameua mkewe Bogolo Sepopa Jaone(34) na mchepuko wake Same Moapare kwa pamoja na kisha kuwashikilia mateka watu wawili.
Mtuhumiwa alijisalimisha mwenyewe polisi na jana amesomewa mashtaka mawili ya mauaji yanayomkabili.
He...
Askari Polisi mmoja aliyetambulika kwa jina la Michael Kyalo amejiua kwa kujipiga na risasi baada ya kumjeruhi mkewe kwa risasi huko Kaunti ya Bondo nchini Kenya mapema leo, Polisi wameripoti.
Kamanda wa Polisi wa kaunti hiyo Ibrahim Kosi amesema afisa huyo aliyefariki, aliripoti kazini kama...
Sijui kwanini watu wanalewa madaraka kijinga hivi, hata kama mwanamke kakukera kiasi Gani huwezi kumtusi Tena unamtukania Hadi Mama yake Mzazi.
Halafu huyu ndio unataka awe Kiongozi wa kupigania haki, kweli? CCM mnatukosea sana.
Kutofautiana sio dhambi ila Kuna namna ya ku-handle issues...
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina na Omary amefariki baada ya kujirusha kwenye treni eneo la Ubungo Maziwa baada ya kudaiwa kumua mke wake Mwanahamisi Mjeshi.
Kwa mujibu wa taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii, zinaekeza kuwa tukio hilo la mwanamke kuuwawa zimetokea leo Jumatano Juni...
Huyu Jamaa ni Jamaangu , ni Mpiga pombe sana. Sasa ana Mke na watoto.
Mke wake ana rafiki yake ( shosti) kindaki ndaki wa kusindikizana mpaka saluni.
Kumbe jamaa alimzunguka mkewe akawa anakula Shost wa mkewe ( Shem).
Sasa Jamaa Jana alikua kalewa pombe, wamegombana na mkewe, mwisho jamaa...
Mahakama ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida, imemuhukumu Sanya Kalamangola mwenye umri wa miaka 25, kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kumbaka mtoto wa mke wake baada ya mkewe kwenda kumuuguza mjamzito.
Mahakama ya Mkoa wa Tabora, imemuhukumu Kwenda jela miaka minne Juma Edward (30), Mkazi wa kijiji cha Shitage wilayani Uyui mkoani humo kwa kumuuwa mkewe Kulwa Vincent (29) kwa kumshambulia hadi kufa baada ya kumfumania akifanya ngono na mwanaume mwingine ambae ni jirani yao nyumbani kwake...
Ilikuwa miaka 5 iliyopita kaka yangu upande wa Baba mkubwa. Yeye alikuwa na ndoa yake kabisa na alikuwa na watoto 2 wa kiume na wa kike. Kaka yangu yule ni mtu wa ubabe ubabe.
Sasa miaka 5 iliyopita bro wangu alikuwa na mchepuko, sasa katika kuchepuka nae, yule dada alibeba ujauzito wake. Bro...
Jeshi la Polisi Nchini #Kenya, linamshikilia kwa mahojiano, #DJBrownskin (Michael Macharia Njiiri) anayedaiwa kurekodi tukio hilo ambalo limetajwa kuwa ni kosa la kusaidia kuua, kinyume na Kifungu cha 225 (c) cha Kanuni ya Adhabu.
Upande wa Upelelezi umesema DJ huyo aliacha bila kuchukua hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.