THURSDAY JUNE 17, 2021
Dar es Salaam. Wakili Peter Madeleka na mkewe, Jamila Augustine Ilomo wameishitaki Serikali wakidai fidia ya mali kwa kukaa gerezani kama mahabusu kwa zaidi ya miezi 18 na baadaye kuachiwa buru baada ya makubaliano na DPP.
Katika kesi Na. 10 ya mwaka 2021 aliyoifungua...
Kweli duniani kuna mengi. Ni ajabu mwanadamu anamuwinda mwanadamu mwenzake utafikiri tunaishi katika mbuga za wanyama.
Siku kadhaa zilizopita, mimi na Mchungaji wangu pamoja na mke wake, tulinusurika kuuawa. Ilikuwa alasiri, mimi na Watumishi hao wa Mungu, tulienda kufanya huduma katika mji...
Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imemuhukumu kutumikia kifungo cha kwenda jela miaka minne Lameck Essau Meza mkazi wa Sikonge mwenye umri wa miaka 38 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua bila kukusudia mkewe Dafroza Paul.
Akisoma hukumu hiyo Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Tabora...
Mkazi wa Nyantorotoro mkoani Geita, Shija Mwanzalima (30) amemjeruhi kwa kumchoma kisu tumboni mwanae wa kambo mwenye umri wa miaka mitatu kisha kujiua kwa kujinyonga.
Kamanda wa polisi mkoani Geita, Henry Mwaibambe amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema limetokea mwishoni mwa wiki...
Nilikua na girlfriend wangu na tulibahatika kupata mtoto ila tulitofautiana hali iliosababisha kutokuishi pamoja. Sasa mwezi uliopita mwenzangu kapata mwenza lakini tulikua tunawasiliana kawaida kuhusu malezi ya mtoto.
Jana mumewe kanipigia simu ananiambia nisiwasiliane na mkewe, ishu zote...
Sakata la Philomena Toima mke wa mkuu wa wilaya mstaafu nchini ,Peter Toima Kiroya limechukua sura mpya baada ya jeshi la polisi wilayani Simanjiro kuwashikilia watoto wake kwa sababu zisizojulikana mpaka sasa.
Watoto walioshikiliwa na polisi wilayani humo ni pamoja na Nahini Toima pamoja na...
Mdogo wangu umri miaka 23,mwaka jana tu alimuomba mzee na marafiki kumuandalia harusi ili aweze kuaga ukapera.
Wazazi na marafiki wakafanya michango na kuandaa harusi kubwa tu na dogo akaoa.
Mchumba wake wamesoma naye hadi kidato cha nne shule moja na hivyo wanafahamiana kila kitu.
Miezi 6 tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.