mkewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BAKIIF Islamic

    Wanawake 7 kumtaka mwanaume mmoja. Unyenyekevu na utiifu vyahusishwa katika ndoa

    Hakuna mwanaume mkali mbele ya mwanamke mnyenyekevu na mtiifu. Kuna sababu nyingi zinazo pelekea wanawake kutoolewa na kuongezeka kwa idadi ya ndoa zinazo vunjika. Katika uislamu lengo la ndoa sio kutafuta utajiri wala kusaidiana maisha, lengo la ndoa katika uislamu ni kupata utulivu na familia...
  2. Roving Journalist

    Rukwa: Adaiwa kumuua mkewe kwa kumnyonga akimtuhumu kuchepuka, naye ajiua kwa kujinyonga

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi Mwalimu wa Shule ya Sekondari Tanga, iliyopo Mkoani Tanga, Emmanuel Jerome (32), anadaiwa kumnyonga mke wake, Lucy Nshoma (34), katika nyumba ya kulala wageni mkoani Rukwa, kisha na yeye kujinyonga kwa kutumia kamba juu ya mti siku moja baadaye Mkoani Katavi...
  3. JanguKamaJangu

    Manyara: Amuua mkewe kisa Tsh. elfu kumi

    Jeshi la Polisi Mkoani Manyara linamshikilia Petro Basco (38) mkazi wa Gabadaw Wilayani Babati Mkoani Manyara kwa kosa la kumpiga mkewe Maria Sakware (49) kwa fimbo na kumsababisha kifo huku chanzo kikielezwa kuwa mtuhumiwa kumtuhumu mkewe amechukua pesa yake kiasi cha shilingi elfu 10. Tukio...
  4. Poker

    Amuua mkewe kisa house girl!

    Bwana mmoja huko Sopango Ug Zimbabwe amemuua mkewe kwa kumchinja kisa kikidaiwa kuwa mke aligoma kupewa talaka ili mume amuoe house girl huyoo! Hivo baada ya vuta nikuvute mke akaamua kumfukuza house girl ndipo mume kwa hasira akaamua kumchinja kama kuku mke wake halali wa ndoa. Poleni sana ila...
  5. Lady Whistledown

    Mume wa aliyekuwa mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Nigeria, amekanusha mashtaka ya mauaji ya mkewe

    Peter Nwachukwu,aliyekuwa Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili wa Nigeria aliyefariki mwezi Aprili mjini Abuja amekana mashtaka yote yanayohusiana na kifo chake na madai ya unyanyasaji katika ndoa yao Kifo cha Osinachi Nwachukwu kilizua ghadhabu baada ya familia yake kudai kuwa alikuwa...
  6. JanguKamaJangu

    Baada ya vifo vya Said Oswayo na mkewe, Swalha Salum mali zinatakiwa kwenda katika Familia ya Mke au Mume?

    Tukio la Said Oswayo kumuua mkewe, Swalha Salum kisha na yeye kuuawa ikidaiwa amejiua bado ni gumzo Nchini Tanzania. Wivu wa mapenzi ndio unatajwa na wengi kuhusu matukio hayo yaliyotokea ndani ya mwezi huu Mei 2022, lakini hoja yangu hapa siyo kuhusu walivyouawa, nina kitu tofauti kabisa...
  7. The Transporter

    Mume agundua mkewe anameza ARV ila yeye anafichwa

    Ipo hivi nina rafiki yako ambae shughuli zake ni dereva sasa amenipa mkasa wake na kuomba ushauri. Jamaa mwanzo mwa miaka ya 2000s alimpata Binti wakakubaliana na kuamua kuishi pamoja wakabahatika wakapata watoto watatu wakiume wawili wa kike mmoja. Ila kutokana na sababu kadhaaa wakawa...
  8. Crimea

    Rais Samia: Tuzo hii ya Babacar Ndiaye alistahili Hayati Dkt. Magufuli

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akipokea tuzo ya Babacar Ndiaye kutokana na mafanikio kwenye ujenzi wa barabara na kusema anayepaswa kupewa sifa ya tuzo hiyo ni mtangulizi wake, Hayati John Magufuli. "Kama tuzo hii [ya Babacar Ndiaye] ilipaswa kuwa ya mtu binafsi, mtu...
  9. JanguKamaJangu

    Ashinda kesi ya kurudishiwa mahari baada ya kutalikiana na mkewe

    Wilberforce Murunga, 52, ameshinda kesi Mahakamani dhidi ya waliokuwa mashemeji zake ya kutaka arudishwe mahari ya pesa na mali alizotoa kwa ajili ya kumuoa Irine Mitekho Khaoya katika ndoa ambayo ilidumu kwa muda wa mwaka mmoja na nusu. Murunga alilipa mahari, KSh 50,000, mifugo, viatu vya...
  10. Linguistic

    Mume Sasa Atatiwa Hatiani Kwa Kosa la Kumbaka Mkewe Nchini India.

    Wajubaa . Mume Sasa Atatiwa Hatiani Kwa Kosa la Kumbaka Mkewe Nchini India. . Wakuu, Baada ya Kusililizwa Kwa shauri lililolenga ktaka kwamba iwe Kosa la ubaki ni pale Mme anapomlamzimisha mkewe KUFanya tendo la Ndoa. . Hatimaye Justice Rajiv Shakdher Wa Mahakama Kuu ya Delhi amefuta kifungu...
  11. Donnie Charlie

    Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

    Mwalimu wa shule ya Sekondari Jijini Mbeya, Julieth Kabuja (32) ameieleza Mahakama ya mwanzo Mkoani hapo kuwa ni bora ndoa yake ivunjike kuliko kumkabidhi mumewe kadi yake ya benki. Ameyazungumza hayo mbele ya Mahakama ya mwanzo jijini hapo baada ya mumewe Charles Meshack (31) kufungua shauri...
  12. Sky Eclat

    Jamaa anamwambia mkewe arudi tumboni kwa mama yake kama hana future

    Ilikua hivi, alimchumbia akiwa mwanafunzi, ahadi kibao walipeana mpaka ndoto ilipotimia ya jamaa kupeleka posa na kukipa mahari. Mke alielewa hali ya jamaa na alihamia baada ya hatua za mahari kukamilika. Sasa anataka kusimea mafunzo ya upishi kama ahadi zao walizoahidiana kabla ya ndoa. Mume...
  13. BigTall

    Tanga: Ashikiliwa kwa tuhuma za kuua baada ya kumfumania mkewe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linamshikilia mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Mohamedi Bakari Lukindo, mwenye umri miaka 43 kwa tuhuma za kumuua Athumani Dolly baada ya kumfumania na mke wake nyumbani kwake majira ya saa tisa usiku wa kuamkia leo, nyumbani kwake Mtaa wa Vunja Bei Wilayani...
  14. JanguKamaJangu

    Mbeya: Aliyetoroka kwa kumuua mkewe anaswa na Polisi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lilifanya msako huko Kijiji cha Shitete, Kata ya Iwindi, Tarafa ya Usongwe, Wilaya na Mkoa wa Mbeya, Machi 20, 2022, ambapo walifanikiwa kumkamata SAFARI ADMIN LUWOLE [43] Mkazi wa Kijiji cha Horongo aliyekuwa akitafutwa kwa kosa la mauaji ya mke wake aitwaye...
  15. Replica

    Afariki baada ya kipigo kutoka kwa mumewe

    Mwanamke mmoja Mkazi wa Kijiji cha Kanyarakata Kata ya Mbuluma Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa, Albetina Mazwile (42) amefariki baada ya kupigwa fimbo katika sehemu mbalimbali za mwili wake na Mumewe na kupelekea kuvuja damu kwa ndani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, William Mwampaghale amesema...
  16. Frumence M Kyauke

    Je, Diamond Platnumz kapata jiko? Akiri kupokea zawadi ya thamani kutoka kwa mkewe

    Je, Simba kapata windo lingine? Huenda nyota wa Bongo Naseeb Abdul Juma almaarufu kama Diamond Platnumz ana mke wa siri. Matamshi yake ya hivi majuzi alipokuwa anarekodi video ya wimbo 'Unachezaje' yamezua mjadala mkubwa mitandaoni iwapo mwanamuziki huyo amenyakua kipenzi kipya. Katika video...
  17. F

    bwana kashikwa na mkewe

    Ha ha ha haaaaa! Jamaa 1 alikuwa amekaa zake sebuleni anasoma gazet, ghafla akapigwa kwa frampen uson na mkewe! JAMAA: VP tena darling kulikon? MKE: kwenye surual yako wakat najiandaa kuifua nikakuta kikaratas kimeandikwa "JENNY", unaweza ukanieleza huyo JENNY ni nani kwako? JAMAA: aaah! wik...
  18. IslamTZ

    Je, ni sahihi mke kudai mume afute kumbukumbu za picha za mkewe wa zamani?

    Jamaa yangu mmoja alioa akapata watoto watatu katika ndoa ya kwanza kisha wakatalikiana na mkewe kwa sababu zisizoweza kuzuilika. Baada ya muda, jamaa akaoa tena. Mke mpya ana wivu balaa. Sasa imefika wakati mke anataka mume afute kumbukumbu zote za picha za familia yake ya kwanza kwenye laptop...
  19. Chachu Ombara

    Polisi amuua mkewe, wengine watano naye ajiua kwa kutumia bunduki aina ya AK 47

    POLISI mmoja mkazi wa Kangemi nchini Kenya amemuua mke wake na watu wengine watano wakiwemo majirani na waendesha bodaboda kwa kutumia bunduki aina ya AK 47 kabla ya kujiua mwenyewe kwa silaha hiyo hiyo. --- Cop kills 6 including wife before turning gun on self in Kabete A police officer shot...
  20. Farolito

    Ajinyonga kwa kutotajwa na Padri kwenye misa ya Shukrani

    Mwanaume mmoja kutoka wilayani Ludewa amekatisha uhai wake kwa kujinyonga sababu ikiwa ni kutotajwa na padri katika misa ya Shukrani. Bwana huyo na mke wake walikuwa wakitoa Shukrani katika Kanisa la Moravian kwa mtoto wao kupona lakini kwa sababu zisizofahamika Padri aliyeongoza misa hio...
Back
Top Bottom