mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Patrick Mwalunenge (Mwenyekiti CCM Mkoa wa Mbeya) Atinga Site na Vipimo Kutatua Mgogoro wa Fidia Ujenzi wa Barabara Njia Nne

    PATRICK MWALUNENGE (MWENYEKITI WA CCM MBEYA) ATINGA SITE NA VIPIMO, KUTATUA MGOGORO WA FIDIA UJENZI WA BARABARA NJIA NNE Mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya amefika eneo la takio na vipimo baada ya Wananchi wa kata za Nzovwe na Mabatini Mkoani himo kulalamika kitendo Cha...
  2. B

    Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe awashukuru Wajumbe kwa kumuamini miaka mitano tena

    Njombe, Tanzania CHADEMA MKOA WA NJOMBE WAMALIZA UCHAGUZI Mwenyekiti wa CHADEMA aliyechaguliwa tena kwa miaka mingine 5 kamanda Rose Mayemba awashukuru kwa kumuamini na kumchagua tena kuwa mwenyekiti wa mkoa. Miaka mitano iliyopita CHADEMA iliweza kusimama imara wakati mgumu wa mikutano na...
  3. Watusi walifikaje Mkoa wa Mbeya?

    Kuna jamii ndogo ya Watusi mkoa wa mbeya ambayo wamekua ni wenyeji kwa muda. Kwasababu ni jamii ya watu wachache si rahisi kunotice. Binafsi nimekutana na familia kama kumi hivi wengine wanajiita Wanyakyusa lakini ukiongea nao unakuta wana asili ya kitusi ni kama mababu zao walikuja siku...
  4. Mapendekezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha: Igeuze Arusha kuwa ndo "Financial Centre" ya Tanzania na iwe mfano wa mikoa ingine na tafuta washauri maalum

    Binafsi nimeona "potential" yako katika uongozi una uthubutu lakini ninahusudu uthubutu wako huo kwamba utachochea harakati za wananchi kujiletea maendeleo. Mtu akikwambia kuwa, "samahani umefeli katika zoezi la usaili lakini tumeona "potential" ndani yako, fahamu kuwa bado waonekana una uwezo...
  5. G

    Pamoja na kusemekana ni mkoa wa kihalifu, Ni kwanini kuna matukio machache ya uhalifu Mara.

    Tunasikia tu story kwamba Mara hakukaliki ni mkoa wa matukio kuuana, ujambazi, kupigana, n.k Kuna picha zimetengenezwa za vibao vimeandikwa "sasa unaingia mkoa wa Mara" yameongezwa maneno, "kaza roho", "be strong", n.k. yanaleta picha kwamba ni mkoa wa matukio Kwanini ni tofauti na uhalisia ...
  6. Picha: Hili geto ni la mtu kutoka mkoa gani?

    Unahisi mmiliki halali wa hili ghetto atakuwa anatokea mkoa gani?
  7. DOKEZO Kaimu Afisa utumishi Halmashauri ya wilaya ya Mwanga ameshindwa kusimamia maslahi ya watumishi

    Watumishi wa umma Kwa umoja wenu ninawasalimu na kuwaomba msome ujumbe huu,wenye kilio cha Afisa utumishi Halmashauri ya Mwanga. Mh Waziri uliyeaminiwa na Mh Rais Samia suluhu Hassani, tunakuomba , ufahamu, kumtambua na kumuondoa huyu kaimu Afisa utumishi wa hiyo Halmashauri. Suala la haki...
  8. Makonda adaiwa kukataa nyumba ye Serikali, inasemekana anaishi Hoteli ya Nyota 5

    Kwa hali hii, tutafika? Anaandika Martin Maranja Masese kwenye Mtandao wa X Rais Samia Suluhu Hassan, inawezekanaje BASHITE tangu amefika Arusha anaishi Gran Meliá Hotel, full board ($469) kwa usiku mmoja. Hii ni Sh1.3 milioni. Leo atakuwa ametumia Sh5.2 milioni (malazi). Anatembea na msafara...
  9. Ajali ya coaster na Fuso maeneo ya Kintinku wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida

    Hii ajali imetokea asubuhi ya Leo maeneo ya Kintinku wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida, Hilo Lori lilisimamishwa kwa ajili ya ukaguzi hiyo coaster ikaja kuvaa Lori kwa nyuma na kuna taarifa za kifo, Poleni sana aisee na Mungu awatie nguvu wote waliofikwa na majanga haya. Credit - Adventure_36
  10. Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya apongezwa

    Wadau mbalimbali kote Duniani Wamempongeza Mwenyekiti mpya wa Chadema Mkoa wa Mbeya . Baadhi hawa hapa
  11. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma aipongeza MSD kwa uwajibikaji na kupunguza malalamiko ya uhaba wa bidhaa za Afya

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ameupongeza uongozi wa Bohari ya Dawa (MSD) kwa mabadiliko makubwa yanayoendelea katika taasisi hiyo, ambayo kwa kiasi kikubwa yamewezesha kupunguza malalamiko ya uhaba wa bidhaa za afya nchini, mathalani malalamiko ya uhaba wa dawa. Senyamule...
  12. Wakati Makonda anakwenda Arusha kuwa Mkuu wa Mkoa tunauliza kuhusu CV yake.

    Kuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda? Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else? Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
  13. Ujenzi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Ushetu, Mkoa wa Shinyanga

    Ujenzi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Ushetu, Mkoa wa Shinyanga Mbunge wa jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani ameiomba serikali kukamilisha haraka ujenzi wa Kituo cha Polisi Ushetu ambacho kwa nguvu za wananchi kipo hatua ya msingi. Ametoa Ombi hilo wakati akichangia hoja baada ya jibu la Naibu...
  14. Dar: RC Chalamila apokea msaada toka DP World Foundation kwa ajili ya wenye uhitaji mfungo wa Ramadhani

    Mheshimiwa Albert Chalamila ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam amepokea msaada wa vitu mbalimbali kutoka taasisi ya DP World Foundation na kukabidhi msaada huo kwa watu wenye uhitaji katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi wa Ramadhan. Msaada huo unaokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi za...
  15. Makonda kuapa kesho kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ataondoka na msafara wa gari moja, tofauti na awali magari sabini

    Kesho ndugu yetu Paulo ataapa kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Jitihada zinafanyika kukusanya magari ya kukodi huko Arusha ili apokewe na msafara mrefu pale atakapokaribia kuingini katika jiji hilo.
  16. Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

    Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha. Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na...
  17. P

    Pre GE2025 Makonda kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha, ngome ya Chadema yaingiliwa

    Binafsi ningependa Paul Makonda apewe huu Mkoa wa Dar. Ila kwa kuwa Mwenyekiti wetu wa Chama ameona kimkakati Paul Makonda akaivunjilie mbali Chadema na kuizika kabisa, tunaunga mkono uteuzi huu. Hata kama hakuna upinzani wowote nchini. Wapinzani wote wamepoteana. Siasa za rais SSH siyo za nchi...
  18. Lindi mvua kila siku, Mkoa uliopo inapigaje?

    Aisee hapa Lindi mvua mwaka huu imeamua inanyesha kila siku yaani kila kunapokucha tuko nayo ukifua nguo kwenye mvua hizi za kusi basi zitakauka Kwa siku tatu.
  19. Rose Mayemba aomba tena Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Njombe

    Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe anayemaliza muda wake , Kamanda kabisa Rose Mayemba , ambaye ametajwa kuinyoosha ccm katika uongozi wake Mkoani humo , huku akiisambaza Chadema hadi kwenye maeneo ambayo awali yaliamini kwamba CCM ni dini , ameomba tena nafasi ya uenyekiti wa Chadema Mkoani...
  20. Mbunge Aisha Ulenge akizungumza katika Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva Uswissi

    MHE. ENG. AISHA ULENGE, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Akizungumza katika Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva Uswissi. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga, Mhandisi Mwanaisha Ulenge ameshiriki katika Mkutano wa 148 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaofanyika jijini Geneva...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…