Age 25, mkazi wa kigamboni. On serious note natafuta kazi za jioni / night shift.
Mwenye connection au idea ya sehemu kind naombeni connection ya Kazi. Huku uraiani sio poa mambo ni tight kinoma ni bora kupata mia ukajua umepata kwa jasho lako kuliko kuwa mifuko iliyotoboka.
Asanteni.
Gari la Serikali la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu lenye namba za usajili DFP. 9182 likitumiwa na Afisa Biashara Mkoa wa Simiyu, Mustafa Kimomwe (ambaye pia ni Afisa Ushirika) na maafisa wenzake, wamefanya unyang’anyi wa kutumia silaha za moto (bunduki) katika Ofisi za Vyama cha Kilimo na...
Kuna barabara muhimu na inayoweza kuikomboa Mkoa wa singida kiuchumi kwa muda mfupi.
Barabara hiyo inaunganisha Mkoa wa Singida _ Mbeya- Zambia na Malawi.
Barabara hiyo inatokea Manyoni- Itigi - Rungwa kupitia chunya kwenda Mbeya ni kipindi cha Kms 233 tu.
Nitawashangaa Tanroads mkoss as...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi (UWT) Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo ameambatana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Magharibi kukabidhi vifaa vya michezo na ujenzi katika Jimbo la Welezo.
Mbunge Tauhida na Mwenyekiti UWT Mkoa wa Magharibi...
Kwa mara nyingine tena mkoa wa Kagera unaachwa mpweke.
Kwa kujenga mnara wa mashujaa mkoa tofauti na Kagera ambapo ndo mkoa unaobeba historia ya vita na Uganda ni kuunyima mkoa huu fursa. Pale Bunazi kuna uwanja wa mashujaa unaitwa Chakaza, kwa nini hiyo miradi ya mnara wa mita 100 na kadhaa...
Kwa masikitiko makubwa Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya hakuna umeme leo ni siku ya 7.
Na uongozi wa TANESCO mkoa na Wilaya wakiulizwa wanasema ulizeni makao makuu ya Tanesco.
Mwenye namba ya simu ya makao makuu ya TANESCO tafadhali.
=============
UPDATES...
Mkurugenzi Huduma kwa Wateja...
Ninashauri kila mwenye mke au mchumba au rafiki wa kike anayehudhuria mkutano huo wa kujadili DP world ampe nakala ya huo mkataba wa kihuni ausome.
Kila mtu aelimishe mwenzake kuhusu mkataba huo madhara yake na mapungufu yaliyopo.
UWT wana uelewa mdogo na kuhusu mkataba huo hawajaelimisha...
Nianze kwa ku-declare interest kuwa mimi ni mzaliwa wa Mkoa wa Kagera Wilaya ya Missenyi. Katika makuzi yangu hasa baada ya kutoka nje ya mipaka ya mkoa wa Kagera, nimekuwa nikishambuliwa na kutaniwa sana kuhusu UKIMWI kuanzia mkoa wa Kagera.
Hayati Rais Magufuli kwa nyakati tofauti amewahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.